Search results

  1. Super women 2

    Je, ulishawahi kuhisi kwenye familia yenu kwamba watoto wengine sio wa baba yako?

    Habarini wakuuu. Mimi kwetu tulizaliwa wengi (8), Ila Kati ya hao nane nina uhakika 100% 3 sio wa ndani ya NDOA. I mean mama alichepuka. Nilipokuja kugundua mama anachepuka Nilikuwa Kama darasa la tatu hivi, mama alikuwa anapenda sana kunituma kwa huyo mchepuko wake nikachukue vitu...
  2. Super women 2

    Camera ya CM yangu haitaki kufanya kazi. Inaniandikia hivi

    Habari wanajamvi. Nina CM yangu Tecno k9 spark. Tokea Jana nikifungua kamera haipigi picha. Na tochi haitaki. Kwa mwenye kujua tatizo linakuwa lipi naomba msaada. Au je ninaweza kwenda makao makuuu ya Tecno na wakanisaidia kutatua tatizo langu. Na makao makuuu yao yako wapi kwa DAR. ASANTENI...
  3. Super women 2

    MAOMBI :kwa wale ambao mmepitia Kipindi cha ujauzito tunaomba ushauri wenu

    Habari zenu. Kama ulipitia Kipindi cha ujauzito 0-9 miezi. Unaweza kutusaidia tunaotaka kupata watoto, Changamoto za mimba, ulaji, vitu muhimu vya kufanya Kipindi cha ujauzito, Unatakiwa Ule Nini ambacho ni Kizuri kwa afya Kipindi cha mimba,. Unatakiwa utayarishe vitu vya kujifungulia...
  4. Super women 2

    MSAADA : mwenye kujua Jinsi ya Kujiunga na JUMIA ili Niwe nauza bidhaa.

    Habari wapendwa. Naomba msaada wa anaejua Jinsi ya Kujiunga na jumia. Nina bidhaa zangu nataka Niwe nauza huko. Shida ni jee najiungaje. Mwenye kujua Tafadhali anieleweshe mnaamini humu Kuna wanaojua. Asante sana. Mbarikiwe
  5. Super women 2

    Ni mafuta gani mazuri ya kupakaa mwilini yanayolainisha ngozi bila kuchubua?

    Habari Nina rangi ya maji ya kunde, kwa mwenyewe kujua mafuta mazuri yasiyochubua, Ila yanalainisha ngozi na kuiweka nyororo. naomba kuyajua. ngozi yangu ni ya mafuta. Asanteni..
  6. Super women 2

    Mwanaume ambaye hana elimu lakini ana hela, anajua kuhudumia na kujali mwanamke kuliko mwanaume mwenye elimu na hela

    Wasalaam, Kuna kitu nimejifunza mno ya kwamba mwanaume mwenye hela, alafu ana elimu hata ya darasa la saba au form 4, anajali sana kuliko hawa wanaoitwa wasomi alafu ni matajiri, hawawezi kuona thamani ya mwanamke. Sasa sijui ni elimu huwa inawapa kiburi, sina uhakika.Yaani mwanaume asie na...
  7. Super women 2

    Ntapata wapi paper flowers. Ambazo zinatumika kutengezeza maua. Kwa hapa Dar??

    Habari waungwana. Nilikuwa na shida na material zinazotumika kutengeneza maua ya urembo, yanapatikana wapi kwa hapa Dar ess alaam. Kwa mwenye kujua tafadhali
  8. Super women 2

    Je, wewe unajivunia kuchaguliwa nguo na mwenza wako kwa ajili ya mtoko wa kila siku?

    Kuna haya mapenzi mubashara ya mume na mke. Au hata wapenzi, sanasana wale wanaokaa nyumba moja hupendelea kuchaguliana nguo ya kuvaa kwa ajili ya kazini, kusafiri, mitoko ya jioni. Kuna wengine wanafurahia kuchaguliwa nguo na wengine hawapendi, na hao wanakuwa na sababu zao maalum Kwa...
  9. Super women 2

    Mimi nampenda wewe je???

  10. Super women 2

    Kwani ukiolewa ndio mwisho wa kuwa mrembo na kuvaa vizuri?

    Habari, Kiukweli kuna wanawake wakiolewa wanakuwa kama wabibi kipindi kifupi tu ukilinganisha na zamani alivyouwa (single) utakuta vaa yake ya hovyo kajiachia achia tu kitambi hilo, mazoezi hafanyi, iliradi tu yeye kaolewa. My dear mwanake ulioko kwenye ndoa jaribu kubadilika basi hata mume...
  11. Super women 2

    Hivi mwanaume anapovaa hereni anamaanisha nini?

    Ivi kweli mwanaume rijali unaweza kuvaa hereni. Hata Kama ni usanii. Hapana asee.mimi nikiona mwanaume kavaa hivyo najua huyo sijui Kama ni mzima.
  12. Super women 2

    Mwenye kujua kabati la nguo la chuma Kama hili linapatikana wapi naomba unijuze

    Nina shida Sana na kabati la chuma kama hilo. Mwenye kuwa nalo ambae anatengeneza please naomba nijuze nalipata wapi au hata kama unajua linapatikana wapi nijuze.
  13. Super women 2

    TTCL embu kuweni serious na mtandao wenu

    Mtu unadownloda kitu cha mb 8.point ndani ya saaa moja. Kama sio kumaliziana charge tu huku. Zamani mlikuwa poa Sana na niliwasifia mnoo. Zaidi niliwashawishi watu zaidi ya kumi kujiunga na mtandao wenu. Nilipouna upo katika mwelekeo. Lakini sasa naona mnashindwa. Sasa sijui ndo wateja...
  14. Super women 2

    Kupima HIV mara kwa mara: Je, ni kuangalia afya tu au kutokutulia kwenye mahusiano ndio sababu?

    Mimi huwa napenda Sana kucheki afya yangu na hasa vipimo vikubwa Kama H.I.V ninaweza kucheki mara 3 kwa mwaka au chini ya hapo ila mwenzagu yeye ni mbishi wa kupima H IV balaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhani hata kama alishawahi kupima. Ukitaka kukosana nae mwambie twende...
  15. Super women 2

    Kwa Wale wa Vodacom, kuweni makini na number hiyo hapo ni matapeli wakubwa :

    Wamenipigia CM wanajifanya kunijulisha nimeshinda, na blah blah kibao. Nika waambia acheni upuuzi sio kila mnaye mpigia mta mtapeli. Kuweni makini jomoni [emoji23]
  16. Super women 2

    Ukiwa GOLIKIPA, Mume, mpenzi, mchumba,hawara, lazima atakudharau tuh.

    Kataa kubali mwanamke yoyote Yule akiwa GOLIKIPA Lazima mwanaume atakudharau tu. Sio wote. Lakini 89% wapo hivyo. Ukiamka wewe asubuhi ni, kufua, kupika chai,chakula cha mchana, na jioni, Unaoga unamsubiri mumeo arudi kutoka kazini. Na anakurudia nyumbani saa 7 usiku, au kumi na moja za usiku...
  17. Super women 2

    Wanaume wenye mapenzi ya dhati ndo wanaweza fanya hivi. Ila kwa wenye tamaa wanakuacha mataa ya ubungo unashangaa.

    Alikuwa mzima na walikuwa kwenye mapenzi. Na Baadae akapata ajali,hawezi kusimama tena...
  18. Super women 2

    Mwanaume rijali, Ambaye umesababisha MIMBA, na mtoto akazaliwa kweli, Unashindwa kumlea mwanao

    wanaume embu mbadilike jamani. Ivi mchepuko wako mpaka anapata mimba na wewe unamsaport ya kwamba zaa tu mtoto ntamlea. Na baada ya mtoto kuzaliwa, unaanza kumzungusha kuhusu matunzo ya mtoto. huwa mnafikiriaga nini. Yaani hapo ni kumuumiza tu mtoto, na si kingine. imagine mpaka mama ake...
  19. Super women 2

    Ni upumbavu mwanaume rijali, ambaye umesababisha mimba na mtoto akazaliwa unashindwa kumlea mwanao

    Wanaume embu mbadilike jamani, Hivi mchepuko wako mpaka anapata mimba na wewe unamsaport ya kwamba zaa tu mtoto nitamlea. Na baada ya mtoto kuzaliwa, unaanza kumzungusha kuhusu matunzo ya mtoto huwa mnafikiriaga nini. Yaani hapo ni kumuumiza tu mtoto na si kingine, imagine mpaka mama yake...
Back
Top Bottom