Search results

  1. K

    Kikwete amwambia Magufuli aache Ubabe kwenye bomoa bomoa; Magufuli ataaminika tena?

    Msimshangae Rais wenu maana alishindwa kabla ya kushindwa. Alianza utawala nchi hii kwa kufanya dhambi moja ya ubaguzi wa kila aina. Kisiasa alilunda timu ya wanamtandao akawapa vyeo akigawa kama uyoga. Kila aliyejua akumuunga mkono aliakikisha anaula wa chuya. Tanzania kwa mara ya kwanza...
  2. K

    JK wakati umefika hata hivyo hujachelewa!!

    Kwa mtu asiyejua dhana dhana ya uwajibikaji wa pamoja (collective responsibility) anaweza akampongeza JK kwa kumfokea Waziri wake hadharani. Lakini kwa mtu makini JK kafanya kosa la karne na nafikiri utawala wake anazidi kuutia doa. Haiyumkiniki mradi mkubwa kama huu wa kutengeneza barabara za...
Back
Top Bottom