Search results

  1. Daz denny

    Uhaba wa Balimi Morogoro

    Vidude gan mkuu!
  2. Daz denny

    Uhaba wa Balimi Morogoro

    Aiseh! Kwel dunia uwanja wa fujo! Zaman ukiagiza castle light,safar, na serengeti unaonekana masikin! Henken ilikuwa bia ya midle level@ now balimi imekuwa almasi! Balimi mkomboz wa wanyonge
  3. Daz denny

    Bar nyingi zipo empty

    Duu mkuu una roho ngumu watu wanakutolea macho Umekauka! Hata mimi nipo nyumban nachek series kikubwa maisha yaende!
  4. Daz denny

    Askofu Kilaini: Hata sisi tunahofia kutekwa

    Labda wavamie kuchukua hela za mgao wa hescrooww
  5. Daz denny

    Wataalam wa bajeti za ndoa njooni hapa

    Hongera sana mkuu tukiongezeka watu wenye philosopher kama hii tutavuka haraka kwenda kwenye uchumi wa kati!
  6. Daz denny

    Madem kuweni na huruma basi vingine lipeni bili basi....

    Mkuu unakosea mi huwa namwita geto nachokifanya ni kununua viitu mfano samaki kilo 5,mguu wa mbuzi, mazagazaka nalipia na dstv pamoja na grand malt 3 napiga mzigo napikiwa,nafuliwa, na usafi juu siku ya kuondoka nampa buku ten! Nakuwaa nimesevu gharama kubwa sana! Kamwe siwez kumpeka demu guest...
  7. Daz denny

    Rais Magufuli uwe kiunganishi taasisi za umma na binafsi sio kejeli kila siku.

    kwa kiasi fulani imeiturudisha nyuma wamezalisha wataalam ambao wameishia kufanya paper work
  8. Daz denny

    Kwa mpango huu shule binafsi zianze kufugia kuku madarasa

    Kiama kwa vyuo binafsi! Kimeanza hata ujenzi wa reli utaondoka na wamiliki wa mabasi na malori!
  9. Daz denny

    Rais Magufuli azindua Hostel UDSM; TCU dhibiti lakini Wanafunzi wawe na haki ya kuchagua vyuo

    Vyuo binafsi sasa vinatakiwa kujiongeza hayawi hayawi yametimia!
  10. Daz denny

    Matumizi madogo madogo kwa mpenzi wako

    Hapo ndipo wanawake mnapokuwa mazembe badala umuombe mwanaume walau ela ya kuanza kibiashara kama genge au mkaa ili uwe na sustainability income unaishia kuhongwa hongwa its prit dangerous huo ni umalaya uliopitiliza tupo kwenye mchakato wa kwenda uchum wa kati na viwanda mambo ya kusuka na make...
  11. Daz denny

    Maisha yananichanganya msaada tafadhali

    Mkuu suala la kuuliza biashara kwa wenye uzoefu kwa uzoefu wangu wabongo huwa tunatabia ya kukatishana tamaa! Kwa ushauri wangu ukiwa likizo its right Time ti do! Lastly biashara usiwekeze kubwa anza na juisi utafanikiwa!
  12. Daz denny

    Siri 5 ambazo wanazijua matajiri tu, masikini hawazijui

    Mkuu kwa uchumi wa tanzania na sera nii hatari kuwekeza kwenye mradi mmoja rejea katizo la uzalishaji wa viroba! Kamwe usiweke mayai kwenye kapu moja!
  13. Daz denny

    Biashara ya Usafirishaji kwa Bajaji: Ueandeshaji, Changamoto, Faida na Ushauri

    Biashara hii ni nzuri sana ila inachangamoto sana nashaur kama ungekuwa unaendesha wew iingekulipa zaid ila madereva wengi washahili
  14. Daz denny

    Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

    Hamna mkuu c unajua tupo kwenye hatua za kujivusha kwenda uchumi wa kati!
Back
Top Bottom