Search results

  1. Mwanga Lutila

    Kuhusu Muungano, Wazanzibari wametuzidi ujanja

    Sasa shehe hapo si wameweka Waanzilishi na marais wa sasa hivi ? au Ulitaka wajae na wakina Nkapa hapo, hiyo nafasi ingetosha na Nkapa alivyo mnene vile
  2. Mwanga Lutila

    Kwanini unaishi Dar es salaam?

    Hahaha kamwene mnoge ..
  3. Mwanga Lutila

    Kwanini unaishi Dar es salaam?

    Kila kona ya wapi? Acha udesi wewe
  4. Mwanga Lutila

    Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Mpaka kufungua uzi Unataka umletee shobo .. Lamba matapishi tu .. Aje kukuona fala ...atukukane zaidi ya hapo
  5. Mwanga Lutila

    Inawezekanaje kuimarisha Maadili katika JAMII Kwa kuondoa Biblia mashuleni?

    Ngoja nikukalipie HAKUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA MAADILI NA BIBLIA.. Maadili yanaanzia msingi wa familia.. Sahizi familia nyingi ndizo hizo za single mother ...
  6. Mwanga Lutila

    Tujifunze kuambizana. Hata kama kwa uchungu

    Sawa father umeeleweka tutazingatia.
  7. Mwanga Lutila

    Nani mwenye mchango mkubwa kwenye mafanikio yako, mpe shukrani zake

    Wengi wametaja wazazi, wajomba ,dada nk Ila sijaona aliyemtaja Mwalimu tena wa chekechea .. Walimu wa "vidudu" washukuliwe popote walipo. Hawa ndo walioanzisha safari yetu ya mafanikio ..
  8. Mwanga Lutila

    Tasnia ya Habari na vifo vya mapema, nini kipo nyuma ya pazia?

    Sasa we ulitaka afe nani shehe? Na wao ndio walipoandikiwa ..
  9. Mwanga Lutila

    Je, ni sahihi mambo haya kufanywa na wanandoa?

    Hata wewe uliyeandika hapa hauko sahihi kichwani Yaani umeshindwa kutambua kumtukania mtu mzazi wake si sahihi , lakini wewe umekuja kuuliza Kama ni sahihi au sio sahihi ? Ndo ujue akili yako mwenyewe haiko sahihi
  10. Mwanga Lutila

    Kauli ya 'Kata simu kwanza kuna mtu ananipigia' huwa unaichukuliaje?

    Ukiona hivyo wewe hauko kwenye list yake ya watu muhimu Usijisikie vibaya tafuta hela Zamani nilikuwa nasema watu wakipata pesa huwa wanabadilisha marafiki Nikaja kugundua kumbe ukipata pesa na marafiki wanabadilika automatically pasipo wewe kutaka .. Unakuwa una marafiki wapya..
  11. Mwanga Lutila

    Kutokana na hila zenu viongozi basi na sisi hatufanyi kazi vema

    Ndio Hakuna anayejali viongozi wote ni kama mwehu ndama Wamejaa vitambi kama mr pipa Na midomo yao kama dubu Sio mbaya hao madaktari wawe na Uzalendo wa Kitanzania..
  12. Mwanga Lutila

    Dar, Posta mvua yaleta foleni

    Kuna watu mpaka watakufa sizani kama walifurahia maisha Mojawapo ni watu wa Daslam Ikinyesha tabu, jua likiwaka tabu, mnawahi kuamka na mnachelewa kulala Watoto mmewapeleka babycare wakalelewe hamna muda wa "kuishi" Mna maisha ya hovyo wa sana Mmejawa malalamiko yasiyokwisha. Sio mbaya...
  13. Mwanga Lutila

    Emergency fund: Unatumia njia ipi kujiwekea aina hii ya akiba?

    Hii ni kwa walioajiriwa tu Sisi majobless tuweke akiba ya maneno tuzungumzapo.
  14. Mwanga Lutila

    Dar, Posta mvua yaleta foleni

    Mpaka mseme!
  15. Mwanga Lutila

    Kero na changamoto za kwenye magroup ya WhatsApp

    Hahaha shehe Milioni 16 huamini ..wenzako wanataka waanzishe na kampuni ..
  16. Mwanga Lutila

    Kero na changamoto za kwenye magroup ya WhatsApp

    Uko kwenye group la School/class mates halafu wewe peke yako ndo apeche alolo huna kazi huna nini Wanajadili masuala ya familia, mitoko mbalimbali Wewe unaishia kuchungulia tu.. Hapana niliondoka kwenye hilo group
  17. Mwanga Lutila

    Dada ukimpenda mwanaume, Unafanyaje akutongoze?

    Huyo akifikisha ngazi ya 3 kwisha habari yake mwambie afanye haraka aolewe
Back
Top Bottom