Search results

  1. M

    Katiba ya Tanzania ni bora Afrika

    Hujambo ndugu yangu, kwa almost two weeks nimekuwa nikisoma katiba za baadhi ya mataifa ya kiafrika nilianzia ya Mauritius nikaenda Angola, nikaenda Cameroon, nikaja kwa Wahabeshi nikashukia kwa akina Amoro nikagundua kuwa katiba yetu ni nzuri sana sana, tatizo lililopo Tanzania ni watu hawasomi...
  2. M

    Je, Prof. Mbarawa kuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar?

    Huenda Prof. Makame Mbarawa akaibukia kuubeba U-Vise President wa Visiwa vya Zanzibar. Japo sina uelewa mzuri wa kimahusiano kati Mgombea Mwinyi na Prof. Mbarawa lakini dalidali zipo.
  3. M

    Uchaguzi 2020 Lissu kaiangusha Chadema

    Members I salute! Ni hakika katika uchaguzi huu wa 2020 mgombea urais kupitia cdm atasababisha chama chake kuanguka vibaya sana kwenye sanduku la kura kwa zifuatazo: 1. Lisu hatumii akili ya ufahamu kwamba yuko kwenye kampeni ya urais Bali yeye anadhani yuko kwny kampeni ya ubunge jimboni. 2...
  4. M

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atashindwa saa 3 asubuhi

    Ni ukweli usiopingika 'ASIYESIKIA LA MKUU', Ushauri mwingi ulitolewa kuwa mwaka huu chadema na vyama vingine vingewekeza nguvu nyingi katika nafasi za Udiwani Na Ubunge, hii nafasi ya urais wangesimika mgombea mwaka 2025/30 maana ni kipindi ambacho wagombea wote watakuwa wapya. Kwa sasa...
  5. M

    Uchaguzi 2020 Ijue mikoa ya ushindi kwa CCM

    Ifuatayo ni mikoa inayombeba mgombea wa CCM kwa kura nyingi ambazo zinaenda kupatia ushindi mkubwa usiotarajiwa na washindani wake kwenye sanduku la kura. Mikoa hii ni mikoa yenye idadi kubwa ya watu na ina maelfu wa wanachama wa CCM, hivyo kama vyama shindani hawakujikita huko mapema baada ya...
  6. M

    Wakenya watatuelewa tu sisi Watanzania

    Wakati Wakenya wakizidi kuihujumu kiuchumi Tanzania huku wakiwa wamelewa chan'gaa na mirungi hawajui Tanzania imejikita wapi kiuchumi. Eti wakaibagua Tanzania kwenye usafiri wa ndege kijanjajanja wakatoa orodha ya mataifa 11 kesho yake wakaongeza 8 huku wakijua wazi Tanzania wataiumiza. Kwa...
  7. M

    Katumba secondary: Ni kunyanyasana au utaratibu?

    Katika shule ya sekondari Katumba wilayani Tanganyika Mkoani Katavi, mkuu wa shule hiyo kawafukuza wanafunzi wa kidato cha nne kisa kushindwa kufyatua tofali 300 kwa dakika tu. Chanzo cha adhabu hiyo ni wanafunzi kulazimishwa kuhamia bweni kwa gharama kubwa ambazo ni debe 7 mahindi, debe 4...
  8. M

    Nitacheka sana kwa furaha ya kulia Siku uchumi wa Marekani utaporomoka mara 6 ghafla

    Kwa kifupi wanaJF nimekuwa na tabia ya kuichukia sana Marekani hadi natamani iporomoke kabisa hiyo dola. Sababu za kuichukia ninazo nyingi mno, Ila kuna mfuasi wangu anaeichukia USA aje hapa amwage mistari ya nguvu.
  9. M

    Magufulification ni kishindo kipya Malawi

    Huko Nchini Malawi kuna operation inaitwa Magufulification imeanza kazi rasmi watumishi wote wa Serikali wametakiwa kupeleka na kuonesha vyeti vyao Halisi walivyoajiriwa navyo. Aliyekuwa mkuu wa Kitengo cha ulinzi wa Rais ametiwa nguvuni kwa kosa la nyuma la tabia ya kuingia bidhaa na vitu...
  10. M

    Hebu sema ukweli wako: Je umewahi kuzini?

    Watu wengi walioko kwenye ndoa wameshawahi kufanya uzinifu. Je, kama ulishazini ulijisikia furaha au kawaida tu? Je, ulisononeka kumsaliti mkeo au mmeo? Je, ulishawahi kumuomba msamaha mkeo/ mmeo Na kudisclose kwamba Leo nimezini? Je, ulizini na aliyepo kwny ndoa( yaani wote mko kwny ndoa), je...
  11. M

    Unabii wangu kutimia: CHADEMA kinajifia mkononi mwa Mbowe

    Hakika unabii unatimia pale filimbi ya mwisho itakapigwa Na watanzania kuweka alama za vema(tiki) kwenye ballot papers, ni pale ambapo Mhe Mbowe atajificha uvunguni kwa kusingizia konyagi kuchanganywa Na gongo baada ya chadema kuokota nill kila mahali. Masikini Tundu Lisu uliitukana nchi...
  12. M

    Malawi: Chama Tawala cha zamani charudi madarakani

    Kwa kifupi sana napenda nitoe Elimu ndogo tu kwa baadhi ya wenye upeo mdogo wa mambo ya international politics, kuhusu matokeo ya uchaguzi nchini Malawi ni kwamba kile chama kilichowahi kuwa madarakani kikawa cha upinzani kimerudishwa madarakani Na wananchi baada ya wananchi kubaini kuwa bora...
  13. M

    Je, walifahamu Jeshi letu bora la Polisi?

    Watu wengi hulalamika mitandaoni na mitaani kuwa jeshi la polisi linatenda kazi kababe tu halina wasomi, wengi wao hawajasoma ni vilaza na wengine Ziro tu. Sasa Leo naomba niwatoe tongotongo kwa kuwa nilizaliwa jirani sana na kambi moja iliyojaa vijana machachari wenye kufaa tshirti Nyekundu Na...
  14. M

    Kisulisuli cha mwezi Januari: Bank of Africa Loan

    Wanajf, naomba ushauri, nahitaji Mkopo wa faster. je hao bank of Africa wako vipi? Wanatoa mikopo kwa heshima au ni riba za kuviziana? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    2020 CHADEMA isithubutu kuweka mgombea

    Hamjambo wadogo zangu wana CHADEMA! Kwa kifupi nawapa CHADEMA ushauri wa bure kwamba wasihangaike kuweka mgombea wa kiti cha Urais Katika uchaguzi wa 2020 kwani wakithubutu watapata aibu kubwa, bali watie juhudi kwenye Ubunge Na udiwani zaidi kwa faida ya baadaye watakaposimama katika uchaguzi...
  16. M

    Hodi hodi Mwanza 9 December

    WanaJF, habari za siku? Maisha yenu yanaendaje? Basi kwa kifupi mliopo Mwanza msituogope tuonane tunakuja huko kwa shughuli ya sherehe maarufu na muhimu kabisa ya Uhuru wa nchi yetu tulishazoea kuiita tisa Desemba. Namalizia uzi huu kwa kuwaulizeni JF members kuwa, je itakuwa vizuri sherehe...
  17. M

    Hospitali ya wilaya ya Ubungo kujengwa soon

    Wanajf kwanza nianze kumpongeza RC Makonda kwa kufikisha ombi la wanaUbungo kwa mkuu wa nchi, kwa kuwa wabunge wa Jimbo hilo hawatekelezi majukumu yao vizuri. Hospitality hiyo kuanza kujengwa kesho kwa muda wa miezi 3 tu ikamilike. JKT wamekabidhi hiyo kazi Na mkuu wa mkoa wa Dar Source: TBC
  18. M

    Siyo uongo: Serikali ya Jakaya Kikwete ilikuwa dhaifu sana

    Kama heading inavyosomeka, ni kweli Serikali ya Kikwete ilikuwa dhaifu sana katika mambo mengi mpaka kichefuchefu, nitaje baadhi tu: Huduma za jamii zilikuwa hovyo sana mfano kukatikatika kwa umeme, Maji nk, Huduma mbovu maofisini na mahospitalini mifano mwanangu aliwahi ungua Maji ya moto...
  19. M

    Israel yashambulia mahasimu wake wawili

    Jeshi la Israel limefanya mashambulizi nchini Syria na kusababisha uharibifu mkubwa katika kambi 2 za Iran nchini Syria, na baada ya masaa mawili jeshi hilo la Israel likafanya mashambulizi mengine huko Lebanon kisha wakakaa kimyaa wakisubiri matamko. Kiufupi Lebanon haipaswi kushambuliwa Ila...
  20. M

    Kwanini mtu akitolewa Uwaziri anachukia?

    Kwa kile kidogo ninachokijua uwaziri hausomewi, hakuna kutuma barua ya maombi ya kazi, nk Lakini Mtu akiteuliwa kuwa waziri na bahati mbaya akaondolewa ni kwanini huyo MTU mara nyingi anakuwa Na hasira, anakuwa mkorofi, ana jaa chuki moyoni! Je ni kitu gani kimo kwny uwaziri?
Back
Top Bottom