Search results

  1. N

    Walimu waitwa Wilayani kutoa copy barua zao za ajira

    70.2 km Distance from Malolo to Kilosa Ramani za Google fungua hii link.
  2. N

    Kituo cha TANESCO, Tabata Liwiti wajirekebishe

    Mimi ni mwananchi ninayeishi maeneo ya Tabata Mawenzi, na napenda kuwasilisha yangu yalio machache kuhusiana na huduma za Tanesco yanayotolewa na kituo cha Tabata- Liwiti ,Mkoa wa Ilala. Binafsi nilikuwa nasikia malalamiko ya watu mbalimbali kuhusu huduma mbovu na zenye viashirio vya rushwa za...
  3. N

    Umaarufu/Umashuhuri wa Mandela uliotengenezwa na Magharibi na Wazungu!

    hawajachelewa wanawezalipiza kisasi sasa kwani bado wanayo serikali na mamlaka kama unaona ndio busara inayotakiwa kutumika , ya jino kwa jino.
  4. N

    Namuonea huruma sana Mnyika kwa kuingia kwenye ngoma ya kihafidhina

    Naona unatoa topic za ajabu bila kufanya uchunguzi,na ueleze bayana hiyo ngoma kuliko kuandikaandika vitu visivyo na msingi.
  5. N

    Siku Nilipotua kwa ndege Bukoba nikiwa peke yangu!

    Nafikiri busara ingetumika zaidi,matumizi ya ndege kwa mtu mmoja ni makubwa,justification iliyofanywa na Mama Tibaijuka haendani na hizo gharama na ukiangalia wagonjwa wamelala chini,hivi si ungebeba vitanada ukaenda navyo,naamini kuna tathmini za kila siku zinafanyiaka mahospitalini ,na...
  6. N

    Huyu Kamanda marehemu alikuwa mtu wa ajabu sana yaani yeye kama msimamizi wa sheria lkn kazivunja...

    kamanda alitakiwa awe kioo cha jamii,na hiyo yote nikutokemea kwa sasa ya msiba ,kemeo lazima liwepo ikiwa na mifano hai kama hii,hujui kuficha uozo kama huu tunaeleka wapi.nyie ndio msiwaeleza watoto wenu ukweli kisa aibu au kifo! Shame on you!
Back
Top Bottom