SEHEMU YA KWANZA
Declaration of Interest Andiko hili lina msingi wa kiimani (Ukristo) lakini pia lugha zilizotumika ni kiingereza na kiswahili ili kuwasilisha ujumbe uliokusudiwa.
Binadamu ameumbwa katika sehemu mbili nazo ni mwili (flesh) na nafsi/roho (Spirit) hivyo basi muunganiko wa...
Habari Great Thinkers ....
Katika jamii zetu za kiafrika kumekuwa na mambo(desturi) kadha wa kadha ambazo kwa namna moja au nyingine zimekuwa zikitudumaza ama kutuchelewesha kwenye maendeleo katika nyanja ya kifamilia na jamii kwa ujumla .
Leo ningependa kuongelea desturi moja ambayo hurudisha...
Umewahi kufikiri inawezekanaje nchi kubwa kama Tanzania kuwe na upungufu wa ajira tena sio tu kwenye sekta binafsi bali hali ni mbaya zaidi Serikalini .
Kumekuwa na mazoea kuifanya hali hii kuwa ya kawaida kiasi kwamba kwa vijana wanaoingia vyuoni kuambiwa wanatakiwa kusoma vitu watakavyoweza...
Wasalaam ;
Awali ya yote nitumie fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu muweza wa yote yeye atoae Riziki.
Sehemu kubwa ya RIZIKI zetu wanadamu hupatikana kwenye mazingira yetu ya kazi za kila siku ambayo kwa lugha nyepesi huitwa AJIRA .Mwanadamu anaweza kupata riziki yake kwa kujiajiri au kwa...
Wasalaam wanaJF
Bila kuchelewa niende kwenye mada moja kwa moja! Miongoni mwa tatizo kubwa linalokumba vijana wengi kwenye miaka ya karibuni ni kukosa mahusiano yenye mantiki nikiwa na maana ya kuwa mahusiano yanayokuwa na dhumuni au lengo la mahala yanakoelekea.
Kuna msemo mmoja wa...
Wasalaam wanaJF,
Kwa bahati nzuri nimefanikiwa kufuatilia mchakato wa kutafuta wagombea/wawakilishi wa nafasi mbalimbali kwenye vyama mbalimbali kwaajili ya kupeperusha bendera za vyama vyao kwenye uchaguzi wa mwaka huu 2020.
Kiukweli na uwazi ni dhahiri kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM)...
Wasalaam wanaJF,
Tokea taifa letu kuondokewa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu Ndugu Benjamin William Mkapa siku ya July 24,2020 nimechukua muda na kutafakari maisha ya kiongozi wetu huyu kwa sehemu ya nilivyomfahamu na kusikia kuhusu yeye.
Kwanza nikiri kuwa mara ya kwanza kumwona kiongozi...
Wasalaam,
Ikiwa kesho ndio tamati ya nyongeza ya muda wa Wananchi kujisajisili simcard zao kwa mfumo mpya unaohitaji namba ya vitambulisho vya taifa (NIDA) inategemewa kuwepo kwa kundi kubwa la watu watakao athiriwa na zoezi hili.
Zoezi hili linausisha taasisi mbili za Serikali NIDA na TCRA...
Wasalaam;
Kipindi cha utawala wa bendi Tanzania alikuwapo kijana machachari kutokea Tanga aliyeanza usanii akiwa kama mcheza show katika kumbi mbalimbali za starehe aliyejulikana kwa jina la Suleiman.
Mzee Karenga mwenye gitaa na Mbwembwe kwenye Mic
Mbwembwe,Shabaan Dede na Nasir lubuva...
Wasalaam,
Awali ya yote ningependa kutanguliza salamu kwako Mheshimiwa Raisi na kukutakia heri ya mwaka mpya 2020.
Mheshimiwa Raisi siwezi kusema nafahamu ugumu wa dhamana uliyobeba kutuongoza Watanzania tukiwa kama taifa lenye mchanganyiko wa mamilioni ya watu wenye mtazamo na malengo...
Leo nikiwa maeneo fulani nikiwa nafuatilia mchezo wa CHAN kati ya Tanzania na Sudan nikawa napata story fupi ya mpira yenye kusisimua kuhusu mchezaji wa zamani wa Yanga marehemu mzee SAID NASSOR MWAMBA KIZOTA .
Unaambiwa ilikuwa mwaka 1993 ndio mwaka ambao fundi huyu aliwapa burudani...
Wasalaam;
Ikiwa leo ni siku ya maadhimisho ya demokrasia duniani niwashirikishe haya machache niliyofikiri kwa mtazamo wangu.
Mosi naomba nifafanue maana ya demokrasia kwa uelewa wangu Demokrasia ni mfumo unaoundwa na kukubaliwa na jamii fulani kama njia sahihi ya kujiongoza,kujisimamia na...
Wasalaam;
Jamaa alifahamika kwa jina la Edward Makuka Nkoloso alipata kuwa Colonel wa jeshi mwalimu na mwanaharakati nchini Zambia
Kubwa zaidi alikuwa National director of the science academy nchini Zambia wakati inapata uhuru mwaka 1964 na alikuwa na mpango wa kuwatupilia mbali USA na...
Wasalaam,
Awali ya yote ni vizuri tukafahamu kuwa baadhi ya maneno yametumika kwa lugha ya kigeni ili kutoathiri muktadha .
“procedure” hii ambayo kitaalamu inaitwa GASTRIC BYPASS SURGERY hii pamoja na procedure nyingine ambazo zinaweza kufanywa kupunguza uzito au unene huitwa BARIATRIC...
Wasalaam
Hatimaye kanisa lenye ushawishi na pengine waumini wengi duniani Catholic of Rome wametoa waraka na msimamo wao kuhusu mapenzi ya jinsia moja (ushoga na usagaji) pamoja na transgenders (sidhani hata kama kuna kiswahili chake fasaha ) jana tarehe 10.06.2019.
Ikiwa ni mwendelezo wa...
Nadhani kila mara hili limekuwa likijirudia kwa kijana mwenzetu Paul Makonda “Hekima ya uongozi “
Kwa mfano unaweza kuwa na mzazi asiye na mvuto wa sura na hata jamii yako ikampachika majina na kumtambua hivyo lakini si hekima wewe kwenda mbele za watu na kusema yale majina anayoitwa mama yako...
Tarehe 12 January 1964 ni siku itakayoendelea kukumbukwa kama siku ya mwisho ya ukomo wa utawala wa KiSultani visiwani Zanzibar.
Kuna mambo mengi ambayo hayakuwekwa wazi kuhusiana na mapinduzi haya ya kihistoria kuondoa utawala onevu Zanzibar.
Je ni nani alianzisha mapinduzi haya? Nini...
Ni swali pengine wengi wetu tumekuwa tukijiuliza kama ilivyo kwetu sisi waafrika na waarabu Je,wazungu(Europeans) makabila yao ni yapi? Nini kilitokea kwa makabila hayo?
Ukweli ni kwamba wazungu wanamakabila,miungu,mila na desturi kama ilivyo kwetu sisi.
Kuna rafiki yangu hupenda kuniambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.