Search results

  1. N

    Maisha ya usingle mother je, how do I cope?

    nawaza what if he hasnt changed na this time ndo aninyanyase ya funga mwaka. Nataka kurufi tumlee mtoto pamoja ila naogopa. kingine mi jamii iliyotuzunguka ilishuhudia vituko vyake vyote na ndo mana wazazi wangu hawamtaki..sijui hata nifanyeje.
  2. N

    Maisha ya usingle mother je, how do I cope?

    bado lakini ninawaza hivyo, tatizo wazazi hawanielewi kwa maana alionyesha utovu wa nidhamu sana wanasema nitaenda kuteseka. yeye mwenyewe anataka turudiane hayuko tayari kuoa asipopenda he says.
  3. N

    Maisha ya usingle mother je, how do I cope?

    Nafikiria nirudi,lakini pia nafikiria aliwakwaza sana wazazi wangu na hawataki kusikia namrudia, na pia nafikiria jinsi gani nitashangaza ulimwengu na pia nafikiria ni jinsi gani nitamwambia huyu boyfriend kuwa simtaki tena nitamuumiza kwa maana ana mategemeo makubwa sana kutoka kwangu. Si...
  4. N

    Mume wa maana akiwa na kazi,biashara,kipato vinginevyo atakiona cha moto

    lara1 you have a point kweye post yako nimekupa like. Ila sasa hapa tunaongelea mume. Je linapokuja swala la kuhudumia boyfriend? hapo pia mtu avumilie jamani, si utakufa siku si zako.Boyfriend tu wala si mchumba umlishe, umvishe,umnyweshe na pocket money juu, kweli hapo ukimkimbia una kosa...
  5. N

    Maisha ya usingle mother je, how do I cope?

    Lokissa una kumbukumbu sana. Tangu niandike post hii ni mwaka mmoja na miezi tisa sasa. Hapo katikati nilipata mwanaume sijui niseme ndo boyfriend lakini nimekuwa ni mwenye furaha na amani kwa muda mchache lakini mmh hayo mapungufu yake ni ya kufunga mwaka yaani ya kutufanya tuishi maisha ya...
  6. N

    Msaada: Nataka kuanzisha magazine

    Asante, LIKUD, mie nahitaji magazine=jarida ambalo nategemea liwe linatoka mara moja kwa mwezi. Asante sana ngoja nifwate maelekezo yako nianze kazi.:poa
  7. N

    Msaada: Nataka kuanzisha magazine

    labda sijaeleweka.nimemaanisha magazine= gazeti
  8. N

    Msaada: Nataka kuanzisha magazine

    Nimekuwa na wazo la kuanzisha magazine na target market ni wanawake. naomba ushauri natakiwa nifanye nini kuanzisha magazine. Je,kuna pahala pa kuregister or how to go about it? Nasubiri michango yenu yenye busara. Noella!
  9. N

    swali

    Bazazi we mgomvi..nakusoma tu unavyonimention dah, hayaa wee
  10. N

    Jaribuni biashara hii kwa mtaji wa 160000 tu!

    mambo vipi. nataka kufanya hiyo biashara, je utanisaidiaje?
  11. N

    msaada tafadhali - polisi bana

    yani bado haijafanyika amenambia hivyo afu akanambia niandae hela kwa ajili ya kufunga hiyo kesi baada ya kutoa onyo ndo nikaingia humu nipate mwongozo,sijarudi bado, hii ishu kanambia jumanne juzi
  12. N

    msaada tafadhali - polisi bana

    - alikuwa ni boyfriend wangu wa miaka mitano - alinitishia kwa sms na maneno - polisi ndo kanishauri aitwe aonywe mbele ya polisi na ndugu yake yoyote then tufunge kesi
  13. N

    msaada tafadhali - polisi bana

    hahahhaha ulijuajeee.ndo haohao..kumbe ndo tabia yao ee.hawanipati ng'oo
  14. N

    Maswala kuhusu process za polisi, msaada tafadhali.

    Nashukuru sana umenipa mwangaza.sasa nalisubiri lipolisi lipige tena atajuta.
  15. N

    msaada tafadhali - polisi bana

    Asante nash.sasa namsubiria apige tena simu nimuulize maswali ya kipolisi na yeye atajuta..kesi nifungue mimi afu anisumbue yeye hawa mapolisi njaa sijui vipi..ubarikiwe.
  16. N

    msaada tafadhali - polisi bana

    nilihitaji msaada wa haraka na hapa najua wengi wanapapenda na hakuna linaloshindikana ndo mana nimeanza kwa kusema hivyo. hata hivyo umesoma,usingesoma usingeweza kucomment. watu wengine bwana ovyo
  17. N

    msaada tafadhali - polisi bana

    Najua hapa si mahala pake ila ndo penye wengi wapendwa nahitaji msaada wenu. Nilireport mtu kunitishia maisha kituo kimoja cha polisi hapa dar,nikapewa RB.baada ya siku mbili nikapigiwa simu na polisi ambaye alijitambulisha kama mpelelezi wa kesi yangu, akaniambia niende anisikilize,kesho yake...
  18. N

    Maswala kuhusu process za polisi, msaada tafadhali.

    Nilireport mtu kunitishia maisha kituo kimoja cha polisi hapa dar,nikapewa RB.baada ya siku mbili nikapigiwa simu na polisi ambaye alijitambulisha kama mpelelezi wa kesi yangu, akaniambia niende anisikilize,kesho yake nikaenda. nikamsimulia kisa chote. sasa polisi kutaka hela eti amenifanyia...
  19. N

    "mummy,where is daddy?"

    Edison, sijakataa kumuonyesha mtoto baba yake. baba ndo hataki kumuona mtoto kwahiyo nimebaki kumdanganyadanganya tu mtoto.ungesoma vizuri uzi ungeelewa.
  20. N

    Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

    hahahhahhaha mbavu zangu mie..pole Smile. mie sijatoka humu kazi yangu ni kurefresh tu huku naendelea na kazi zangu naingia tena narefresh,haa mjeda katupata.lol:smiling:
Back
Top Bottom