Binafsi na kwamifano niliyoiona, bangi ni tatizo kubwa, na kweli inaleta shida hasa kwa vijana wengi walio kwenye makundi tofautitofauti, ukichaa au kurukwa na akili uwezekano wake kutokea ni mkubwa sana, tofauti na jinsi watumiaji wanavyojaribu kuipamba na kuitetea! Hayo ma-skank huchelewi...
Ugaigai kwenye nyumba za watu wengi huishia vibaya, ujasiri wa kumzulumu mtu mali yake unapata wapi, tamaa za namna hiyo zinapeleke mauti au kuharibu mwelekeo wa mtu kwa kiasi kikubwa sana, mara nyingi wenye deficiency ya elimu dunia ndiyo huwa na ujasiri wa kufanya hayo!
Hali ya hewa ya Dodoma peke yake ni kichapo, mtu unapauka kama mdudu sometimes! Waliojiwekeza Dar toka mkoloni hawakukosea, sema ndio hivyo tena, kunavigezo waliona (kimtazamo wangu lakini), ndiyo maana mji huu umeendelea kdg. Dar ukidondoka tu, wiki mbili nyingi, unatakata!
Muzungu kijasho kimemtoka, hakutegemea criticism ya namna hiyo! Kwa kifupi kaongezea elimu ambayo hakuizingatia kabla! Sema dingii kachafukwa, jeuri kwerikweri, hoja za kiwestern zimemkera kana kwama anataka kutapika the forced presented rubish!😁
Kwa maelezo haya, je unaweza kumfungulia mashitaka kwa kosa la criminal tresspass mpangaji aliyepitiliza muda wake baada ya notice ya kusitishwa upangishwaji wake kutolewa na yeye kukaidi kuondoka kwa wakati (kuendelea kukaa kwa mabavu) kituo cha polisi?
Wengi ni umbea na kupaisha matajiri uchwara wenye vibebi-worker huku wakisubiri anguko zao kwa hamu wawachafue, pia madalali wanaeneza sana umbea maeneo hayo, kutwa vijiweni kuchunguza maisha ya watu na kutengeneza maneno chonganishi! Kwa kifupi kuna mfumo fulani wa ajabu ajabu wa vijana wengi...
Afya ya akili ni jambo la kuwekewa mkazo sana kwenye jamii zetu, huyu alikuwa na dalili zote za tatizo la Schizophrenia, sema kibongobongo anasema alisikia sauti kutoka juu, hiyo wanaita auditory hallucination, sauti mbaya za kuamrishwa anazikia mgonjwa ndani yake, kiasi cha kupelekea yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.