Search results

  1. Kelvin Joseph

    Guest of honour

    The guest speaker has been talking for more than three hours already. The audience was getting bored and restless. Finaly the speaker gasped, "My goodness, I must have been talking for hours! Is there a clock some where around?". One bored member of the audience shouted "There is a calender...
  2. Kelvin Joseph

    Vitu vya Kichina

    Dada mmoja kutoka sehemu fulani alitembea na mchina mmoja ili apate mtoto wa kichina. Akapata mimba akajifungua mtoto wa kiume na bahati mbaya mtoto huyo akafariki. Kwenye mazishi ya mtoto akasikika akisema "Nilijua tu" watu wakamuuliza ulijua nini? Akasema "Nilijua tu vitu vya kichina havidumu".
  3. Kelvin Joseph

    Hapa sasa wanamahesabu

    Wanahesabu wanadai eti 2=1! Wanasema ikiwa x=y Basi 2x-x=2y-y Na 2x-2y=x-y 2(x-y)=x-y 2(x-y)/(x-y)=x-y/x-y2=1 Ona unavyotoa macho! Hauelewi chochote!
  4. Kelvin Joseph

    Uzinduzi wa kisima ....

    Katika kijiji cha **** wananchi walijengea kisima cha kijiji Wakati wa uzinduzi wa kisima hicho Mh:Mizengo Pinda akaalikwa kuwa mgeni rasmi. Wakati akionyeshwa mandhari ya kijiji hicho akapelekwa kwenye kisima chenyewe. Wakakifunua ili akione. Ghafla Mheshimiwa akashtuka na kurudi nyuma...
  5. Kelvin Joseph

    Mtoto wa kichina

    Huyo mchina noma
  6. Kelvin Joseph

    Jagi la dawa ya UKIMWI hili hapa

    Mh! Hiyo dawa balaaa.
  7. Kelvin Joseph

    Kuepusha fumanizi na vipigo, barua za namna hii zinahitajika!!!!

    Ha ha ha ha ha ha ha. That's dangerous man.
  8. Kelvin Joseph

    Watanzania tumejaaliwa

    Dah! She's so sexy!!!!??
Back
Top Bottom