Search results

  1. Mzee wa hat-trick

    Clouds wana shobo na Alikiba hadi wanaboa

    Hahahahahaha. Nipo kawaida tu mkuu. Ila umesema wewe HUNA TIMU, wkt ukiisoma thread yako ipo uchikabisa kma wewe ni timu pinzani na mshkaji.
  2. Mzee wa hat-trick

    Clouds wana shobo na Alikiba hadi wanaboa

    Kama wewe sio muhuni, SHOBO NI NINI..?? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  3. Mzee wa hat-trick

    Clouds wana shobo na Alikiba hadi wanaboa

    Aaaaaaah mkuu, be serious basi..!!! Ina maana povu hulijui?? Hujawah kufua??
  4. Mzee wa hat-trick

    Hivi makontena yenye makinikia bado yako bandarini? Acacia ni wezi? Washatulipa? Wanachimba na kusafirisha? Smelter vp

    Sasa kwann tusubir kuona kma litampata mara mbili mkuu..??? Tukubali kwamba hatupo salama kivile
  5. Mzee wa hat-trick

    Hivi makontena yenye makinikia bado yako bandarini? Acacia ni wezi? Washatulipa? Wanachimba na kusafirisha? Smelter vp

    Mkuu, jamaa wana style zao kudadeki. Wanahakikisha mpk unakata roho ukiwa umechoka sn aisee, hata Sir God akikuuliza maswali baada ya kukata roho, unajibu kiboya boya tu, unatupwa motoni. Akili yko inakuwa imeshachoka kbs. Hujielew
  6. Mzee wa hat-trick

    Wallet za Kiume zimerudi

    Sina wallet. Niliwah kupoteza vitambulisho, kadi, leseni, kwa mara moja, nikaachana na matumiz ya wallet. Hiyo ynyw nililetewa surprise na kabinti kamoja hv.
  7. Mzee wa hat-trick

    Wallet za Kiume zimerudi

    Tatizo langu mm ni kutoa hela kununua kitu chaa kuwekea hela. Tena 20,000 daaah...!!
  8. Mzee wa hat-trick

    Hivi makontena yenye makinikia bado yako bandarini? Acacia ni wezi? Washatulipa? Wanachimba na kusafirisha? Smelter vp

    Si hivyo mkuu..!!! Tatizo ni style ya kufa. [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  9. Mzee wa hat-trick

    Clouds wana shobo na Alikiba hadi wanaboa

    Mkuu mbn kma povu..!!!
  10. Mzee wa hat-trick

    Maajabu matatu ya Messi katika soka

    Anatafuta magoli na wala havizii. Sio ndugu yetu mpk atongozewe ndo anaenda kubandua
  11. Mzee wa hat-trick

    Maajabu matatu ya Messi katika soka

    Povu la hapa tutajaza uzi kwa kuongelea upenzi na sio reality. Messi namkubali sn. He is exceptional.
  12. Mzee wa hat-trick

    Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

    Kma ishu ni usiitumie tumie ovyo, nikushauri ufungue akaunti ya dollar. Kwenda bureau de change utaona usumbufu.
  13. Mzee wa hat-trick

    Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

    Nikuulize kwnz WHY FIXED ACCOUNT?
  14. Mzee wa hat-trick

    Biashara ya Tigopesa inanifilisi

    Daaah, mkuu hata hujajua jamaa yuko wapi, na kama banda linabebeka au halibebeki, ila wewe unataka banda...!!!! Mshauri tu jinsi ww utakavyokabiliana na changamoto, aelewe na aendelee na biashara ili mwenzako nae ATOBOE.
  15. Mzee wa hat-trick

    Kwanini wanawake mnapenda kujihusisha kimapenzi na wanaume waliooa?

    Acheni story nyingi, SISI TUNAJALI. Sio nyie mkiombwa hata hela ya vocha mnatuma buku jelo ajiunge kifurushi cha chuo. Ila tuache utani, sub zinatupa raha sana. Zinajua sn kubadilisha mchezo. Zinatupa kile tunachotaka, na zinatupa mpk nyongeza. Ni sawa dukan ukute muuzaji anasubir mzani...
  16. Mzee wa hat-trick

    Kiwanda cha dawa cha Reginald Mengi, ni siasa au biashara?

    Duuuh...!!! Ngoja nisijibu chochote mkuu..!!!
Back
Top Bottom