Search results

  1. Healthy wealthy

    SoC03 Uchambuzi: Namna ambavyo ubovu wa mifumo endeshi ya kiutawala inavyofifisha utawala bora na namna ya kuuendea utatuzi wake ili kuleta mabadiliko

    Kazi nzuri sana, hasa kwenye nini kifanyike. Serikali ikichukua mawazo na kuyatendea kazi hakika tutaambulia chochote.
  2. Healthy wealthy

    Msaada: Napataje AVN na ikiwa nilishawahi unda account lakini taarifa zake nilipoteza?

    Nilienda tena nacte ofisini kwao nikasaidiwa sasa sijui siku za nyuma walikuwa wanakwama wapi.
  3. Healthy wealthy

    Msaada: Napataje AVN na ikiwa nilishawahi unda account lakini taarifa zake nilipoteza?

    Wasumbue mara kwa mara chuoni wapeleke matokeo Nacte kwenye kansa husika. Mpigie msajili hapo chuoni ikibidi uende kama ni karibu, mpigie na mkurugenzi yaani we piga simu hadi yapelekwe.
  4. Healthy wealthy

    Msaada: Napataje AVN na ikiwa nilishawahi unda account lakini taarifa zake nilipoteza?

    Unamaanisha nianze upya kulogin au.? Kwasababu nimejaribu ila imekataliwa hii ni kutokana na username na password wanakutumia wenyewe kwenye email na unakuwa unaitumia hiyo tu.
  5. Healthy wealthy

    Msaada: Napataje AVN na ikiwa nilishawahi unda account lakini taarifa zake nilipoteza?

    Nimeishaenda mara kadhaa lakini sikupata ufumbuzi. Mara ya mwisho mdada aliniambia control number zinasumbua niwe na subira. Inaonekana hawajui namna ya kusolve hili tatizo, sina imani nao kabisa.
  6. Healthy wealthy

    Msaada: Napataje AVN na ikiwa nilishawahi unda account lakini taarifa zake nilipoteza?

    Wakuu naombeni msaada. Zaidi ya mwezi nafuatilia AVN lakini hakuna mabadiliko, lila nikirequest naambiwa bill generated waiting for control number. Nimeishazunguka sana pale NACTE ila hakuna ufumbuzi wa tatizo. Hadi watu wa GePG nimewapigia Nawao wanasema hii ni kwao NACTE wala wao hawahusiki...
  7. Healthy wealthy

    Applications NACTE

    Mimi naambiwa hivyo tangu tar 3 august, nimefuatilia pale nacte mpaka basi.
  8. Healthy wealthy

    Usikurupuke pale unapoambiwa kitu fulani kinalipa, tuliza akili kabla ya kufanya maamuzi

    Duh...nimekuelewa Bujibuji hasa hapo namba 4. Good job.
  9. Healthy wealthy

    Hiki kitabu kilinipa mwangaza wa kushangaza kuhusu wanawake

    Wanaume halisi ( masculine men) hawawezi kubaliana na hayo labda feminine men ndio watakusapoti.
  10. Healthy wealthy

    Ufafanuzi kuhusu kisomo cha 40 baada ya mtu kuzikwa

    Ni uongo mtupu ndugu mtoa mada.
  11. Healthy wealthy

    Wanawake mnawachukuliaje wanaume waliowatoa bikira?

    Sio kweli. Wengine vikombe vimevunjwa na waume halali wa ndoa lakini ndoa hazikudumu na wameishasahaulika utafikiri sio waliovunja vikombe. Unaweza usimtoe msichana bikra na bado asikusahau na ukamtoa lakini akakuchukulia like you never exist.
  12. Healthy wealthy

    Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

    Wanaume wafupi wana wivu na niwagumu kuelewa.....speaking from experience.
  13. Healthy wealthy

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Mapochi, mikoba na wallet og...wapi bora kati ya DSM na Nairobi.
  14. Healthy wealthy

    Pesa isiyo julikana kwenye account

    Awasiliane na bank husika watrack deposits zote inaweza saidia kumjua aliye iweka.
Back
Top Bottom