Search results

  1. mwinyigumba

    Kiwanja kinauzwa Tanga

    Kiwanja kipo kange stendi mpya, kinaukubwa wa m20x30 kipo karbu na stendi kuu ya mabasi tanga, bei ya kiwanja ni mil 5.8 mazungumzo yapo, kiwanja kinaoffer.. Kwa mawasiliano pga no. 0713 575797
  2. mwinyigumba

    Nyumba inauzwa Tanga

    Inavyumba vi3, jiko na frame mbili za biashara..ipo tanga mjini mtaa wa kwanjeka nyumba ya tanga xul..ina hali nzur na inafaa kwa kuish mwenyew au kupangsha..maji na umeme vp full time.. Bei ni m18... kwa mawasiliano pga 0713 575797 Muuzaji ni mmiliki halal
  3. mwinyigumba

    Nyumba inauzwa Tanga

    Ipo Tanga mjini mtaa wa kwanjeka nyuma ya shule ya Tanga xul, inavyumba vi3, choo, jiko na milango miwili ya biashara.. Muuzaj ni mmiliki Bei ni mil 17.5 Kwa mawasiliano pga 0713 575797..
  4. mwinyigumba

    Nyumba inauzwa Tanga

    habar zenu wanajf...tunauza nyumba yetu ipo tanga mjini mtaa wa kwanjeka..inavyumba vitatu chumba kimoja kina sebule. Ina Jiko la nje na inamilango miwili ya biashara..maji na umeme vipo full time. Pesa ya haraka inahitajika bei ni 17.5m maongez yapo kidogo... Kwa mwenye uwezo, uhitaji na nia...
  5. mwinyigumba

    Natafuta pikipiki Honda MD90

    Habar zenu wanajf, Mimi nipo Tanga naomba kufahamishwa ni wapi naweza kupata pikpik aina ya Honda MD90 kwa dar es salaam na zinarange kwenye bei gani...natanguliza shukran.
  6. mwinyigumba

    Naomba msaada wa kujua haya yafuatayo..

    Katika miaka ya 2000 au 2001 kama sijakosea kampuni ya azam walikuwa wanatengeneza maji katika sachet yaani katika vifuko vya plastic, lakin baada ya muda wakaacha naomba kujua ni kwasababu gani waliacha utengenezaji wa hayo maji...najua jf wapo watu wanaufahamu nalo hili jambo na pengne walikua...
Back
Top Bottom