Search results

  1. Cesar Saint

    Orodha ya wanasiasa bora wa muda wote nchini Tanzania

    Hii orodha yako inaniambia vitu viwili moja umri wako mbili ni kwa kiasi gani masomo ya historia na siasa yako nyuma sana kwenye mitaala yetu .
  2. Cesar Saint

    Anaitwa Ian Kagame (Luteni Usu)

    Si kweli hebu kaangalie uongozi wa Donald Trump na hata sasa ndugu Joe wamejaza ndugu na jamaa kwenye ofisi
  3. Cesar Saint

    Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

    Kujiamini na kama unajua basi onyesha kuwa unajua na mwisho kuomba Mungu watu wanaojua ni wengi hivyo wakati mwengine huwa ni kuchagua Omba Mungu akupe kibali kwa jopo 9/10 wanaoingia oral huwa wanajua.
  4. Cesar Saint

    Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu

    Kwamba sheria ya Zanzibar inamtambua Mtanzania bara kama mgeni ? Unafahamu ugumu uliopo kwa mtanzania bara kupata barua hata ya sheha hata kama akiwa na barua ya mwenyekiti wa bara ?
  5. Cesar Saint

    Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu

    Naomba nikuulize swali rahisi sana ! Kama unaishi Tanzania bara ukitokea Zanzibar utahitaji nini na nini ili uweze kuuziwa/kumiliki Ardhi Tanzania bara ? Na wakati huo huo mtu anayehamia kutoka bara atahitaji nini na nini kuweza kumiliki/kuuziwa ardhi Zanzibar?
  6. Cesar Saint

    Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu

    Wanzanzibari hawabaguliwi kabisa wakiwa huku Tanganyika hupata haki sawa na fursa sawa . Ila kule visiwani wana ubaguzi sana kiasi kwamba wanaweza kumlamba miguu mzungu hoehae au mwarabu asiye na mbele wala nyuma na kukubagua Mtanzania mwenzao .
  7. Cesar Saint

    Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu

    Hawa jamaa ni ubongo lala yaani watakuwa tayari hilo pambano lisiwepo ilimradi mwakinyo asipambane !
  8. Cesar Saint

    Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu

    Wazanzibari si wote bali asilimia kubwa ni watu waliojaa choyo,wivu,roho mbaya na chuki kwa watu wa Tanzania bara na haswa zaidi Wakristo . Nasema haya kutokana na uzoefu wangu wa kuishi na kufanya kazi katika visiwa hivi,Tena Unguja ni nafuu ya Pemba . Tatizo kubwa huanzia kwenye udini,uvivu na...
  9. Cesar Saint

    Nimefukuzwa na mwenyeji wangu naomba msaada wa hifadhi Dodoma

    Nimeshakaa na jamaa yangu miaka hiyo tulisoma chuo pamoja bahati ni kuwa nilikuwa na sehemu dsm . Yule ndugu akaja kuanzia maisha kwangu alikaa anaenda kwenye mishe zake anarudi kulala wakati mwengine tunakula wote au kila mtu anakula anapopajua kwakuwa nilikuwa na mambo yangu na yeye yake...
  10. Cesar Saint

    Nimefukuzwa na mwenyeji wangu naomba msaada wa hifadhi Dodoma

    Unaondokaje nyumbani bila plan umesema ulikuwa na savings ulizifanyia nini ? Kinachonishangaza ni kuwa ulishindwa kupanga hata nyumba za elfu kumi na tano kwa mwezi ufanye michakato mingine au ulienda dodoma kutafuta white collar jobs . Sasa unarudi dsm ili iweje ili hali nyumbani kwenu hali...
  11. Cesar Saint

    Wizara ya Afya tunaomba kufahamishwa ugonjwa wa Monkeypox kabla haujazuka Tanzania

    Mambo matano (5) ya kufahamu kuhusu HOMA YA NYANI (MONKEYPOX) 1. Virusi vinavyoeneza Homa ya Nyani vinatokana na familia ya orthopoxvirus ambavyo mara ya kwanza viligunduliwa kuathiri nyani . Virusi hivi vimegawanyika katika makundi makuu mawili (strains/clades): Vile vinavyopatikana Afrika ya...
  12. Cesar Saint

    Halima Mdee: Mbowe alikuwa anatafuta huruma tu, hajawahi kuzungumza na Wazazi wangu

    Katika kitu ambacho CCM inawapiga bao upinzani ni uwezo wa kutunza watu ! Si kwamba hawakwaruzani bali misingi ya chama inatambua kuwa chamacha siasa chochote msingi wake ni watu . Leo hii unampiga chini mdee! Je unakumbuka sakata la Makamba na Kinana au lile la Nape au lile la Lowasa hawa wote...
  13. Cesar Saint

    Za ndani....Simba kupewa points 3 mechi ya Namungo.

    Kwa ninavyoelewa sheria za sasa hazibadilishi matokeo ya ndani ya uwanja zaidi adhabu zitahusu wahusika moja kwa moja kwa muktadha huu yaani timu au mchezaji husika au wote kwa pamoja.
  14. Cesar Saint

    Postal wamenikatalia kusafirisha nusu kilo ya kahawa mpaka kibali bila kuniambia kibali Cha nini

    Zamani nafikiri kibali cha kusafirisha vyakula na vifaa tiba pamoja na madawa kilikuwa kinatolewa na TFDA siku hizi nafikiri wanafanya hivyo TBS.
  15. Cesar Saint

    Tueleweshane sababu marehemu hapaswi kusemwa vibaya kwenye mila na tamaduni za Tanzania

    Kwenye tamaduni za kiafrika mtu akiaga dunia tunasema kitabu chake dunia huwa kimefungwa hivyo si hekima kuingia katika maneno yatakayo hoji au kujenga hukumu katika maisha yake kwani yeye hataweza kujitetea au kutolea maelezo. Hivyo basi ni katika hukumu siku ya mwisho ndio yale mema na mabaya...
  16. Cesar Saint

    Yuko wapi Mchizi Mox?

    Jamaa ni mtu poa sana yuko zake maeneo ya Tabata pale na bado anafanya shughuli zake za hapa na pale pamoja na mziki mcheki hata Instagram
  17. Cesar Saint

    Ole Mushi: Watanzania tumejipangaje kuipokea Congo kwenye EAC?

    Mwezi jana nilifika Burundi fursa zipo nyingi ila hizi nchi zinachangamoto kwenye swala la nishati,mawasiliano na miundombinu hivyo kwa wanaotaka kuwekeza kwenye maeneo haya waweke nguvu kwenye maeneo hayo wasiende na mtazamo wa Dar es Salaam au hata Njombe maana Tanzania imeendelea kwa kiasi...
  18. Cesar Saint

    Neno uliloambiwa na unalikumbuka hadi leo na linakusaidia

    Nikiwa primary mzee alinipa matatu katika kila jambo nilifanyalo Utii Bidii Uaminifu Nilipoingia sekondari akaniongezea mengine matatu Quick Neat Correct Katika yote ufanyayo zingatia hayo mambo sita
  19. Cesar Saint

    Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA

    If CIA were closely good to what they claim to be SARS-COVID isingeweza kutoka Wuhan mpaka Washington Dc
Back
Top Bottom