Search results

  1. Kongosho

    Friday Mood

    kiwwnja kipya wapi? Niko out of date kinoma.
  2. Kongosho

    Friday Mood

    nna shamba la ulezi
  3. Kongosho

    Friday Mood

    I have been watching action movies too much lately, current mood Popote panaonyeshwa aina hiyo, nitafika, tena my treat.
  4. Kongosho

    Usiri wa mali katika ndoa

    Ubarikiwe....
  5. Kongosho

    What I want my son to know about marriage

    Mzima< naomba unitagie zombie apite hapa.
  6. Kongosho

    Msaada: Nimekula maboga nimevimbiwa nifanyeje?

    Mwambia apitishe ufagio tumboni kuanzie kifuani hadi kitovuni, akimaliza autupe chini. Asilogwe akaupitisha kwa reverse, tumbo litajaa mara elfu.
  7. Kongosho

    Harusi: Bibi harusi anatakiwa kujua vipengele gani katika mavazi?

    Tunapishana kama mabehewa ya Kigoma? Amwache achegue mwenyewe, vinginevyo anaweza gombana bure.
  8. Kongosho

    Swali kwa wazazi na walezi: The Diaper Dilemma

    Ukitaka kujua ugumu wa kukaa na pampaz kwa mtoto, fikiria sanitary pads. Mtoto anafurahia kuwa huru sana, unapomtolea pampaz lazima anapata relief fulani. Lakini aina ya diaper pia huchangia, mfano kuliko kumfunga mtoto pompon ni heri kumfunga kanga na juu kumwekea mfuko wa nailon. Pompon ni...
  9. Kongosho

    Sex Toys kwa wanawake na wanaume

    Leo kila mtu hajui seksi toiz, makubwa. Labda sababu ni 'taboo' kuyaongelea hadharani. But.....:yawn:
  10. Kongosho

    Asante JWTZ Mgulani Sabasaba: Mmeokoa maisha ya familia yangu!

    kwa kweli JWTZ ni waungwana sana, kuna siku nilipata shida karibu na kambi yao. Ndani ya dk 10 walinirekebishia na safari ikaendelea, tena buree hata asante wakakataa. i was impressed.
  11. Kongosho

    Mahari za Wahaya

    Kiswahili kinakufa hivihivi tunakiona, inauma. Mahali = sehemu, eneo Mahari = kitu/fedha itolewayo kwa familia ya mwanamke wakati mwanamme anapotaka kuoa
  12. Kongosho

    Mwendo huu sidhani kama tutafika, tukipishana jambo kidogo tu kasusa

    He he he he, hajayajua huyu, labda anayabip. Ngoja nikabwie libwata mie kwa hiari.
  13. Kongosho

    Anaota akifanya mapenzi

    DT huleta hallucinations za hatari, medical attention inahitajika haraka sana. Kingine, anaweza kuwa na migenye ya hatari, akate kwanza kiu yake hayo mandoto yataisha tu.
  14. Kongosho

    Huyu kijana wa jirani nimfanyeje? Kila msichana wa kazi wangu anampa mimba

    Hastahili kosa la ujambazi wa silaha, hata kidogo, miaka 30 ni mingi mno jamani. Mshtaki kwa kosa la shambulio la aibu, afu usitokee mahakamani, atakaa rumande mwezi 1 tu wanamwachia.
  15. Kongosho

    Inakuwaje mbunge wa Geita anazikwa Kinondoni?

    Hivi Lema kazaliwa Arusha mjini?
  16. Kongosho

    Mwendo huu sidhani kama tutafika, tukipishana jambo kidogo tu kasusa

    He he he, mziwandanation na shilole na mapenzi yao kwa kiinglish yamenoga kweli. Kutekwa afu na wewe ukajitekesha raha kweli.
  17. Kongosho

    Kwanini sitaki kujua kipato cha mke wangu?

    Inashangaza sana, unaacha watoto kwa masaa 8 hadi 12, afu mume hajui hata unapata nini? Hiyo ndoa ni mfu.
  18. Kongosho

    Namna gani ya kukabiliana na changamoto za kwenye mitandao?

    Out of Topic: Long time no see u, mzima?
  19. Kongosho

    Kwanini sitaki kujua kipato cha mke wangu?

    Kutojua kipato cha mkeo ni Uji.nga tu na wala sio ushujaa.
Back
Top Bottom