Search results

  1. Msomi hewa

    Black Panther 2

    ...Very stupid movie.
  2. Msomi hewa

    Ulimwengu wa introverts na suala zima la mahusiano

    ...mkuu sijui kinge, em nitafasirie hayo maneno umeandika kwa kinge
  3. Msomi hewa

    Ulimwengu wa introverts na suala zima la mahusiano

    ...Nyie itakuwa wakishua tuu!, ukiwa masikini inatakiwa uwachekee watu wengi ili ule, Sasa huo u-introvert kwa sisi masikini haupo
  4. Msomi hewa

    DIAMOND PLATNUMZ kwenye vita

    ...Nimeishia hapo ulipoandika "am very MUCH sure"[emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Msomi hewa

    An open letter to all Tanzanian: Stop telling young people to employ themselves instead tell old people to resign and start businesses

    ...Unaweza kuwa na hoja ila mwandiko wako hauridhishi, mtu anaweza kudhani upo unajifunza kizungu tu.
  6. Msomi hewa

    Mechi ya Simba na Yanga imeahirishwa

    ...I hope hauko siriaz.
  7. Msomi hewa

    Matukio ya uchaguzi wa Marekani!! Weka tukio lako hapa!

    ...We nae jifunze ku-aknowledge mtu kama umem-quote!, sawa Martine?
  8. Msomi hewa

    JamiiForums Usiku wa manane

    ...0500, Nakabidhi lindo.
  9. Msomi hewa

    JamiiForums Usiku wa manane

    ...Asee, ngoja nifunge lindo..yule baro baro kumbe ni mlinzi mwenzangu sema yeye ni kwa level za nchi, amenionesha kitambulisho chake nimetetemeka!, watu hawalali kuhakikisha wewe unalala, usiku mrefu kuliko mchana!
  10. Msomi hewa

    JamiiForums Usiku wa manane

    ...Aroo kijana mbona umesimama hapa, unasubiri nini?, wewe ni jinsia gani mbona umevaa hereni!, unafanya kazi gani?..nini!? eti boda boda! hiyo iphone umetoa wapi?, nyie ndio vibaka, reo utanieleza vizuri...
  11. Msomi hewa

    JamiiForums Usiku wa manane

    ...0436, Hii kazi ngumu, yaani napishana na walevi tuu na mabaamedi, ila ngoja kuna baro baro mmoja namuona kwa mbali subiri nikamzingue
  12. Msomi hewa

    JamiiForums Usiku wa manane

    ...Wewe mweupe mweupe hebu njoo hapa mbele, hebu taja namba yako upesi upesi..au unataka tuzurule wote leo?
  13. Msomi hewa

    JamiiForums Usiku wa manane

    ...Enheh, na nyie wasichana mnafanyanini saa hii, hamjui raia wote wanatakiwa kulala ni jeshi tu ndo tunafaa tuwe macho saivi?
  14. Msomi hewa

    JamiiForums Usiku wa manane

    ...Kijana hebu changia serikali haraka haraka uendee, huwezi kulewa halafu uniambie eti huna pesaa!, na siku nyingine uwe unachukua uber!, haya potea hapa upesi(Puuuh, buti la ugoko na kwenzi la kisogoni)
  15. Msomi hewa

    JamiiForums Usiku wa manane

    ...Na hiyo uliyoshika ni nini?, kijana unavuta bangee!, aroo wewe twende kituoni, haya songaaa!(Paaaah kofi heavy la mgongo).
  16. Msomi hewa

    JamiiForums Usiku wa manane

    ...Hebu ngoja kwanza kijana!, unakwenda wapi?, wapi kitambulidho cha mkaazi, na mbona umelewa?
  17. Msomi hewa

    JamiiForums Usiku wa manane

    0408
  18. Msomi hewa

    JamiiForums Usiku wa manane

    0353
  19. Msomi hewa

    JamiiForums Usiku wa manane

    ...Nani yupo macho tumsengenye chidy wa kawe?
Back
Top Bottom