Search results

  1. Mufiyakicheko

    Kimya cha upinzani, kulikoni? Au wamekubali matokeo?

    waganga njaa bongo niwengi wanatofautiana majina tuu CCM utaitwa fisadi nk UKAWA utaitwa kamanda nk sipati jibu jee? Kamanda na fisadi ni pacha ushabiki hautatufikisha kokote
  2. Mufiyakicheko

    Kwanini T. B. Joshua kaikanyaga ardhi ya Tanzania Pekupeku?

    Kutoka 3:5 Naye akasema, usikaribie hapa vua viatu vyako miguuni mwako maana mahali hapo unaposimama ni Nchi takatifu. T.B joshua yupo sahihi kama kaikabyaga ardhi ya Tanzania pekupeku
  3. Mufiyakicheko

    Picha: Ubunge jimbo la Vunjo moto,Dk Latonga Mrema V/S James Mbatia

    hahahahahahaha siasa usiwe naaibu
  4. Mufiyakicheko

    Sitta: Tuna wakati mgumu

    6 maneno na mtendo yake haviendani
  5. Mufiyakicheko

    Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    hatushindani sema hakuna satellite ya 36.6e ipo ya 36.0e picha isikuchanganye soma mwanzo hadi mwisho utafaham
  6. Mufiyakicheko

    Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    jukwa la siasa kunakufaa hata linki huoni kunanini
  7. Mufiyakicheko

    systeam mpya ya kuangalia dst..

    mkuu HD haioni kwa sasa kuhusu kuzima haizimi kunasiku jioni inasumbua baadhi ya chanel
  8. Mufiyakicheko

    systeam mpya ya kuangalia dst..

    mkuu mi natumia X Man G8 CCCam ya mchina inashusha mzigo kwafujo. G1,G2,G6 zimebuma
  9. Mufiyakicheko

    Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

    bado unamawazo mgando ya ccm kuweka jiwe vyama vingine mgombea jiwe linapita kanawe uso
  10. Mufiyakicheko

    Mangula, Msekwa wampinga Nape mgogoro Bukoba,mgogoro sasa wahamia CCM Taifa

    Mwigulu hana hamu toka wenzake kumwachia kesi ya ugaidi bado Nape kuuziwa mbuzi kwenye gunia
  11. Mufiyakicheko

    Mkurugenzi achafua hali ya hewa Tunduma

    zyola wasikuchoshe umesomeka ni wapambe wa mafisadi walisha poteza aibu
  12. Mufiyakicheko

    Mkurugenzi achafua hali ya hewa Tunduma

    mkuu nimeipenda SUGU apongezwe
Back
Top Bottom