Search results

  1. cDNA

    Wajuzi boot, kipi cha ukweli na kinaendana na mazingira yetu?

    1. Brand: Timberland Name: Premium 6 Colors: Cognac Outer material: Nubuck Lining / Inner Material: Textile Sole: Rubber Insole: Textile 2. Brand: Dr Martens Name: Leonore Chelsea Colours: Black Outer material: Nubuck Lining : Warm Lining Sole: Rubber Insole: Warm Lining
  2. cDNA

    FYI: Kadiri uzaavyo zaidi ndivyo walipwa zaidi, Sweden

    Habari zenu wana JF! Nilikuwa na mwaliko wa dinner juzi kati, Sweden. Nikaoneshwa mti ambao wenyeji wangu wanasema ndio ulikuwa watumika kuwaadabisha watoto ktk generations za zamani. Ila kwa sasa ni marufuku kumpiga mtoto/mwanafunzi kwa namna yoyote ile, ukikiuka unapelekwa Segerea...
  3. cDNA

    Bati za kiboko za rangi gauge 28

    Habari zenu ndugu, Naombeni msaada wa maelezo kuhusu bati za Kiboko migongo mipana ambazo bei yake ni 25,000 kwa bati la mita 3. Nafahamu kuwa habari ya mujini ni ALAF lakini hebu nipeni udadavuzi juu uimara wa bati hizo za kiboko na kudumu kwa rangi. Natanguliza shukurani.
  4. cDNA

    Sarah Corner-Terminator Season 3

    Habari wandugu, Wale wataalamu wa hizi mambo...nijuzeni website ipi ninayoweza kuipata hiyo series.
  5. cDNA

    Iphone 6s Plus 64GB, niiuze bei gani?

    Habari zenu wakuu mlio ktk uhalisia wa maisha ya Bongo... Ninatarajia kuiuza simu tajwa hapo juu ila naomba mnijuze niiuze kwa bei gani kutokana na hali halisi halisia ya uchumi wa Bongo. Chaja ina kasoro kidogo sehemu ya juu ambayo haiathiri ufanisi wake ktk kuchaji.
  6. cDNA

    Utafiti: Je mafuta ya taa hupunguza hamu ya ngono?

    UTANGULIZI Mafuta ya taa ni distillate ya mafuta ya petroli ghafi. Matumizi ya mafuta ya taa ghafi katika vyakula vya shule za bweni imekuwa jambo la kawaida katika Afrika Mashariki na nchi nyingine kwa miaka mingi, na imani iliyojengeka ni kuwa yanasaidia kupunguza hamu ya kufanya ngono...
  7. cDNA

    Kimombo cha wazungu na changamoto zake

    Habari zenu bandugu! Hebu wale waliowahi kufundishwa na wazungu mpite hapa kutoa ushuhuda wenu wa siku zenu za awali mlivyokuwa mkipokea pindi la mzungu... Binafsi naanza kutoa ushuhuda wangu pale tulipokuwa A-level ktk moja ya shule za serikali tukipigishwa Inorganic Chemistry na mwalimu wa...
  8. cDNA

    Nyama niliyokula sijui nitapike? Anyway, sikukusudia

    Habari zenu wadau.... Napenda kushea nanyi kilichonikumba majuu. Ni kawaida yangu kula menyu yoyote ile iwapo mbele yangu hasa nyama almuradi isiwe ya wanyama tunaokatazwa waislamu, haijalishi imechinjwa na muislamu au mkristo, mwanamke au mwanamme. Bongo wanyama waliwao na jamii kubwa ya TZ...
  9. cDNA

    Naweza kwenda kubadili pesa za kigeni BOT?

    Habari zenu wazalendo... Ninaulizia kama mtu wa kawaida ninaweza kwenda kubadilisha pesa za kigeni BOT maana kuna pesa zingine kwenye Forex Bureau za mitaani rate zake zipo chini ila ktk website ya BOT rate iko juu. Naomba wajuvi wanijuze.
  10. cDNA

    Dhana fikirishi ya "sayansi"

    Habari zenu wakuu... Nilipokuwa shule ya msingi niliaminishwa kuwa sayansi ni somo maalumu na ndugu yake sayansi kimu. Masomo kama jiografia na historia hayakuhisabiwa kuwa ni sayansi. Hali iliendelea hivyo hadi sekondari. Tulipokuwa kidato cha tatu tukatenganishwa kuwa kuna madarasa ya...
  11. cDNA

    Hodi

    Habari zenu wana jf, Mi ni mgeni wenu ingawa nimekuwa nikiitumia JF kama chanzo cha habari kwa zaidi ya miaka 4. Sasa nimeona nijiunge rasmi....Naombeni ushirikiano wenu.
Back
Top Bottom