Search results

  1. G

    Exclusive interview: Halima Mdee kuhusu mahusiano yake

    Tumshauri asiogope kuolewa kwani wanaume wanaojiamini wapo tena wenye komitment, kuzaa hovyo ni uchafu zaidi
  2. G

    Kwa nini utumie mkorogo?mcheki msanii huyu.

    Huyo mbona hajichubui, kichwa na uso haviwezi kufanana hasa ukinyoa para kwa mara ya kwanza, acheni kumchuria dada wa watu
  3. G

    Kanumba na ramsey ni member wa free masssons??

    Kuhusu kanumba inawezekana maana hata mie nilikua na hisia hizo, ila yeye kanumba aliwahi kukanusha mara kadhaa, ingawa hatutarajii akiri ikiwa hata jay - z aliwahi kukanusha licha ushahidi ulio wazi kabisa dunia imekwisha wandugu
  4. G

    Tendo la ndoa

    Tendo hili lina majina mengi , kulingana na wanaolifanya, linaweza kuwa uzinzi,uasherati, kama si kwa wanandoa halali, lkn kwa wana ndoa nadhani jina sahihi ni kujuana
  5. G

    Tendo la ndoa

    Tendo hili lina majina mengi , kulingana na wanaolifanya, linaweza kuwa uzinzi,uasherati, kama si kwa wanandoa halali, lkn kwa wana ndoa nadhani jina sahihi ni kujuana
  6. G

    Naomba msaada

    Wana jf naomaba tofauti ya maneno tuzo na tunzo, au yana maana moja?
  7. G

    majina ya vijiji vya vya hanang'

    dawar gasaboy gidahababieck measkron endasak lamay balangdalalu katesh
  8. G

    Majina ya Kisukuma

    mahona fumbuka jilala
  9. G

    Mawasiliano

    Jamaa mmoja alirudi kutoa kazini ma mkewe kwa hasira akaanza kumuuliza mke: Enhe, haya sema ulikua wapi leo siku nzima. mume: Nilikua ofisini, mke: mbona ulikua hupatikani hewani muda wote, mume kwani nani kwakwambia ofisi yetu iko hewani, na kwanza ulifikaje hewani wewe
  10. G

    Ukitaka kujua raha ya sex

    Mlinzi atakuambia hakuna kutoa rudisha ndani
  11. G

    Nionavyo kuhusu babu wa loliondo

    Kwanza nawasalimuni. naomba nisionekane nimepitwa na wakati kwa kuchangia mada kumhusu huyu mzee. ila kutokana na maoni mengi ya watu nalazimuka kutoa maoni yangu. Wengi, hasa watu wanaodhani wanayajua maandiko ya biblia wamemshambulia sana babu. Hoja kuu ni kwamba moja kwanini atoze fedha...
Back
Top Bottom