Search results

  1. Edson Jobs

    Kuiper Belt: Behind the certain

    Kwasababu kama umejiuliza Alien ni kitu gani, Uhai ni nini, mazingira gani ya razima ili uhai uwepo na kivipi tunaweza hakikisha kama alien wapo. Basi huwezi kukubalina na huu uzi na wasio kubaliana nawe naona wanapingwa, nimeona mmoja hapo juu...
  2. Edson Jobs

    Kuiper Belt: Behind the certain

    Comments za wengi zinaonesha hawajajiuliza, na walio jiuliza wanapingwa kwenye huu uzi wako..!
  3. Edson Jobs

    Kuiper Belt: Behind the certain

    Kabla ya kusoma / kuandika kuhusu Aliens ningewashauri watu wajiulize maswali haya What is Alien...? What is life....? What is interagency..? What's are necessary conditions for life to exist....? Which are credible source to study about Aliens...? Otherwise tutalishana...
  4. Edson Jobs

    Kauli ya Trump juu ya mataifa 7 ya Kiislam haiko sahihi

    "Terrorism is beeng repedly sayed it's TACTICS not IDEOLOGY, and declaring WAR on tactics makes absolutely NONSENSE "-Oliver Stone Kipindi cha utawala wa George w Bush watu walimsisitizia sana hili lakini hakusikia na Obama hakusikia Trump analielewa hili ila anafeli jinsi ya kufight hiyo...
  5. Edson Jobs

    Ujasusi na uongozi: Mafanikio ya rais Putin katika kuirejesha tena Urusi

    Hii ya Putin na angela merke 2007 inafurahisha
  6. Edson Jobs

    Ujasusi na uongozi: Mafanikio ya rais Putin katika kuirejesha tena Urusi

    So hoja ni nini..? Tekinolojia ya jeshi..? Nguvu ya jeshi..? Uchumi wa urusi..? Influence kwenye siasa za kimataifa..? Kwa sababu hayo yote Putin ameyaimprove ten times better kuliko alivyo yakuta.., Kama unataka kulinganisha na marekani ulinganishe kwenye specific aspects... Ukitaka kwenda...
  7. Edson Jobs

    Ujasusi na uongozi: Mafanikio ya rais Putin katika kuirejesha tena Urusi

    Fanya research ya kujua uchumi wa urusi kabla na baada ya Putin..
  8. Edson Jobs

    Ujasusi na uongozi: Mafanikio ya rais Putin katika kuirejesha tena Urusi

    Mnao sema uchumi wa sasa wa russia ni mbovu fanyeni research vizuri miaka kumi na sita kabla ya Putin na miaka kumi na sita ya utawala wa Putin, ki jeshi Urusi na marekani huwezi kusema directly nani anamzidi technology mwenzeka coz hilo hutegemea military doctrine na foreign policies na...
  9. Edson Jobs

    Rais Putin awatakia Warusi mwaka mpya mwema: Katoa hotuba nzuri sana, isome

    Kwakifupi Putin ni mtu wa kushangaza sana anatabia ya kutokea at right time in right place. Wakati Putin mdogo alikulia kwenye mtaa uliokua na wahuni wengi na makundi ya Gangs huko st.Petersburg lutokana na umbile la Putin kua dogo kulinganisha na watoto wenye umrisawa na yeye alimua kujifunza...
  10. Edson Jobs

    Rais Putin awatakia Warusi mwaka mpya mwema: Katoa hotuba nzuri sana, isome

    Samora machel na Vladimir Putin katikati.
  11. Edson Jobs

    World most famous people with their QUOTES from their great SPEECHES

    " the more you coner the cat the dangerous it's become "-V.Putin
  12. Edson Jobs

    Russia Haitawafukuza wanadiplomasia wa Marekani

    He didn't become most powerful parson by accident
  13. Edson Jobs

    Wajue viumbe wa ajabu waishio angani

    Mystical stories, no credible source imeconfirm uwepo wa Ellien. By the way according to space expertise definition ya ellien ni kitu chochote chenye uhai kilichopo nje ya dunia ( ambacho kijatoka duniani). Kiwe mmea,mnyama, bacteria nk...na co lazima kiwe na intelligence!!
  14. Edson Jobs

    World most famous people with their QUOTES from their great SPEECHES

    "The key principal in our education system; All children are gifted and can succeed. when they they are successful, russia is successful too" -Vladimir Putin
  15. Edson Jobs

    World most famous people with their QUOTES from their great SPEECHES

    " in a world that changes so fast the biggest risk you can take is not to take any risk"- Mark Zuckerberg
  16. Edson Jobs

    World most famous people with their QUOTES from their great SPEECHES

    Great things in world are not done by one man but a team of smart people. and you need to be smart enough to figureout smart people - Steve Jobs
  17. Edson Jobs

    Muwekezaji /investor/business partner anahitajika

    Nakuelewa mkuu, but sometimes nahisi tunajibana sana kutaka kuleta something completely new wakati vilivyopo bado sio perfect sana, i still believe the room is their..., Ilipokuja Facebook ckutegemea kama tweeter ingefanikiwa but ikaja na whatsapp, instagram and snapchart na zote zinafanikiwa...
  18. Edson Jobs

    Muwekezaji/investor/business partner anahitajika

    Ni pesa ndefu but ndio maana tupo hapa mkuu..
Back
Top Bottom