Search results

  1. Demi

    Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

    Namtaka yeye tu.. trust me.
  2. Demi

    Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

    Ni Evelyn Salt
  3. Demi

    Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

    Mwenyewe anajijua huko alipo😀
  4. Demi

    Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

    Nimtaje wakamuibe?? Aku!
  5. Demi

    Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

    Visheti oyee😆
  6. Demi

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Itapendeza. Naahii kuwepo mstari wa mbele kabisa
  7. Demi

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Kikao cha kina nani?😂😂
  8. Demi

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Muoshwa huoshwa...malipo ni hapa hapa duniani🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
  9. Demi

    Mamlaka ya Chakula tunaomba ufafanuzi kuhusu cerelac za watoto

    Unaweza ukammalizia mtoto yote kwa kuonjaonja
  10. Demi

    Mamlaka ya Chakula tunaomba ufafanuzi kuhusu cerelac za watoto

    Nakula mara moja moja. Hiyo kitu tamu sana
  11. Demi

    Mamlaka ya Chakula tunaomba ufafanuzi kuhusu cerelac za watoto

    Umesema sukari ndo nyingi kwa watoto. Mimi sio mtoto natumia mwenyewe😀
  12. Demi

    Mamlaka ya Chakula tunaomba ufafanuzi kuhusu cerelac za watoto

    Umenikumbusha nikajinunulie Cerelac
  13. Demi

    Rafiki yangu kamwagiwa maji machafu ya chooni na mkewe kisa amemtangazia nia yake ya kufanya mathinaa

    Kachota na nini? Kikombe? Cho cha kukaa au cha kukuchumaa... Najitahidi kuinywa hii chai inagoma kupita kooni
  14. Demi

    Rafiki yangu kamwagiwa maji machafu ya chooni na mkewe kisa amemtangazia nia yake ya kufanya mathinaa

    Hayo maji yamechotwa kwenye shimo la choo au? Unayapataje maji machafu ya chooni
  15. Demi

    Mahakama ya Wilaya ya Temeke yavunja ndoa baada ya Bwana harusi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa miaka 5. Bibi harusi kapotezewa fertility age

    Ndoa ingeweza kuvumiliwa lakini mwanaume asingevumilia kuishi bila kupata mtoto angeenda kuzaa nje ya ndoa.
  16. Demi

    Mahakama ya Wilaya ya Temeke yavunja ndoa baada ya Bwana harusi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa miaka 5. Bibi harusi kapotezewa fertility age

    Kwenda mahakamani ni muhimu hata kama hakuna mali. Ndoa za kikatoliki hubatilishwa na mahakama ya kanisa lakini lazima iende mahakama ya serikali ili wapate kibali cha kuwa huru ili waweze kuoa/kuolewa tena.
  17. Demi

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Shenzi mwenyewe. Wa kushauriwa ni vijana...huyu mzee anatakiwa kujua nini cha kufanya. Sio kulialia mtandaoni
Back
Top Bottom