Search results

  1. Blessed Jr

    Taratibu za kununua gari ili kufika Singida

    Habari wadau, nimepata vijisenti kiduchu na kuona kama naweza angalou nunua kausafiri hivi. Nataka kuñunua NISSAN X TRAIL ya mwaka 2007 ambayo ni dolali 4115 ila wanasema tax and duty haipo. Je, hiyo tax and duty ni shs ngapi? Wataisafirisha mpaka Arusha. Msaada please.
  2. Blessed Jr

    BIKIRA: siijui radha ya bikira

    Wadau kwema, ni miaka 32 tangu nilione jua, ila ni miaka 17 tangu nimeanza ku kwichi kwichi. Ila katika miaka yangu yote hiyo cha kugegeda sijawahi kutana na mtoto akiwa bikra aisee, kiukweli rafiki zangu wakiniambia juu ya utamu wa bikira naumia, siijui radha yake na natamani niionje. Jamani...
  3. Blessed Jr

    SINGIDA FORMU:

    habari wana jamvi, kutokana na kutokuwa na Forum ya Mkoa wa Singida, binafdi nimeona tukutane hapa ili kujuzana maswala mbalimbali yanayohusu mkoa wa Singida na tuweze kujadiliana na kuusaidia Mkoa wa Singida. Ukiwa Mbunge, DC, RC, RAS, DAS, MKURUGENZI na yeyote wa Singida basi huu ndiyo uzi...
  4. Blessed Jr

    Viongozi wetu mnatutia aibu kama Taifa

    *VIONGOZI WETU, MNATUTIA AIBU* Nioneshe masikitiko yangu sana kwa Viongozi wetu na Serikali kiujumla kwa jinsi mnavoshughulikia changamoto na kero za wananchi. Serikali ipo kuwatumikia Wananchi, ibara ya 8.-(1)(a) inasema kuwa "Wananchi ndio msingi wa mamlaka yote, na Serikali itapata madaraka...
  5. Blessed Jr

    MSAADA PLZ: Huduma ya Go Live siipati kwa Smart tV (TCL)

    Wadau niaje, ebhana nashindwa kitu kimoja, kila nikijaribu kupata huduma ya Go Live kwa TCL inagoma. Inaishia kuniambia kuwa Network unavailable, wakati huo huo nikiwa kwa Youtube au social apps inakubali, msaada tafadhali,
  6. Blessed Jr

    MSAADA: Go Live inazingua

    Wadau niaje, ebhana nashindwa kitu kimoja, kila nikijaribu kupata huduma ya Go Live kwa TCL inagoma. Inaishia kuniambia kuwa Network unavailable, wakati huo huo nikiwa kwa Youtube au social apps inakubali, msaada tafadhali
  7. Blessed Jr

    RC Mkonda, onesha vyeti halali uondokane na kadhia hii

    Kuna Video inasambaa ya RC Makonda akiwa Kanisani na anaonekana analia, Nadhani kulia kwake sio suruhisho la tatizo, Mimi kama Mkatoliki wakati wa Mafundisho nilifundishwa kuwa, ukikosa omba msamaha nawe utasamehewa. Haikuishia hapo, nikaambiwa kuwa, ukichukua kitu cha mtu aidha kwa makusudi...
  8. Blessed Jr

    MUHIMU: Majina ya waliopitishwa kugombea Urais TLS

    MAJINA YA WALIOPITISHWA KUGOMBEA NAFASI YA RAIS WA CHAMA CHA WANASHERIA WA TANGANYIKA. TLS. Kazi kweli kweli hapa. 1. VICTORIA MANDARI 2. FRANCIS STOLLA 3. LAU KEGO MASHA 4. GODWIN MWAPONGO 5. TUNDU LISSU
  9. Blessed Jr

    Ndoa: Natafuta mke

    Natafuta mke, awe mwenye hofu ya Mungu, mimi ni Mkristo kwa hiyo akiwa Mkristo sio mbaya sana na awe mwenye maono ya Kimungu zaidi. Elimu yangu ni Shahada (Degree), ni mwalimu, nina miaka 31 kuelekew 32. Awe na angalau certificate kama kiwango chake cha Elimu, Awe na Umri wa miaka 23-29, aliye...
  10. Blessed Jr

    Lissu juu ya kauli ya Rais kwenye sherehe za Siku ya Sheria

    Na TUNDU LISSU Nimesikiliza sehemu ya hotuba ya Rais Magufuli wakati wa sherehe za Siku ya Sheria leo. Nimemsikiliza aliposema wanaokamatwa na nyara za Serikali au madawa ya kulevya wanastahili kuchukuliwa hatua bila kufuata taratibu za kawaida za kisheria hasa pale wanapokamatwa 'red-handed.'...
  11. Blessed Jr

    TAHADHARI: Epuka kujiunga na Wapinga Kristo kwa mavazi haya

    Kuna T-shirts zipo Hapa Tanzania zimeanza kuingia sokoni za Kupinga Kristo. Kanye Wst Msanii wa Marekani ameamua kuanzisha dini yake na kujiita YESU wa dini yake. Alichokifanya ni kubadili neno YESU na kujiita YEEZUS akiwa na maana ya Yesu wa kweli. T-shirts hizo naona watu wameshaanza...
  12. Blessed Jr

    TAARIFA: Tundu Lissu hana account facebook

    Habari ya wakati huu, napenda muwahabarisha kuwa Mh. Tundu Lissu (MB) wa Simgida Mashariki hana account ya facebook wala Twitter. Taarifa hii inakuja baada ya kuona kuna mtu anajiita Tundu Lissu, baada ya hapo niliamua kumtafuta Mh. Tundu Lissu ili anithibitishie hilo. Baada ya kumpata...
  13. Blessed Jr

    Ushauri: Wanawake tulieni kwenye ndoa

    Kumekuwa na tabia ya akina mama watu wazima kutoka kwenye ndoa zao, kitu ambacho kizadhalilisha hadhi ya wame zao. Unakuta mama wa miaka 40 anataka atoke na kijana wa miaka 29, sababu, eti hajawahi kuridhishwa na mume wake. Acheni hizo, ziheshimuni ndoa zenu bana.
  14. Blessed Jr

    Barua kwa UN kuhusu kupotea kwa Ben Saanane

    Hello Secretary General UN, I am a Tanzanian writing this letter to you asking to intervene Human Right Violation. Recently, there is a missing Activist namely Ben Rabiu Saa Nane who is missing for such a two weeks now without any information from the government. We have raised up our voices...
  15. Blessed Jr

    Ushauri: Pete ya ndoa

    Habari zenu wadau, Samahani, Pete nzuri ya kumvisha mtoto wa kike (Engagement Ring), ni ya aina gani? (Silver au Gold? Na inatakiwa iwe na gram ngapi? NB: Take it serious.
  16. Blessed Jr

    MUHIMU: Natafuta Mchumba

    Habari, Naitwa Brian, mwanaume, ni mwalimu wa Sekondari nipo Dar, miaka 31, natafuta mchumba (Mwanamke) na awe Mkristo (RC) au dhehebu lolote, awe Mcha Mungu na asiwe mtu wa mambo mengi (mambo ya Kidunia), Awe na umri kuanzia miaka 23-28. Karibuni.
Back
Top Bottom