Search results

  1. i411

    Kero: Utaratibu wa ku re-new line matatizo tupu

    Ninawaletea experience yangu ilionitokea baada ya kupoteza SIM card yangu. Ilikuwa ya ijumaa kuu sikuiona, basi ijumaa kuu nikaamkia voda wakani jazia form niipeleke polisi service ilikuwa powakabisa. Sasa huko polisi madudu yao sijui nani alianzisha huu utaratibu na akawapa mamlaka polisi...
  2. i411

    Toyota mark X

    Toyota Mark X nataka kujuwa zaidi kwa wale wengine wanazozitumia kama kuna common changamoto wanazokutana nazo zaidi ya kujaza full tank Ltrs 70 na uchumi wa sasa. Kwenye kuitumia kwa matumizi ya kila siku nini kinajitokezaga mbeleni. Juzi tuu nilienda kwa fundi wangu nayemuamini akaniambia hii...
  3. i411

    Halotel speed imeongezeka au vipi

    Hiyo ndo speed nimepata Leo
  4. i411

    Natafuta gharama za tanesco kuzalisha umeme

    Natafuta kama kunamtu anajua gharama ya tanesco kuzalisha umeme hapa bongo kwa kutumia mitambo yake. Wakitumia mafuta, gas, maji au makaa ya mawe
  5. i411

    Visa za wageni sasa zipandekutoka $50

    Nina hili swala la visa za kuja kutembelea bongo kwa wazungu sasa zipande. Wamekuwa wakitunyonya mda mrefu wao kuja bongo ni $50 lakini nchi nyingi za huko mbele visa kwanza unapeleka mpaka bank statement na vitu unavyo miliki alafu ndo wanakugongga kuanzia $150-$ 7000huko. Sasa kwa nchi yetu...
  6. i411

    Sumsung wageza tena apple na S4 gold

    Samsung is taking a page from Apple with the introduction of a gold version of its Galaxy S4 smartphone. "Introducing the new #GalaxyS4 Gold Edition - for a style that's uniquely yours!" Samsung said on itsSaudi Arabia Twitter feed. "Elegance is a touch of gold," reads the tagline above a photo...
  7. i411

    Apple event live blog WWDC

    http://live.arstechnica.com/wwdc-2013-keynote-liveblog/ Kwawale wenzangu team apple ingieni hapo mjionee vipya vijavyo kwenye Mac OSX na iOS 7 New OSX is code name Mavericks inatoka fall lakini hawajasema bei labda itakuwa kama $29 kama osx lion. Ios7 imetulia wamebadilisha muonekano wa apps...
  8. i411

    Microsoft E3 2013 Xbox one out

    WAtu wamejaa kwenye uzinduzi wa Xbox one.... Naona microsoft wamefanya kazi nzuri. Kitu hiki kinakuja november au december mlimani city somewhere. Bei wameweka $499 kwa US sasa huku kwetu sijui wahindi watatudunga bei gani.... Xbox 360 nayo imeongezewa kiwango kuanzia leo kwa Xbox360 mpya $200...
  9. i411

    Used rav 4 for sale

    RAV 4 short chasis inauzwa kama inavyoonekana kwenye picha In a good condition, no technical problem Millage : 235,000 km Year of Man: 1994 Transmission: Manual Price : 6.5 m
  10. i411

    WanaTech mnaonaje price ya iPad min kuanzia $330 mawazo

    Mimi naona hawa jamaa Apple wanajiamini sana kuingia kwenye hii market ya 7" na kuuza kifaa chao for $330 wakati wengine wanaanzia $200. Hata mimi nilizania kitakuwa labda kuanzia $250. Lakini pia nataka kukumbusha hawa jamaa wa apple wao wanatenge vifaa ndo vinavyo waingiziaa hela sana kwenye...
  11. i411

    Apple announces Q4 2012 earnings: $36B revenue, $8.2B net profit, 26.9M iPhones, 14M iPads, 5.3M iPo

    Habari ndo hiyo sasa nasubiria matokeo ya nokia,RIM,microsoft na sumsung tuone nani yupo creative i.e. product out of the shelves money in the bank siyo ushabiki tuu.
  12. i411

    Viongoziwetu hao wakimwaga kidhungu

    Viongozi wakimwaga kudhungu nimeweka audio files attached kutoka jicho la ngombe leo
  13. i411

    Mashangingi,v8,kilimo kwanza Nazani yameongezeka

    Huu ni mtazamo wangu tuu serikali ilikuwa ianze kutumia au kununua gari za bei nafuu kwa watumishi wake wa ngazi za juu. Sasa leo katika pitapita zangu posta nimeshangaa sana kuyaona ma v8 mengi na hizi namba za STK,STJ na SU kwani sikuizi wanaandika tuu request hata wasaidizi kupewa hayo nini...
  14. i411

    Miji 10 yenye Foleni balaa barabarani

    Bongo Hatumo soma zaidi hapo chini...... Haka kasurvey kametoka BBC lakini nazani wamesahau safari ya mbagala 2 mwenge jioni.... Kwanza lazima upiganie gari, alafu nauli kubwa na bado hujajumlisha foleni hapo na umesimama mpaka unaishiwa ganzi. Naomba usiwe barabarani siku kuna mechi ya simba na...
  15. i411

    Sera ya Taifa ya Maendeleo Ya Vijana 2007

    Sera ya taifa ya maendeleo ya vijana iliundwa ili kutoa muongozo kwa vijana na asasi za vijana. Mkataba wakwanza ulitoka mwaka 1996 lakini ulikuwa na mapungufu mengi kwakuwa miaka hiyo ya zamani serikali na nchi kwa ujumla ilikuwa haina changamoto nyingi na wahusika hasa vijana hawakuhsishwa...
  16. i411

    Jiko la kuchomea nyama

    Wanajamvi, Nna mtu wangu wa karibu anahitaji jiko la kuchomea nyama lile ambalo kwa juu lina kama mfuniko na outlet ya kutolea moshi. Nawakilisha
  17. i411

    Kununua line uwakala wa tigo pesa/ mpesa

    Habari, Nahitaji kununua line ya u wakala wa tigo pesa na M pesa kwa mtu yeyote alieshindwa biashara...... Hii ni kutoka na que kubwa ya wateja kwa ajili ya kupata uwakala M pesa na mimi nipo tyr kuanza biashara wakati huu Pia Tigo pesa wamesimamisha usajili wa mawakala kwa sababu zao za...
  18. i411

    Matokeo ya New Nokia na Motorolaz uzinduzi

    follow the links hii ni ya nokia lumia-920 Nokia Lumia 920 hands-on: the dual-core, HD Windows Phone 8 flagship to take on the beasts -- Engadget hii ni ya Motorolaz droid Razr Motorola Droid RAZR HD hands-on: a 720p Android ICS update with 2,500mAh battery life -- Engadget
  19. i411

    Plot for sell kunduchi bichi

    Plot for sell ipo kunduchi bichi karibia na nyumba za polisi ndani kidogo. Milioni 32, maelewano piga +255 719600 705 na 0713 536 471
  20. i411

    Nafasi za Kazi za Magazetine Leo

    Nafasi za kazi za magazetini za leo nenda TAYOA Employment Portal
Back
Top Bottom