Search results

  1. mwantui

    Sitokusahau david moyes nakushukuru sana kwa hili.

    Sitomsahau moyes katika maisha yangu yote...kwa kunifanya nisiangalie timu ninayoipenda zaidi duniani lakini hatimae hatunae tena na mungu akubariki popote uendapo moyes ...ahsante kwa kuifanya timu iliokua inaheshimika zaidi na kuogopeka duniani kuonekana kua ni timu ya kawaida ahsante sana.
  2. mwantui

    Naomba sample ya barua ya mdhamini

    Wakuu naomba mwenye sample ya barua ya mdhamini au maelezo ya jinsi ya ku draft barua ya udhamini..natanguliza shukrani zangu za dhati.
  3. mwantui

    kwa wataalamu wa kompyuta..

    Habari za uzima wana jf....wakuu nina compyuter yangu hua ninaitumia kila siku bila kunisumbu ila leo kila nikiiwasha inatoa mlio kama wa alarm hivii nikajaribu kufungua ili nijue mlio huo unatokea wapi nikakuta ni AUX POWER ndio inayopiga kelele huku ikitoa rangi ya green .nikiconect...
  4. mwantui

    Nahitaji kujitolea kufanya kazi.

    Mimi ni graduate wa bacholar of banking and financial services so kwa yeyote atakaependa kufanya kazi na mimi iwe ni kampuni binafsi ,biashara yeyote nipo tayari.location ni popote pale .Nitashukuru sana wana great thinker kama kuna atakae nisaidia kwa hili kwani hatojutia kufanya kazi na...
  5. mwantui

    Tatizo hili linanitesa sana naombeni msaada.

    Habari wakuu. Mimi nina tatizo la kukosa usingizi muda WA usiku kwa muda mrefu sasa mwanzoni nilikua nadhani labda ni kwa sababu ya kuzoea kusoma usiku lakini baada ya muda WA kama miezi mitano ivi baada ya kumaliza chuo nimekua nateseka sana usiku kwa kukosa usingizi kabisa nashindwa kuelewa...
  6. mwantui

    oral interview Tanzania postal bank

    Wakuu kama kuna yeyote alietumiwa ujumbe kuitwa kwenye interview ya oral kwa post ya sales executive tupeane possible questions and possibly answers au kwa yeyote mwenye maujuzi anaweza kunijuza pia.
  7. mwantui

    kwa waliofanya interview ya written last weak TPB

    Vipi hawajaanza kuita kwenda kwenye oral interview kwa yeyote mwenye taarifa tujuzane please.
  8. mwantui

    Msaada tafadhari!

    "Mwalimu alisema kama jana ingekua kesho leo ingekua ijumaa",je mwalimu aliyasema maneno haya siku gani?
  9. mwantui

    natafuta nafasi ya ku volunteering/intership

    mimi ni graduate of bachelor of banking and finance.
Back
Top Bottom