Search results

  1. S

    Uchaguzi 2020 Juhudi za kuua upinzani nchini kwenye uchaguzi ujao ni kwa maslahi ya nani?

    Wanabodi, Kutokana na vitendo vinavyofanywa na viongozi wa serikali na vyombo vya dola kuna kila dalili kuwa upinzani hauhitajiki tena nchini na kwamba mfumo wa chama kimoja ndio unaohitajika kwa sasa. Mfano mzuri ni huu wa kuzuia wabunge wa upinzani kufanya mikutano kwa Uhuru na wapiga kura...
  2. S

    Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    Kinachotuchanganya zaidi ni hao watekaji kutumia gari hiyo hiyo kumrudisha MO hadi Gymkana bila kukamatwa japo ulinzi umeimarishwa kila kona. Hii haihitaji elimu yoyote ya upelelezi kung'amua kuwa kuna mchezo mchafu nyuma ya pazia.
  3. S

    Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    Ndugu wanabodi, Ukiiangalia press ya IGP kisha ukaangalia majigambo ya Mambosasa akinesha gari iliyotajwa na IGP kuwa imepatikana na MO akiwa salama kabisa lazima utagundua kuwa kuna picha imechezwa hapa Lakini yote kwa yote tumshukuru Mungu MO kapatikana salama Aksante.
  4. S

    Sababu kwanini wabunge viti maalumu wa upinzani hawajiuzulu hizi hapa;

    Ndugu wanabodi, Utafiti mdogo unaonesha kuwa hakuna mbunge wa viti maalum alieunga juhudi za Rais. Wengi tumekuwa tukijiuliza kwanini wao hawaungi mkono juhudi kwa kujiuzulu? Baada ya kuwauliza wengi wanasema kuwa wao kama wabunge wa viti maalum wakijiuzulu hawatapata tena nafasi ya ubunge kwa...
  5. S

    Nini kimewapata wapinzani kiasi cha kuhamia CCM kila kukicha?

    Sio wapinzani tu wanaohamia CCM,hata watumishi wa umma wanapelekewa fomu za kujiorodheshs kuwa wao ni wanachama wazalendo wa CCM na wanajiorodhesha. Vinginevyo unaitwa si mzalendo na kubaguliwa kama una ukoma.
  6. S

    Rais Magufuli aitoa CHADEMA kwenye reli!

    Unaishangaa Chadema kwa hoja IPI? Kwa sababu mbunge wao alikuwepo na kama ulitaka na Mbowe awepo ulipaswa kuanza kumshangaa JPM kama rais na mwenyekiti wa CCM hakwenda kuzika walipa kodi,wanyonge na wapiga kura wake
  7. S

    Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Ndugu wanabodi; Ajali ya MV Nyerere imeleta msiba wa kitaifa ambapo zaidi ya Watanzania wenzetu 225 wamepoteza maisha. Idadi hiyo ni kubwa sana kwa taifa letu. Hivyo ni matarajio yangu kuwa hill si suala LA kutuma uwakilishi Bali viongozi wote wa kitaifa wa vyama vya siasa,madhehebu ya dini na...
  8. S

    Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Ndugu wanabodi: Hivi sisi Watanzania nano katuloga? TBC na vyombo binafsi vimeshindwa kujiunga mubashara kwenye shughuli ya uopoaji maiti lakini hats kupiga nyimbo za maombolezo imeshindikana kweli? Nimesema shughuli ya uopoaji kwa sababu serikali ingekuwa serious na maisha ya Watanzania...
  9. S

    Rais kwa teuzi hizi bado katiba ya Warioba inahitajika sana;

    Wanabodi; Nianze kwa kukumbushia msimamo wa Rais wa JMT kuwa katiba mpya si kipaumbele chake. Lakini kwa namna mambo yanavyokwenda bado inambidi aikubali katiba pendekezwa ya Warioba. Imekuwa ni kawaida sasa kusikia Rais kafanya uteuzi Fulani.Yaani toka ameingia madarakani ni miaka mitatu...
  10. S

    Sitaki kuamini wala sitokaa niamini kuwa uchaguzi wa Marudio Monduli waliojitokeza kwenye kura ni wengi kuliko wale wa uchaguzi mkuu!

    La ! Nimekimbilia kutafuta rekodi za 2015 nikakuta kweli wapiga kura waliopiga kura walikuwa 60000. Leo hii ni kweli wameongezeka hadi 69000. Kwa akili ya kawaida haiwezekani idadi ya wapiga kura kuongezeka kwani kuna suala LA watu kuhama kikazi au kimaisha ya utafutaji,kusafiri,kuzeeka na...
  11. S

    Anthony Calist Komu: Kupigia kura Bajeti ni utaratibu wa kisheria/kikanuni pote Duniani penye demokrasia

    Wrote nyinyi hamjui mlisemalo.Lengo LA JPM ni kutupeleka kwenye mfumo wa chama kimoja. Huko ndiko sehemu sahihi ya kura ya ndio mzee.Lakini duniani note mfumo wa vyama vingi kuna kura ya ndio na hapana
  12. S

    Wanaohama vyama kwenda CCM huhongwa, ushahidi kamili huu hapa...

    Hat Lowasa naye alihongwa INA maana wewe hulijui hill. Alihamia Chadema baada ya kuahidiwa kugombea urais, tena aliehusika kumshawishi alikuwa Dr Slaa
  13. S

    Wanaohama vyama kwenda CCM huhongwa, ushahidi kamili huu hapa...

    Anza kufuatilia vizuri mambo ya sasa kwani Kafulila alishahamia Chadema kabla ya kwenda CCM
  14. S

    Wanaohama vyama kwenda CCM huhongwa, ushahidi kamili huu hapa...

    Ndugu wanabodi; Mengi yamesemwa juu ya hii hamahama ya wabunge na madiwani kwenda CCM. Wahusika wenyewe wa hii hamahama wanasema wamehama kwa lengo LA kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli huku wengine wakisema wamekimbia migogoro na figisufigisu ndani ya vyama vyao. VWadau wa vyama...
  15. S

    Lissu yuko frustrated tumuache apone kwanza

    Lissu alishakwambia tatizo lake kwa sasa ni mguu wake si akili ya kichwani . Yeye ni mzima kiakili na uwezo wake wa kujenga hoja ni uleule kama ulivyomsikia live au kwa maandishi. Hivyo wewe acha upotoshaji kuwa ana msongo wa mawazo. Unachopaswa ni kujibu hoja zake.
  16. S

    Pascal Mayalla, unahitaji sana kutokuwa 'biased' kujadili suala la shambulizi dhidi ya Tundu Lissu!!

    Nyinyi ambao MNA MASHAKA na dereva wa Lissu msitumie nguvu nyingi kutuaminisha propaganda bila chembe ya utafiti. Ninawashauri mtumie nguvu hiyo kuishawishi serikali ifanye uchunguzi. Yaani kweli badala ya kuishangaa au kuiuliza serikali kuwa kwanini imegoma kuagiza polisi na usalama wa Taifa...
  17. S

    Kama wabunge wa upinzani nao wanatafuna fedha za mfuko wa jimbo nani atakua kimbilio letu sisi wananchi

    Kwangu Mimi sijaona mbunge aliekosa majibu kwani matumizi ya pesa yanahitaji majibu yenye maandalizi na siyo kushitukizwa. Nachojua tumepata Rais asiyejua katiba hali inayosababisha ashindwe kufanya kazi na wabunge wa upinzani kwa kudhani ni maadui. Isitoshe hats kuhoji pesa za mfuko wa jimbo ni...
  18. S

    Kura ya HAPANA yamponza Bulaya Kwa wananchi waliomchagua

    Wewe nawe hujui kitu kuhusu mfumo wa vyama vingi . Rais ameshindwa kufanya kazi na vyama vya upinzani hivyo nilidhan sisi wananchi tuliosoma uraia tutasaidia kutoa elimu kumbe nasi tunaunga mkono mambo yasiyo na msingi wa kikatiba. Kupeleka maendelel sehemu Fulani sio hisani ni haki bila kujali...
  19. S

    Kumbe siku hizi sheria huanza kutekelezwa kabla ya kupitishwa bungeni

    Ndugu wanabodi; Hali ya utawala wa sheria nchi hii IPO shakani. Hii ni baada ya kubainika kuwa kumbe kabla ya mswada haujawa sheria tayari serikali huwa imeshaanza kuutekeleza kabla hata haujapitishwa bungeni. Ninayo mifano mingi ila kwa Leo naanza na mswada wa mabadiliko ya sheria ya pensheni...
  20. S

    Kuwa mzalendo ni kuipenda nchi, sio lazima Serikali. Wakati mwingine Serikali hushikwa na kundi la waasi,wahuni au matapeli

    Nakubaliana nawe 100% kuwa uzalendo wa kweli ni kuipenda nchi yako na sio lazima uipende serikali. Kwani serikali Fulani itapita lakini nchi itaendelea kuwepo. Siwezi kuipenda serikali ya kibabe hats Sikh moja. Sipendi nasema sipendi serikali isiyojenga mifumo/taasisi imara yaani katiba...
Back
Top Bottom