Search results

  1. Anheuser

    CHADEMA, UKAWA, muacheni Lowassa aongoze kampeni yake

    Uongozi CHADEMA, UKAWA, na wadau wa upinzani. Kama mmemualika Lowassa kusaidia kuiangusha C.C.M. basi ni kwa sababu ameonyesha dalili za mafanikio, na hiyo yote inatokana na mikakati yake ya siku nyingi pamoja na timu yake, ujumbe wake kwa umma, historia na mvuto wake kwa jamii. Kama ndie...
  2. Anheuser

    Mwigulu fanya kazi za nchi, Hazina

    Siku ya kwanza Mwigulu Nchemba aliapishwa Naibu Waziri. Ya pili akakutana na waandishi kusema alikuwa wa kwanza darasani B.A. na M.A na PhD inayokuja ( japo alifeli darasa la saba kabla ya kubadili jina.) Siku ya tatu akaenda kwenye Msiba wa diwani Kigamboni, akawasilisha michango ya chama...
  3. Anheuser

    LG unlock code

    Wakubwa, Naomba unlock code ya LG CU920 tafadhali. Natanguliza shukrani.
  4. Anheuser

    Eset nod32

    ESET NOD32 ANTIVIRUS BUSINESS EDITION Mwenye serial key au patch tafadhali. Ahsante.
Back
Top Bottom