Search results

  1. Simple F

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Cha msingi asimtafute, akiweza kumkaushia amejipunguzia shida
  2. Simple F

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Sasa wewe ndo inabidi ujisimamie Kumbe Songea hapa hapa inabidi tufanye jambo
  3. Simple F

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Furahia kwa sababu ameishajifungia Milango ya kukusumbua tena
  4. Simple F

    Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

    Mkuu niunge telegram kama hutojali naomba namba yako pm tumalizie taratibu zingine
  5. Simple F

    Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

    Hicho kiunganishia unawez kuchomokea humo kwamba umemis hata mtoko au kitu fulani jaribu kurahisisha maisha
  6. Simple F

    Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

    Tatizo tukiwa straight mnaleta stori za mi siyo kama wengine, mara mimi sio malaya au mara unanichukuliaje kwa mfano
  7. Simple F

    Ukiona anasita au hataki kukuoa daka ujauzito halafu goma kuutoa, atakuoa tu

    Huu ushauri uliwaponza wengi kabla ya kubeba hakikisha mmekubaliana
  8. Simple F

    Kauka nkuvae ya Gamondi inaijeruhi Yanga

    Jamaa wangekatiwa mawasiliano kati wasingesumbua angalia jamaa walikuwa hawarudi kati ndo maana wakawasambua sana coz muda mwingi walikuwa wengi mbele
  9. Simple F

    Kauka nkuvae ya Gamondi inaijeruhi Yanga

    Kocha ni muoga wa sub kuanzia dak 78 alitakiwa kufanya za viungo hata kupunguza beki ili apate nguvu mpya kati ya kufanya pressing
  10. Simple F

    Serikali inakosea sana kuwatenganisha Kikazi Wanandoa

    Tatizo ushakosa amani ya moyo ht kwa kujiliamizisha ni ngumu Sana coz huwez kuwa na upendo nae tena watu hawajui Mke anaumaa jamani. Mi kumsamehe ni ngumu sana
  11. Simple F

    Tatizo la Manchester United ni nini haswa?

    Nakubaliana wewe Mkuu je, ukosefu wa ushindani wa namba unachangia viwango kuwa chinii mfano Rashford ameridhika anacheza kifazaa khs Maguire sio mbaya shida bei yake haiendani kabisa ilichangiwa na Uingerez wake
  12. Simple F

    Tatizo la Manchester United ni nini haswa?

    Mount ni kielezo tu tunaanzia usajili wa Maguire kwa gharama kubwa ili wavunje rekodi kisa Waingereza
  13. Simple F

    Tatizo la Manchester United ni nini haswa?

    Bila hivyo wamiliki hawawez kubadilika na kuachia watu waliosiriaz kuweka uwekezaji
  14. Simple F

    Tatizo la Manchester United ni nini haswa?

    Alitoka Amrabat kipindi wakati kinaanza
  15. Simple F

    Tatizo la Manchester United ni nini haswa?

    Timu ambayo haitaki kusajili wachezaji wa maana wameweka Uingereza mbele kwa kuwanunua bei ghali bila sababu yaani Utd ndo ya kulipa mileha kibao kwa Mount halafu unasubiria wachezaji wa mikopo timu iendee sasa ni bora liende bila mgomo wa mashabiki haitoboi
  16. Simple F

    Sipendi kuonekana mbaya kwenye maisha

    Ushauri hama hapo ulipopanga Kama anashindwa kujiongeza kuchangia gharama za maisha
  17. Simple F

    Hii ya wasichana wadogo kujifungua kwa upasuaji imekaaje?

    Wengine wanaonga kabisa hawataki kushonwa kipochi manyoya
Back
Top Bottom