Search results

  1. Blessed Jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shida sio 1xbet, shida ni hawa watoa huduma, mi tigo wanasema pesa yangu iko hewani ila ni zaidi ya wiki 3 daily wansema ndani ya masaa 24
  2. Blessed Jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shida hasa ni nini ankal?
  3. Blessed Jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kampuni zote huwa ni dakika 90, na kama ni extra time watakuwekea option hiyo
  4. Blessed Jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ulitumia kampuni gani? Nimegundua sio 1xbet, ni watu wa mitandao. Mimi tigo wananiambia pesa inaonekana na watairudisha ndani ya saa 24 mpaka leo, nikiwapigia wananipa stori hizo hizo
  5. Blessed Jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuliko Draw No Bet bora double chance, maana ikitoa droo inakuwa void
  6. Blessed Jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimetuma pesa tangu tarehe 23/09 mwaka huu, kila siku tigo wanasema itarudi ndani ya saa 24 ila mpaka leo kimya. Huyu jamaa nimemcheki wala hajibu meseji yangu, mpaka nikaona nifute tu namba yake maana hana msaada
  7. Blessed Jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betting companies zote wana consider additional minutes. Isipokuwa extra time ndo hamna
  8. Blessed Jr

    Kuzuia Panya Kuingia katika Gari

    Pole aisee[emoji16][emoji16]
  9. Blessed Jr

    Taratibu za kununua gari ili kufika Singida

    Wataalam jamani juu ya hili swala
  10. Blessed Jr

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kocha anazingua sana
  11. Blessed Jr

    Taratibu za kununua gari ili kufika Singida

    Ushauri wako ni upi mkuu, niendelee na process zake au niachane nalo?
  12. Blessed Jr

    Taratibu za kununua gari ili kufika Singida

    Shida yake ni nini hasa mkuu, nielekeze, na gari nzuri ya around 15M ni ipi?
  13. Blessed Jr

    Taratibu za kununua gari ili kufika Singida

    Habari wadau, nimepata vijisenti kiduchu na kuona kama naweza angalou nunua kausafiri hivi. Nataka kuñunua NISSAN X TRAIL ya mwaka 2007 ambayo ni dolali 4115 ila wanasema tax and duty haipo. Je, hiyo tax and duty ni shs ngapi? Wataisafirisha mpaka Arusha. Msaada please.
  14. Blessed Jr

    Anakuja na kurudi siku hiyo hiyo!!

    Ni kabila gani, kama ni mnyaturu au mnyiramba andika maumivu, huwa ni wababe sana, hawataki kuwa chini ya mwanaume. Wanataka wao ndiyo wawe kila kitu, wanadharau, kiburi, jeuri, kisirani na malaya pia[emoji4][emoji4]
  15. Blessed Jr

    CHADEMA watoa sauti ya Hussein Bashe akiwahimiza makada wa CCM wawapige CHADEMA kwani mahakama na polisi ni za CCM

    Huyu Bashe nilikuwa namuona kama ana uwezo tofauti na wenzake wa Ccm, kumbe na ni kiazi tu[emoji23]
  16. Blessed Jr

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    The man wants Liverpool and will e happy to his arrival at Anfield Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Blessed Jr

    uzi maalumu wa kumshauri mheshimiwa maghufuli kuingilia suala la paypal tanzania

    Bado elimu juu ya Paypal inahitajika, wengi hawajui maana ya paypal na inafanyaje kazi. Nadhani tuanzie hapo kwa kutoa elimu kwanza, mawazo yangu
  18. Blessed Jr

    Sumaye ashangaa agizo la kukamatwa kwake

    Ccm ni manyang'au wanataka wao ndo waonekane wanafanya kila kitu, shame on thir faces
  19. Blessed Jr

    BIKIRA: siijui radha ya bikira

    Tatizo hamtaki kuonekana kama mna kwichi kwichi
Back
Top Bottom