Search results

  1. Jstrong

    Rais wetu tumeshamjua, twende na midundo yake!

    Hoja dhaifu kabisa
  2. Jstrong

    Yanayojiri nchini kwa sasa ni laana. Damu ya Lissu inaanza kuitia nuksi nchi

    Mkuu hayo unsyopitia ni watu wengi tunayapitia kwa sasa.
  3. Jstrong

    TAFAKARI: Kwanini Rais anaogopa kutubu?

    Kiashiria cha kutubu ni kuuacha uovu husika.
  4. Jstrong

    Halotel wapunguza bundle la Chuo "TUMEKWISHA"

    Mwanzo ilikuwa 500 unapata MB 600
  5. Jstrong

    Halotel wapunguza bundle la Chuo "TUMEKWISHA"

    Wasipojirejebisha watapata anguko kubwa sana
  6. Jstrong

    Halotel wapunguza bundle la Chuo "TUMEKWISHA"

    Mm nilikuwa mnazi na mtetezi mkubwa wa Halotel but now sina namna zaidi ya kuwahama..Zaidi hasa hata Mb zinaisha haraka isivyo halali....So halotel mshabweteka..Kwaherini
  7. Jstrong

    Msaada juu ya Umeme wa Upepo

    Nasubiri Msaada wenu kwa anayefahamu wakuu
  8. Jstrong

    Msaada juu ya Umeme wa Upepo

    Wakuu napenda kufahamu wapi nnaweza kununua generator ya kuzalisha umeme kwa kutumia upepo (Windmill generato) angalau 200 watts .. na bei yake. Natanguliza shukrani
  9. Jstrong

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Singida (M) nije Dodoma (M) 0763257500 Idara ya secondary
  10. Jstrong

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ungweza kuja Singida mjini nije Dom ningekupa package ya ukweli mkuu
  11. Jstrong

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Singida (M) nije Dodoma(M) Secondary 0763257500. plus good package
  12. Jstrong

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Singida(M) nije Dodoma (M) secondary 0763257500 +offer kabambe
  13. Jstrong

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Singida (M) nije Dodoma (M) Secondary. ...+good package 0763257500
  14. Jstrong

    Msaada: Tecno S5 haisomi memory card

    Restore factory Settings.
Back
Top Bottom