Unastahili kujibiwa. Twende hoja kwa hoja:
Kwamba wajumbe wate wa Timu wana miaka 50 kwenda mbele. Mgawanyo wa umri wa wajumbe ni kama ifuatavyo: 80, 72, 67, 63, 62, 58, 56, 55, 54, 53, 50,48,47, 47, 46, 46, 42, 40, 34,34,29. Mpaka hapo utaona kuwa wenye umri wa miaka 50 ni 11. Kwa hiyo kwamba...
Duh! Hakuna hata moja lenye ukweli. Twende hatua kwa hatua na hoja kwa hoja:
Hoja: Wote walioteuliwa wana miaka 50 kwenda meble. Ukweli: Mgawanyo wa umri wa timu ni kama ifuatavyo: 80, 72, 67, 63, 62, 58, 56, 55, 54, 53, 50, 48, 47, 47, 46, 46, 42, 40, 34, 34, 29. Kati ya wajumbe 21, wenye...
Wanasema experience is the best school. Sasa mie nimewahi kuwa waziri na ninajua posho wanazolipwa wabunge ambao sio mawaziri na wanazolipwa wabunge ambao pia ni mawaziri. Makazi ya mawaziri ni Dodoma. Kwa sababu hii hawalipwi perdiem kwa kuwa posho hii hulipwa ukiwa nje ya kituo cha kazi. Kwa...
Hapana. Mawaziri hawalipwi perdiem wakiwa Dodoma kwa kuwa wapo nyumbani. Wabunge wengine wasio mawaziri ndio hulipwa perdiem. Pokea taarifa hiyo tafadhali
Naomba nifafanue ili kuepusha upotoshaji. Huu ni mradi halisi na ndio mradi mkubwa wa maji kuliko yote hapa nchini katika ngazi ya Halmashauri.
Katika ujenzi wa miradi ya maji kuna hatua nne kubwa. Kwanza, ni kutambua chanzo cha maji. Pili ni kujenga miundo ya uzalishaji na kuzalisha maji...
Hoja ya msingi ya Ulimwengu ni kupinga dhana ya kuendesha nchi kwa kutegemea misuli ya individuals badala ya misuli ya taasisi. Misuli ya individuals ni midogo na mifupi mno kuweza kufika kila kona wakati misuli ya taasisi ikiimarishwa ina uwezo usio na mipaka. Ni Kwa sababu hii ni muhimu...
Ndugu zangu naomba nifafanue kuwa hicho kipengele kinamhusu Kiongozi wa Chama (Party Leader). Ingetokea Zitto ameshindwa hivyo ndivyo ambavyo ingekuwa. Hii ni kwa sababu Kiongozi wa Chama anapaswa kuwa ndiye mtu wa kusimamia sera za chama katika vyombo vya maamuzi na hivyo itabidi awepo katika...
Nadhani tatizo hapa ni zaidi ya kiingereza. Ni suala la weledi na mantiki. Hicho kiingereza ulichokiona ni dalili tu lakini kuna tatizo kubwa zaidi kuhusu uwezo wa kifikra wa viongozi wetu. Lakini kwa kuwa tumeamua kufungia macho ujinga acha twende hivyohivyo kuna siku tutaamka.
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Lakini huyuhuyu Polepole alikuwa anamshambulia EL tangu akiwa mgombea wa CCM na wakati huo alionekana hero. Kitu gani kimebadilika? Tulitaka awe mnafiki?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.