Search results

  1. Martchaz chaz mart

    Naomba kujua utaratibu katika hili la Utumishi na TANESCO

    Kwa waliopangwa vituo vya kazi kutoka Utumishi kwenda TANESCO utaratibu upoje maana mdogo wangu kaenda ku-report lakini amerudishwa ameambiwa mikataba yao bado haijafika vituo vyao vya kazi. Hili lipoje wakuu? Kwa anajua aje hapa tushauriane tuweze kuwasaidia hawa wadogo zetu.
  2. Martchaz chaz mart

    Waliofanya Udahili TANESCO Kivukoni

    Wadau waliofanya interview: Written Oral Na pote wakafanya vizuri, ni lini majina yao wataitwa kazini? Anayeelewa hii kitu ashushe maada hapa.
  3. Martchaz chaz mart

    Msaada Please La sivyo nitalala giza

    Kifaa cha kuingizia Umeme alimaarufu kama mita ndogo hakasomi network nifanyaje ili nijue units nilizonazo ili niongeze units zingine
  4. Martchaz chaz mart

    Natafuta simu ya kununua aina ya Tecno C9 bei maelewano

    Mawasiliano 0759171356
  5. Martchaz chaz mart

    Nini tofauti kati ya Nursing school na School of Nursing?

    Napenda kujua ni nini tofauti ya Chuo cha afya kilichosajiliwa kwa jina la Nursing school au kwa jina la school of nursing Na MTU akituma maombi NACTE. akajikuta kachaguliwa Chuo Fulani. Je huyu MTU atakua kachaguliwa na uongozi Wa Chuo husika ama amechaguliwa na watu Wa NACTE??? Au huwa...
Back
Top Bottom