Search results

  1. ArD67

    Ujumbe Maalum kwa Dkt. John Magufuli, Rais Mteule wa Tanzania

    Nchi nzima unaijua wewe? Ndivyo mnavyojiaminishaga kiuongo eti nchi nzima mnakubalika hivyo mngepaswa kushinda uchaguzi, haya ndio leo ngoja tuyaone
  2. ArD67

    Ujumbe Maalum kwa Dkt. John Magufuli, Rais Mteule wa Tanzania

    Haya ndio mambo ya maana sana na yenye tija kwa taifa letu, kwakweli kama taifa lenye uchanga ktk mifumo mingi ya kiuchumi, kijamii,kisiasa na hata kijeshi, taifa linahitaji zaidi kudumisha haki za kijamii na kiuchumi na wala si za kisiasa, wananchi Wana njaa, hivyo wanahitaji zaidi KULA na si KURA.
  3. ArD67

    Tatizo lolote la PC/device

    Wakuu habarini! Laptop yangu ni Dell,,mwanzoni tatizo lilikuwa tu haitoi sauti, kwa Sasa hata chaji haiingizi,,yani unaiweka kwenye plug kitaa cha moto kinatetemeka tu na ni ktk wekundu wake tu,,ukiichomoa inazimika hapohapo. Maaana hata wa mawazo wakuu! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ArD67

    Familia ya Malkia Elizabeth wa Uingereza inayopitia kwenye msukosuko baada ya mjukuu wake kujitoa kwenye ufalme

    Tusaidie tu swali letu hili, kipi kikubwa/kinamvaa/kinamuongoza/kinamuumba mwenzie kati ya STATE and GOVERNMENT? Nadhani hatu tu utamwelewa uliyemjibu juu. Lingine, je government interests zikigongana na State interests, zipi zita prevail? Hapo ndiko tukuambiako kuwa, Rais, wa Uingereza alianza...
  5. ArD67

    Familia ya Malkia Elizabeth wa Uingereza inayopitia kwenye msukosuko baada ya mjukuu wake kujitoa kwenye ufalme

    Waungwana! Hivi huu ulimbukeni (Kama kweli kwa kuishi hivyo ni ulimbukeni) unaofanywa na waingereza, kutawaliwa na mtu mmoja toka miaka ya 50 huko hadi leo, akifa hatatawala mwinginewe toka nje ya uko wake, na hili ni toka vizazi hadi vizazi, wanaharakati wa demokrasia hamlioni???!!! Uingereza...
  6. ArD67

    Muungano unalindwa kwa nguvu

    Sio ina asili ya vinasaba tu, ni sehemu ya dola la MLIMA ambalo makao yake makuu yalikuwa ni Kilwa, sasa kuhamia Dar then Dom ingebadilisha kitu gani hapo? Wazanzibar kama wasouth Africa ni jamii za kuwaonea tu huruma, minds zao ziko affected sana na utumwa na ukoloni, sasa so bora hata anko...
  7. ArD67

    Muungano unalindwa kwa nguvu

    Kama kuna watu duniani tumeumbwa tofauti sana na wengine basi ni watu weusi, na wenye vinasaba vya uweusi. Hata hatujui kwanini tumeumbwa hivyo yatupasa tufanye nini. Ktk zama na nyakati hizi bado kuna watu wanazungumzia utaifa, ukoloni, udini, ukanda nknk wanaacha ya msingi ya kukamata fursa...
  8. ArD67

    Kwanini wote wanaotekwa na kupatikana hai hawasemi walichofanyiwa?

    Na kutekwa kimkakati na kurejeshwa, ni lazima wakuambie kipi kimesababisha utekwe. Haiwezekani usiambiwe hapo.
  9. ArD67

    Kwanini wote wanaotekwa na kupatikana hai hawasemi walichofanyiwa?

    Kwahiyo unaweza ficha ili wengi watendewe hivyo? Huo si uanaharakati, je ungekuwa ni wewe umetekwa ungeyakubali hayo? Nadhani kwa mtu dhaifu kama huyo, hata kumteka hakuna mana, angechimbwa tu mkwara wa kihivyo mwenyewe angefyata mkia. Why utumie manguvu na athari za kuonekana ni mtekaji sasa?
  10. ArD67

    Kwanini wote wanaotekwa na kupatikana hai hawasemi walichofanyiwa?

    Kwakweli hata kwa kuingiliwa kinyume cha maumbile, kutishiwa kuuawa, lakini kwa wanaharakati, lazima wangejitoa mhanga wa kuwataja na kusema kilichowakuta ili dunia iwajue na haya matukio haya yakome kabisa. Unaficha ili iweje sasa? Ndio maana kuna walakini ktk haya mambo haya.
  11. ArD67

    Chato vs Butiama kwa miaka zaidi ya 20 alikuwa mbunge na waziri alishindwa kawa rais ndani ya miaka 3 tu ishakuwa jiji ndio mnamfananisha na Nyerere

    Chato ni makao makuu ya wilaya au mkoa au ndio kijiji kabisa kama usemavyo? Hapo juu kuna mdau amesema watz hatutembei, ila kimiradi nchi yote wilaya zote zina miradi mikubwa. Njooni Simiyu muone miradi mikubwa yakustaajabisha ktk wilaya zake.
  12. ArD67

    Hivi naweza kuwa Mchungaji na Mcha Mungu mkubwa sana halafu hapo hapo nikawa naongoza Kikosi cha Ujasusi Mtaani Kwetu?

    Ndio, unaweza vizuri sana. Kwakuwa hadi hapo wewe ni mchungaji mnafiki tayari. Jasusi mdogo, cheo tu ndio unachokihofia. Kila la kheri jasusi mchungaji, utimize ujasusi wako kiuweledi, halafu hata sio dhambi kwanza, itumikie jamii yako kupitia vipawa vyako vyote.
  13. ArD67

    Special kwa ma first born wote.

    Hata falsafa/na itikadi za madogo zetu tunaziandaa sisi na kuwajengea wao. Ktk vyote vionekanavyo ktk sura za wadogo zetu, ni matokeo ya ma firstborn zao. Wengi tumewatambulisha vingi.
  14. ArD67

    Special kwa ma first born wote.

    Hapana si kweli kabisa! Mtoto wa kwanza ndiye mtoto aliyekuwa kufanya mengi ya kitoto tangu yuko utotoni kabisa, hata kulia,uchoyo na mengine mengi, eti kisa tu amepata mdogo wake. Hatujawahi kudekezwa na hata kama tulidekezwa awali na kwa kipindi kifupi saaana.
  15. ArD67

    Mfahamu the Green Mamba

    Ngole ni was kijani pia, lakini sio mkali na hukaa jirani na makazi ya watu. Kuna hata misemo ya kijadi Pwani, wakisema "ngole" humaanisha mtu rafiki au asiye na madhara.
  16. ArD67

    Swali fikirishi: Hivi kwanini Watanganyika wanachukia kuitwa Watanganyika?

    Mbona wewe umeingilia mifumo na mapenzi ya wengine ambao kwa matakwa na mapenzi yao wamejikubali kuwa wao no watanzania tu? Kwaanini msijipigie kura za maoni huko kwenu ili mjue wangapi wana fikra kama zako na wapi ni wengi na walio kinyume chako? Kama hata LA kujipigia kura tu mnashindwa...
  17. ArD67

    Swali fikirishi: Hivi kwanini Watanganyika wanachukia kuitwa Watanganyika?

    Napata shida sana kuwaelewa Wazanzibar hakika, hawaeleweki hata wanachokitaka. Kweli wamestahili kutawaliwa tena karne nyingi zijazo. Mada unaileta wewe na mimatusi juu,halafu ndio kuna kitu uchamungu na ustarabu na mnataka mvilinde, duh! Shida sana.
  18. ArD67

    Mfahamu the Green Mamba

    Sio huyu, huyu kwa mikoa ya Pwani huitwa "mgude" ni nyoka hatari na wala hakai kwenye makazi ya watu bali kwenye misitu mikubwa tu tena mara nyingi ni juu ya miti.
  19. ArD67

    Sababu ya kwa nini wewe bado ni masikini

    Nilikuwa sijui hili, kwamba fedha ni kigezo cha utajiri na umasikini.
  20. ArD67

    Sala maalum ya kuomba ustawi wa mataifa ya Ham (mataifa ya waafrika weusi)

    Huyu "Yuhushua Masiha" nahitaji kumjua, alikuwa Mwafrika mwenzetu wa Sudan au Zimbabwe?
Back
Top Bottom