Search results

  1. D

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    hujaelewa kinacho ongelewa hapa,wala usihangaike kuelewa sababu najua hauna saikiki yoyote. nakutakia kila laheri na imani zako hata kama ni zakusubiri bwana arudi kukukomboa,ingawa mie naamini we a strong pasipo kutegemea shetan, na chocho kile kilicho tuumba am sure kilituumba katika...
  2. D

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    jaribu labda kufuga nywele hata kama ni mwanaume,maana nywele huwa ni kama receiver and transimiter. ndio maana scorpio wana psychik kubwa sababu huwa mili yao in vinyweleo vingi.
  3. D

    Mama yangu anataka kuonana na Rais Kikwete, Afanyeje?

    Mama yangu amakuwa na kesi na serikali takribani miaka thelathin na hatimaye ameshinda kesi lakini bado malipo yake hayajafanyika bali anazungushwa kila kukicha.umuri wake sasa ni miaka sitini na kitu ana presha, ana kisukari , ana madeni ana wanao mtegemea. Sasa anasikia kwamba kikwete...
  4. D

    Mshauri wa mambo ya mahusiano na mapenzi(love and relationship consultant)

    You have any relationship problems love, friendship,business, and if u have two or three sweeters and you not sure of who is the best one for you. Ok contact love and relationship consultant right now 0764590855 for free if there is any necesary charges you will be notified.
  5. D

    Looking fo love!!

    God created the world in seven days ,It has been almost 25yrs now since i was brought to life by my sweet sugar mother.I`m always fascinated by the hidden mysteries of life and the purpose of life itself. WHO AM I. Well, you can call me john. am about 168cm tall,55kg weight and am having this...
  6. D

    Mgahawa unaofunguliwa saa 11:45 asubuhi kwa wanao vuka na pantoni kigamboni

    Mie Huwa ninafanya Shughuli zangu mjini usiku nakurudi nyumbani kwangu mapema sana alfajiri , kwakuwa nikitoka kazini nataka niweke kitu tumboni na kisha nimpumzike kwa uchovu wakazi. kuna mgahawa umefunguliwa maeneo ya tungi msikitini njia panda ya kwenda kisiwani. chai yao inakuwepo tokea saa...
  7. D

    Lonely Heart

    Dada yangu Wewe JF bado inakuhitaji sana , sio rahisi tukafungamana.
  8. D

    Lonely Heart

    bado niko kijana , makamo ya mika 25.
  9. D

    Lonely Heart

    Sikuwa nikiifahamu Love connect , ila nashukuru na post yangu numepeleke huko vilevile.
  10. D

    Lonely Heart

    lonelyness sikuzote zipo isipo kuwa sasa w2 tunafunguka kwa jamii yetu tofauti na zamani.
  11. D

    Lonely Heart

    teh teh , lizy nimesema kuwa 1st we date & date then if we both agree that our chemistry much then we marry. i wonder when u will be ready 4 our 1st date?
  12. D

    Lonely Heart

    I am looking for
  13. D

    Sijaona mkare (4 girls)

    nilikuwa kwenye vocation
  14. D

    Live Mkama akamatwa na Bw mdogo Chanel Ten!

    chamsingi mlio angalia kipindi, tupeni maelezo ya kipindi kilikuwa kina husu nini na kili fikia wapi mwisho wake.
  15. D

    Kaeni chonjo na wachungaji/manabii/maaskofu hawa

    seriously , watu wengi wanafilisiwa na hawa watu , na wengine wanaacha kazi zao kwa ajili ya hawa watu. Hivyo mwenye macho haambiwi tazama.
  16. D

    The basement club ndani ya denfrance hotel sinza

    Ndiyo hivyo mkubwa.halafu ukikatibia dalajani utaiona Hiyo Hotel ya DENFRANCE.na hii ndio webcyte ya Hotel husika DENFRANCE Hotel - Dar es Salaam, Tanzania ingawa hakuna phots za club lakina nagfanya utaratibu wa kuzichukua na kuzi upload.
  17. D

    Mzee king kiki ndani ya the basement club sinza @ denfrance hotel kila alhamisi

    Tangazo Tangazo hili limelipiwa kwa msaada wa watu wa marekani!! acording to MTM
  18. D

    Mzee king kiki ndani ya the basement club sinza @ denfrance hotel kila alhamisi

    Wana janvi natumaini wote hamjambo, napenda kuwataarifu kwamba kila siku ya Alhamisi bendi ya wazee sugu ikiongozwa na mzee king kiki wa kutambaa cheupe watakuwa wanatimua vumbi ndani ya kiwanja kipya na chakisasa kilichoko sinza kabla ya kufika darajani ukiwa unatokea kijiweni.ndani ya...
  19. D

    The basement club ndani ya denfrance hotel sinza

    Nakushukura sana kwa support yako na hivikaribuni ninafanya mpango wa ku upload photos. Bila kusahau kwamba kila siku ya Alhamisi tunakuwa na wazee sugu wakiongozwa na mzee king kiki wa kitambaa cheupe.
Back
Top Bottom