Search results

  1. middo

    DSTV kwa hili mnaionea Tanzania,halikubaliki

    Supersport 4 ambayo ni channel ndanj ya DSTV itarusha game ya simba live Sent using Jamii Forums mobile app
  2. middo

    DSTV kwa hili mnaionea Tanzania,halikubaliki

    Mbona hii SS4 kma itarusha game live Sent using Jamii Forums mobile app
  3. middo

    Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

    Inafikirisha. Ukisoma mwanzo 1:27 unaona Mungu aliumba mtu mume na mtu mke kwa mfano wake siku ya 6. Ukisoma mwanzo 2:23 unaona Mungu baada ya kumwona Adam ni mpweke akaamua kumfanyia msaidizi kutoka kwnye ubavu wake ambaye ni Eva, kwa maana hyo unaona kabsa eva hakuumbwa siku moja na adam...
  4. middo

    Msaada .Namna ya kuficha Apps kwenye screen ya simu .

    Google nova launcher prime free download utapata link nying tu ztakazokupa nafasi ya kudownload nova prime. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. middo

    Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

    Gnome keyring hii kitu nilijikuta tu nimeiset sasa inanitesa. Password niliyoiweka inaniambia siyo sahihi, nataka kuiondoa kabsa au niweze kurecover password yangu. Msaada please kwa wajuzi wa linus (edubuntu 14.04 LTS) Sent using Jamii Forums mobile app
  6. middo

    Tupeane maujanja ya Excel

    Nawezaje kujua figure flan imejirudia kwnye column moja? Msaada tafadhali
  7. middo

    Niijuavyo Freemasonry

    Shida nnayoiona kwako unapenda sana watu waamin unachoamin, mtu akijarbu kuhoj lazima uwe mkali. Hakukua na sababu ya ww kuwa mkali kwa Eiyer hoja kusupportiwa au hupingwa kwa hoja na si kuitana wajuaji
  8. middo

    Tukutane hapa kwa walioshindwa ku-root simu zao

    Upande wangu nshatumia kingroot, kingo root, frama root, iroot, z4 root mara kibao tu na hakuna ambayo imeweza root j8 boom. Kingroot walinipa notification kwmba there s no strategy yet.
  9. middo

    Tanzia: Sethi (bikira wa kisukuma) amefariki dunia

    Alikuwa anaumwa...Alilazwa muhimbili mpk umauti ulipomkuta R.I.P brother
  10. middo

    Rashid Matumla , Bingwa wa ndondi na shujaa wa Taifa aliyegeuka Janga.

    Bab, unachoelezea ni histor ya keko lkn si maisha halis yaliyopo kwa sasa. Mm siongei kwa kuhadithiwa. Mzawa kpande hicho.
  11. middo

    Rashid Matumla , Bingwa wa ndondi na shujaa wa Taifa aliyegeuka Janga.

    Nmezaliwa na kukulia keko na sitegemei kabari. Keko imegawanyika na kila kpande kina tikili zake za maisha. Toroli wanategemea sana biashara ya sofa, molemo na magurumbasi yote ya bonden haki kwa snakeboy walijiweka kimichezo sana hasa ubondia, national wtt wa pale walikuwa kishule kidogo na...
  12. middo

    Rashid Matumla , Bingwa wa ndondi na shujaa wa Taifa aliyegeuka Janga.

    Kaka yake anaitwa haji na mdgo wake anaitwa hassan wote ni polis. Tena kuna mdgo wake mwingine anaitwa karim alikuwa mwanajesh akasafir na timu ya jesh australia kwnye mashindano ya majesh hakurud tena Tz.
  13. middo

    Rashid Matumla , Bingwa wa ndondi na shujaa wa Taifa aliyegeuka Janga.

    Miaka hiyo, cyo sasa. Karibuni sana keko.
  14. middo

    Rashid Matumla , Bingwa wa ndondi na shujaa wa Taifa aliyegeuka Janga.

    Watoto wa snake boy walikengeuka ni wawil tu, musa na daud. Vjana wakabaj keko ni weng na wanatoka familia tofaut sidhani kama ni haki kusema rashid kaleta janga. Keko ukabaji haujaanza jana, tangu enzi hzo za akina marehem chatu, ally kingongo tena enzi hzo ukabaj ndo ulikuwa kwnye highest...
  15. middo

    Rashid Matumla , Bingwa wa ndondi na shujaa wa Taifa aliyegeuka Janga.

    Ukabaji keko ni miakq hyo kwa sasa ukabaji upo lkn ni kama maeneo mengine tu ya dar. Kumlaum snakeboy eti kaleta janga nadhan ni kutomtendea haki snakeboy, wtt wake ambao ni watukutu wapo wawil tu daud na musa na hawajashindikana ss cjui unapata wap haki ya kusema eti kaleta janga
  16. middo

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Nyingi ni kwa ajili ya htc na samsung
  17. middo

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Font ipi ndugu, nyingi nilizojarbu znataka simu iwe rooted. Naomba specific jina la hiyo font nidownload.
  18. middo

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Naomba kufaham kama kuna uwezekano wa kutumia rosemary font kwnye tecno j8 bila kuroot simu? Maana nimejarbu kuroot kwa kila njia imenigomea.
Back
Top Bottom