Search results

  1. i411

    Ibrahim Traore Baada ya Kunogewa na Urais asema Uchaguzi sio Kipaombele Chake.

    dogo yupo vizuri aendelee tuu bila kupigwa
  2. i411

    Gari yangu inakimbia sana!

    huyu nazani ameendesha mara ya kwanza hako kapaso ka shemeji safari ndefu ya km 30 ndo anazani kanakimbia sana labda kushinda kirikuu alivyozoea
  3. i411

    Tamko Litolewe kukemea mwendokasi wa hizi Treni.

    huyu atakuwa mfanyakazi wa serikali ndo akili zao zipo hivi treni ikwepe basi🤣🤣🤣🤣
  4. i411

    Tunauza Bidhaa za Solar na Tunafunga Solar System

    shukran mkuu nitafanyia kazi ushauri wako umenifumbua saana katatizo kalikuwa kanajitokeza mara kwa mara
  5. i411

    Tunauza Bidhaa za Solar na Tunafunga Solar System

    watts 400 na hilo battery ilirun nyumba nzima usiku kucha kama miezi mitatu alafu ikaanza kuzingua. Ni taa tuu za nje kama 8 za wat 3 na maramoja moja masaa kama matano tv.
  6. i411

    Tunauza Bidhaa za Solar na Tunafunga Solar System

    hihi N200 battery zenu Vimeo sana nimenunu hii mwaka jana Mwezi wa kumi na mbili nikafunga mjengoni mwezi wa nne tuu mwaka huu battery hazimalizi masaa mawili wakati mwanzoni zilikuwa zinafanya kazi usiku wote mpaka asubuhi
  7. i411

    Oil kupungua bila kuwa na leakage

    miye ningekushauri kama gari unahistoria Yake ni yako mwenyewe unaitumia kuliko ukafunguo engine upige mswaki bora uwe unaendelea tuu kuongeza oil kama haitoi Moshi mweupe ule nyuma
  8. i411

    Nape Nnauye afungia mtandao wa Clubhouse, haupatikani Tanzania bila VPN

    Twitter bado ipo mapambano yanaendelea
  9. i411

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kweli hiii tuamie huko
  10. i411

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wale wataalam x1bet Leo mmetususa
  11. i411

    Waziri wa Kilimo Zanzibar anesema Walitaifisha Ndizi za Mwanjala kuepuka magonjwa ya migomba, pia ndizi hizo ziliingizwa kimagendo!

    Siye ndo tuliopo mtafanya maigizo sana lakini hamiwezi maisha bila watu wa bara.
  12. i411

    Uingereza na Ufaransa wanaandamana kwa ugumu wa maisha, Lissu na CHADEMA changamkieni tenda ya kutengeneza Katiba Mpya kule

    Miye kiliochangu ni bando tuu tangu Nape apewe rungu tunaibiwa tuuu alafu yeye anatukejeli kama siye watoto. Hata kuweka bando mtu afanye application ya kazi tuu bando la buku mbili halimalizi dk 20 ukiwa umefungua tuu browse ya ajira portal. Hawa jamaa wenye vitambi wajifikiri upya wanatupeleka...
  13. i411

    Waziri wa Kilimo Zanzibar anesema Walitaifisha Ndizi za Mwanjala kuepuka magonjwa ya migomba, pia ndizi hizo ziliingizwa kimagendo!

    Huyo waziri sijui alivuta kitu cha wapi mambo mengine ni uonevu wa kupitiliza sasa next mtakuwa mnatuambia wabara tunawaletea magonjwa ya kukohoa🤧😎
  14. i411

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Weekend inakaribia wana wale maexpart X1bet tupieni code tujipange mapema
  15. i411

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimejiunga 1xbet Leo leteni mikeka nisubirie maajabu manake kwingine kote nimepigwa
  16. i411

    Nissan Dualis yawaka moto. Hizi gari zina shida gani?

    Dualis zimekuwa nyingi sana mtaani Kama ist tuu sasa zinakaribiana. Kunakipindi ist nazenyewe watu walisema zinawaka moto sana. Ila ukitaka kujua tatizo kubwa ni vile vifaa vinavyoongezwa after market kwenye gari. Unaenda pale lumumba unaambiwa kuna fundi akifungie alamu sawa, Redio sawa lights...
  17. i411

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mshukuru Mungu amewapumzisha vipigo leo 😎
  18. i411

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tutupie spotbet mkuu tujiachie
  19. i411

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo kimya sana humu………🤔
Back
Top Bottom