Search results

  1. Rockefeller

    Wanawake wanaofanya kazi kwenye migahawa midogo midogo mazingira yao ya kazi siyo rafiki

    Zaidi ya sailimia 90 ya vijana wanafanya kazi hazina staha, Hata wewe bodaboda upo kwenye kundi hili
  2. Rockefeller

    Kama hujui faida za raia wengi kuwa nchi za nje, angalia remittances EAC

    Kuwe na uamsho wa raia kuwa na passport, alafu masharti yasiyo ya lazima au sio ya kiusalma yapunguzwe
  3. Rockefeller

    Kama hujui faida za raia wengi kuwa nchi za nje, angalia remittances EAC

    Tatizo wa Tanznia tunaoneana wivu sana kupata passport tu ni kipengele [emoji23] [emoji23]
  4. Rockefeller

    Narudia tena: Kijana acha uzinzi

    Useme pia tunaachaje huo uzinzi, sio unaongea utafikiri ni rahisi kama kuacha kula maharage.
  5. Rockefeller

    Hizi laptop zimefika Bongo?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  6. Rockefeller

    Wazee wa Mkataba Mwitongo ndio walishauri Nchimbi arudishwe kwenye Uongozi

    Kwanini wameuita Mwitongo!!! Una link yoyote na Nyerere maana Mwitongo ni kijijini kwa Nyerere, sioni kama watoto wa Nyerere ni wanufaika wa huo unaoita mkataba.
  7. Rockefeller

    Animation movies kali kuwahi kutokea

    Indeed [emoji122]. Fantastic Mr. Fox ni bonge la animation so underrated
  8. Rockefeller

    Video: Makonda ataka mdahalo na Tundu Lissu

    Makonda hata mdahalo na Kaila wa sheta hachomoi [emoji23] [emoji23]
  9. Rockefeller

    Kwanini ukioa mwarabu/ mhindi inakuwa ngumu kwa wanafamilia wa upande wa waarabu/ wahindi kujenga undugu upande wa mme wa binti yao?

    Kuna sababu practical na za kueleweka kabisa za kueleza utajiri wa asians na sio izo za kutunza familia. Kasome historia upya
  10. Rockefeller

    Kwanini ukioa mwarabu/ mhindi inakuwa ngumu kwa wanafamilia wa upande wa waarabu/ wahindi kujenga undugu upande wa mme wa binti yao?

    Nilishawai kusoma autobiography ya prof mmoja wa pale UDSM mwenye asili ya kihindi, nikaona wahindi wana ubaguzi sana hata wao kwa wao. Anasema alikua na mjomba wake alikua anaumwa kifafa alikosa mke wa kihindi kila familia wanakataa, hadi ikabidi aoe mwanamke mweusi wa kimakonde [emoji23]...
  11. Rockefeller

    Tuliowahi kuoa wa darasa la saba na kufanikiwa hali ya kuwa siye ni graduates njooni tupeane uzoefu

    Nimegundua wote hamna jibu la hili swali, si mjibu 😂 😂
  12. Rockefeller

    Tuliowahi kuoa wa darasa la saba na kufanikiwa hali ya kuwa siye ni graduates njooni tupeane uzoefu

    Najua umefikiria ukukuta huna jibu 😂 😂, zaidi ya kuongelea watu hamnaga cha kuongealea Jibu swali 😂
  13. Rockefeller

    Sio Kila mtu tapeli ujuaji unatusumbua huku

    Unajaribu kusema nini kiajana? Mimi siajaelewa
  14. Rockefeller

    Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

    Ni sahihi Saudia si inaongozwa sharia ya uislam sio jambo la ajabu lakini ni ajabu kwa mbongo kushabikia mauaji jambo ambalo halikubaliki na sheria zetu za nchi
  15. Rockefeller

    Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

    Hii ni sheria ya Torah yaani Torati ya Wayahudi hata waIsrael ukiloweka ovyo unagongwa stone hadi kufa lakini kwa sababu kuna sheria za nchi hakuna ushenzi kama huu Israel. Kingine sina hakika kama uislam unataka hivi. Lakini nakushangaa ndugu yangu wewe muislam wa vikindu-kisemvule...
Back
Top Bottom