Search results

  1. Tina

    Je, Harmonize na Kajala wamebwagana au ni kiki?

    Kunako mitaa ya Instagram Wasanii wameweka status tata katika akaunti zao. Harmonize ameweka haya 👇🏾 Huku Kajala akiweka haya 👇🏾
  2. Tina

    Mwanga, Kilimanjaro: M/Kiti wa Halmashauri na Diwani wadaiwa kuwa na mahusiano ya jinsia moja. Wapigana...

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mwanga, Salehe Mkwizu, ameingia katika kashfa kubwa baada ya kupigana na Diwani wa Kata ya Kighare, Innocent Msemo kiini kikitajwa kuwa masuala ya ushoga. Taarifa zinadai kuwa tukio hilo la aibu na kufedhehesha lilitokea tarehe 21,2022 katika baa mashuhuri...
  3. Tina

    Tetesi: Tishio la kumuondoa Mufti BAKWATA

    Hali si shwari ndani ya Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) na sasa kundi la viongozi ndani ya baraza hilo wanakula njama za kumuondoa kiongozi wao makini Mufti Zubeir. Hali hiyo inakuja huku zaidi ya miezi miwili Bakwata haina ofisi na zaidi ya wafanyakazi 50 wa Bakwata Makao Makuu hawajalipwa...
  4. Tina

    Wanafunzi wa Kitanzania wang'ara Marekani

    Baadhi ya wanafunzi wa shule ya kimataifa Feza wakiwa na furaha nchini Marekani baada ta kushinda medali za dhahabu kwenye mashindano ya Genius Olympiad. Kushoto ni Abdulrazak Juma Mkamia wa pili Rashid Jakaya Kikwete na watatu ni Abdalah Rubeya yaliyoshirikisha nchi zaid 63 duniani huko...
  5. Tina

    HUJUMA: Mamilioni yatengwa kuhujumu SOKA

    Taarifa za ndani ya vigogo wa Yanga zinasema yametengwa mamilioni kuhujumu timu nyingine ikiwamo Azam na Simba ili Yanga iweze kubeba kombe la FA iweze ipate ushiriki wa michuano ya Kimataifa. Hujuma hizo zinahusisha vigogo wazito ambao soon tutawaanika. Fedha hizo pamoja na mambo mengine...
  6. Tina

    Magufuli anajua hesabu, atazame namba hizi za kwenye vitalu

    LABDA nianze kwa kutoa maelezo kidogo. Luxembourg ni nchi ya nane kwa udogo barani Ulaya. Ina ukubwa wa takribani kilomita za mraba 2,586. Hapa Tanzania, kampuni za uwindaji wanyama zinaweza kupewa leseni za kuwinda kwa kilomita za mraba mpaka 1,000. Hii maana yake ni kwamba, mtu mmoja...
  7. Tina

    Kitwanga aingia tena NIDA kupitia Massawe

    Kwa taarifa tu ni kwamba mteule mpya anayekaimu kuingoza NIDA, Andrew Wilson Massawe ni mshirika mwenza wa Charles Kitwanga, Mbunge wa Misungwi na Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani. Katika kampuni ya Infosisy, ambayo iliwahi kufanya kazi na NIDA na kuibua mtafaruku mkubwa wakati Kitwanga akiwa...
  8. Tina

    Ukistaajabu ya Escrow utaona ya Mwakyembe

    Ama kweli, ukistaajabu ya Musa, utaona ya Mwakyembe, haya hapa!Harrison Mwakyembe kwa kipindi cha miaka miwili na ushee hivi alikuwa Waziri wa Uchukuzi ambayo kwa hali yoyote ile ni sekta nyeti na muhimu kwa maendeleo ya uchumi wa Taifa letu. Katika kipindi hiki kifupi ambacho kwa wachambuzi wa...
  9. Tina

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud afukuzwa kazi, Said Hassan Said apewa nafasi hiyo

    Aliyekuwa AG wa ZAnzibar Othman Masoud Mhe Said Hassan Said awa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amefanya Uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar, kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu...
  10. Tina

    Wassira hawezi kwenda Marekani, kulikoni?

    "Hivi kunani Mzee Wasira haruhusiwi kuingia Marekani?" Ndugu zangu Watanzania baada ya uchunguzi wangu hapa Marekani, nimeelezwa na chanzo chetu kuwa Mzee Wasira alipigwa marufuku kuingia Marekani kwa makosa aliyoyafanya. Hii ina maana kama akiwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa...
  11. Tina

    Wosia wa Mkapa Chimwaga kuhusu dira 2015

    MGOMBEA URAIS WA TANZANIA 2015 Wosia wa Chimwaga wa Mzee Benjamin Mkapa uwe dira yetu NA DK. SETH NDOSSI NIMEAMUA nianze kuandika makala kuhusu mwelekeo wa siasa za nchi yetu, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwakani, 2015, ambao utatupatia viongozi wa Awamu ya Tano ya Uongozi wa ngazi zote wa nchi...
  12. Tina

    Mfanyakazi Bandarini afariki ktk Mazingira tata, Uongozi WA juu TPA wahusishwa!

    Ama kwa hakika, mateso, dhuluma, unyanyasaji, uonevu, ujeuri na uvunjaji wa sheria na haki za binadamu unaofanywa na Madeni Juma Kipande, kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), -kila uchao, kwa wafanyakazi wa kada zote TPA, hatimaye kumempeleka Peter Gwamaka...
  13. Tina

    Mwakyembe: Mwanasheria anayebaka sheria kusudi

    Itakumbwa kwamba mnamo tarehe 23 Agosti 2012, Dkt. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Uchukuzi alimteua Madeni Juma Kipande kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimiamizi wa Bandari Tanzania,(TPA).--Uteuzi huu ulifanyika baada ya Mwakyembe kutoa tuhuma zisizothibitishwa--kwamba aliyekuwa...
  14. Tina

    Wito wa Mengi kwa viongozi wa Dini

    TAARIFA YA DKT. REGINALD A. MENGI, MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP LIMITED, KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU OMBI LAKE KWA VIONGOZI WA DINI TAREHE 20 JANUARI 2014 Hivi karibuni kumekuwepo na misimamo tofauti kutoka viongozi wa dini juu ya uchumi wa gesi asilia. Ningeomba viongozi wa dini...
  15. Tina

    African leaders who believe Africans are incapable of great things should go!

    African leaders who believe Africans are incapable of great things should go! - By Ali A. Mufuruki - I have been telling myself to refrain from the urge to respond to what is in my view the worst insult ever made to our honour as a nation and as a people since we freed ourselves from...
  16. Tina

    Pendekezo: Bodi ya TPA ivunjwe mara moja kwa kukosa uadilifu na 'neutrality'

    BODI YA TPA IVUNJWE MARA MOJA KWA KUKOSA UADILIFU NA"NEUTRALITY".? Mnamo tarehe 2 Januari mwanzoni tu mwa mwaka huu, Profesa Joseph Msambichaka ambaye tangu siku hiyo jamii ya Kitanzania inamfahamu kuwa ni "kichaka" hatari cha kuficha uozo unaondelea ndani ya TPA akiongozwa na Waziri wa...
  17. Tina

    Mwakyembe kutangaza ajira alizoshinikiza TPA

    Hivi karibuni mamlaka ya bandari ilitangaza ajira za nafasi za juu na watu waliomba. Ilikubaliwa kuipa kampuni reputable kufanya usaili but Mwakyembe aliamua kulazimisha ipigwe juu juu kuwapa ulaji watu awatakao. Leo baada ya kuishinikiza bodi aliyoipunguza kutoka 9 hadi 6 kukutana Mtwara na...
  18. Tina

    KULIKONI: TAKUKURU sasa waingia bandari

    TAKUKURU sasa waingia bandari .Vigogo wanaoomba kazi TPA wamulikwa .Uongozi wa sasa nao hauko salama TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inachunguza nyendo za viongozi wa sasa wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na baadhi ya waliomba nafasi katika mamlaka hiyo. Habari za...
  19. Tina

    Misuguano ya ulaji yaibuka bandarini

    Misuguano ya ulaji yaibuka bandarini MSUGUANO umeibuka ndani ya Bandari Tanzania (TPA) kutokana na kuwepo tuhuma za maandalizi ya manunuzi ya kifisadi kupitia kitengo cha manunuzi cha mamlaka hiyo, imefahamika. Tuhuma hizo zimeibuka baada ya kuwapo kwa hatua za kufanya mabadiliko katika...
  20. Tina

    Sumaye amuunga mkono Kikwete rushwa CCM

    Sumaye anazungumza na waandishi now Court Yard, anasema anamuunga mkono JK kuhusu rushwa CCM ila anataka azungumzie na rushwa serikalini.
Back
Top Bottom