Search results

  1. wiseboy

    Nimeahidiwa Q-Net kuwa bilionea baada ya miaka mitano

    Acha uchafu huo mkuu! Wanakutapeli hakuna kitu hao. Ila kama hutak basi jaribu ili ujionee majib mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  2. wiseboy

    Kenya inavyonyanyasika na Tanzania

    Tony254, Ningekuwa mm ni wewe ningejitoa kwenye mijadala ya mitandao ya kijamii maisha yote! Haiwezekan juzi tu hapa hela ya Korona mmehongwa watu wameipoga juu kwa juu kama chakula cha msibani! Hivi taasisi zenu ni kweli hazina meno kabisa? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. wiseboy

    Tujuzane machimbo ya Mafuta ya Kupikia ya bei nafuu Dar Es Salaam

    Chimbo lako la bei juu sana, lita tano barabarani mbande barabara ya Dodoma unapata 15 hadi 17,000 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. wiseboy

    Napangisha nyumba na vyumba maeneo mbalimbali nchini

    Anaombwa walau picha hajali ...akapange vyote si poa tu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. wiseboy

    Ukiwa unapita nje ya Duka la Dawa ukiona limeandikwa Duka la Dawa baridi huwa akili inafikiria nini?

    Heee sylabus ya mwaka gan hii imebadilisha normal reading ya room temperature kuwa 20°c Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  6. wiseboy

    Shirika la Fedha Duniani (IMF) laidhinisha fedha kwa ajili ya Kenya na Uganda kusaidia kupambana na makali ya uchumi

    Hiyo ni mikopo tu, na mzee baba alishaliongelea hili ndio namwelewa...walisisitiza lockdown ili wawakopeshe kwa riba ya juu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. wiseboy

    Wale Tuliosoma sana O-level tukapelekwa shule za Vipaji, Huko Nature ikatuchagua

    [emoji16][emoji16]kati ya elimu iliyofanya niwehuke ni advance, kwanza topic ndeefuu mm nadhan tushamaliza kumbe niko mle mle topic haijaisha! Kati ya kitu sijawah kufanya toka primary had leo ni swala la kuingia mlango wa twisheni.. Sasa advance kuna matoto ya homebased parents wanaingia...
  8. wiseboy

    Unafanyaje unapogundua mtoto uliyemlea kwa zaidi ya miaka nane sio wako?

    Mistakes hazitakaa ziishe duniani, kama hukufanya wewe basi atafanya mtu wa karibu yako sana! Na mistakes ni kama past ambavyo havina wino wa kufutia! Fanya utafiti wengi waliofanikiwa among family members sometime hadi ngazi za kuwa vyeo vya juu ndani ya nchi, financialy, akili za maisha...
  9. wiseboy

    Umeshawai kuanzisha mahusiano na Mtu halafu ghafla uchumi wako unaanza kuporomoka

    Nikuulize kitu mkuu, kuna vitu unafanya ili kupata kuteka interest zake? I mean unaenda zaidi ulivyokuwa kabla. Mfano kuna msichana mpya ukimpata full kuponda wavulana wanaovaa aina fulan ya nguo so unakomaa kununua zile apendazo umvutie...kuna msichana ukimpata anaponda aina za magari so...
  10. wiseboy

    Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

    Wabudu wazungu bwana mna kazi sana..nani kafa na korona Tz hadi sasa...yani marekan kwa bongo kila kitu huwa inajifaraghua faraghua yani ilimradi ...balozi aliopo kwa sasa bongo seems ni mtu wa kiki na beef za. Ngoja azoe mazombi yake ayarudishe makao makuu ya korona yawahi kujifia jirani na...
  11. wiseboy

    Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

    Kwa faida ya Team Tomaso Sent using Jamii Forums mobile app
  12. wiseboy

    Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

    Seems una nice new idea kwa hii sekta ya home music mkuu, ila unawasilisha kwa mabano sana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. wiseboy

    Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

    [emoji16][emoji16] kwa nn umesema hivyo mkuu....sio marketing nautumia huo mtwango kwa sasa...najua nisemacho...au unataka utamaso? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. wiseboy

    Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

    Mzee baba lete hela umalize uroho wa music....hii inakataga hamu zote! Labda ukipata hii ukaendelea kumiss muzik basi utakuwa na shida zingine Sent using Jamii Forums mobile app
  15. wiseboy

    Ushauri kuhusu biashara yangu

    Mkuu uzembe ni wako: Ingia dukani fanya stock takin .nini kipo na nini hakipo dukan vilivyopungua ongezea weka kumbukumbu kwenye daftari kisha kila baada ya week let say ijumaa unatenga muda wako unaingia kufanya hesabu ya week nini kimeuzwa nini kimebaki. Ukifanya hivi utapata physical answers...
  16. wiseboy

    Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Duuh kodi kwa mwaka 6milion, na mm hapo ndo naanza kuona changamoto ya kwanza na ukizingatia unaanza biashara sio mzoefu Sent using Jamii Forums mobile app
  17. wiseboy

    Mwongozo wa Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Mini Supermarket

    Vipi ulianzisha hii project mzee baba tushare maujuzi na xperiences ulizopitia Sent using Jamii Forums mobile app
  18. wiseboy

    Hivi PJ, mtangazaji wa Clouds FM, alienda wapi?

    Mambo mambo eeeeh... Ilikuwa saa kumi na robo mzee baba baada ya habari kwa ufupi na ikifuatiwa taarifa za vifo na ikifika kumi na dk 15 wazee wanashusha jingel kuashiria kimenuka...Enzi hizo RFA ni sound Of Africa for real. Na nilikuwa na ndoto kuanzia utotoni kutangaza pale, naomba nipate...
  19. wiseboy

    Huku kitaa: Utajiri ni nyumba na gari Tuu!...

    Utajiri ni bank statement....i do value that sio mbwembwe zingine...kuna mbwiga akaja kuni konvice sijui Qnet na picha kapiga kwenye gari ...nikamwambia brother convice me by bank statement flow chart..naona hajatokea tena. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom