Search results

  1. C

    Nahitaji msaada wa shule ya english medium au private ya bei nafuu kwa watoto wa primary iliyopo Mwanza

    Habarini wakuu, Kuna ndugu yangu anatafuta shule ya english medium au private ya bei nafuu kwa ajili ya watoto wake walioko darasa la 3,4 na 5. Shule iwe Mwanza maana ndiko anakoishi. Natanguliza shukrani
  2. C

    Wakuu nina degree ya procurement na uzoefu wa mwaka 1 kwenye banking and finance natafuta kazi

    Salamu nyingi kwenu wakuu, Mimi ni kijana mwenye elimu ngazi ya degree na pia Nina uzoefu wa Mwaka 1 kwenye banking and finance. Naomba msaada wenu ili nipate kazi iwe kwenye taasisi, shirika au kampuni au mahali pengine popote iwe kwenye stores, marketing, customer services department au...
Back
Top Bottom