Search results

  1. S

    Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

    Toka alipoteuliea mramba kwa maoni yangu na kwa mara ya kwanza niliona tanesco wakifanya vizuri kwenye kutoa huduma kuliko wakurugenzi wote waliopita,,zile kelele za uooooo tulishazisahau ila si muda mrefuu zinarudiii
  2. S

    NBA Season 2015 - 2016: Special thread

    Du hii ring is special for cavs
  3. S

    Kifurushi cha Whatsapp, Tigo wana njaa hakuna mfano!

    mnapenda vitu rahisi sanaa,,uwezo wa kununua bundle hamna mnarahisishiwa huduma kwa bei rahisi mnalalamika
  4. S

    Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

    Soda za chupa zote si salama nimeuza duka kwa muda mrefu kampuni zote mbili pepsi cola pamoja na coca cola huwa wanakuwa na soda chafu,,,kunywa soda iliyowekwa kwenye chupa ya plastiki kwa usalama wa afya yako.
  5. S

    Kabla hujakimbilia kununua smartphone za Tigo, soma hapa ili usije kulia baadae!

    Watanzania tumezidi kutafuniwa vitu tunataka kumeza tu, hata ukipotoshwa kidogo tu unakubari na kuanza kupoteza muda wako kukomenti mada za kizushi,,smartphone zote zinazokuwa kwenye promo line 1 lazima utumie tigo line2 mtandao wowote ila ili uweze kutumia lazima uweke line1 tigo, pia kama una...
  6. S

    Pole sana dada

    wazazi hawapo karibu na watoto wao kabisa ninavyoamini mimi ule ukatili alioufanya yule inawezekana siyo mara ya kwanza,,na kwa kipigo kama kile mzazi aliye karibu na mwanaye ataweza kuona alama za vidole mashavuni au mwilini lakini dada wa kazi anaachiwa kila kitu mama hamuogeshi mwanaye hata...
  7. S

    Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

    Du mwenye nazo ataongezewa na lisemwalo lipo kama halipo basi laja,,kikwete na home shopping center nilijua majungu tu siku zote kumbe yapo. Kweli hakuna mwafrika awezaye kuongoza.
  8. S

    Picha: Ubunge jimbo la Vunjo moto,Dk Latonga Mrema V/S James Mbatia

    hayaaaa wana Vunjo huyo mzee hatutaki kumuona tena bungeni hana jipya.
  9. S

    Matendo hatari ya madereva yanayohatarisha usalama wa abiria na watumiaji wa barabara

    watanzania kwa ujumla madereva waliokamilika ni wachache sana,,hapa dar tu unakuta mpo watu zaidi ya 10 kwenye alama ya pundamilia lakini unakuta gari inakuja kwa kasi honi pamoja na matusi kwa wavuka barabara
  10. S

    Kwa mara ya kwanza nimejifunza ni kwanini Wageni wanalilia sana Nchi Yetu!

    Si kweli kuwa wazawa tumelala,,tatizo kubwa tulilonalo ni mitaji mikubwa inayotakiwa sio mipango na pia serikali kuto kuweka sheria kali na kuzisimamia kulinda wawekezaji wazawa dhidi ya wageni. mfano wachina wanakuja Tanzania wanapewa leseni ya usafirishaji wana basi mbili tu ambapo kuna wazawa...
  11. S

    Mtazamo: baadhi ya tabia za wanawake wa kileo zinazofanya ndoa au mahusiano yasidumu

    Du kuna wadada ninafanya nao kazi, mmoja ana mume na watatu hawana bosi asipokuwepo wao ni kupiga picha tu na kubari status za whatsap, kibaya zaidi alhamisi mpaka j/pili wao ni shisha na kashata za bangi, wawili kati yao wameshanunuliwa iphone 5s na waume wa wenzao.
  12. S

    Niwafanye nini watu hawa?

    Kilichokutokea hata kwenye familia yetu yalitukuta, lakini siye watoto wa kiume tuliona sawa na hatuku umia wala kumchukia maid wetu ila dada zetu walimchukia sana, Mzee ana kisukari wakaulizwa mtakaa na baba yenu mpaka lini, je mkipata wachumba mtaendelea kuishi hapa nyumbani na baba yenu?, je...
  13. S

    Single momz tunashida sana katika mahusiano

    Kuna kaka yangu kaoa mwanamke ambaye tayari anawatoto wawili, anaishi mbezi jamaa aliye zaa naye anaishi mbagara likizo ya pasaka mtoto alikuja kwa mama yake sasa likizo ilipoisha ile amrudishe mtoto kwa baba yake mbagara alitoka asubuhi akarudi jiona sababu ikawa oooh foreni, kuna ugomvi mkubwa...
  14. S

    Jifunze kupitia story hii, nili share mahali!!!

    Moja Kati ya post bora kabisa kwenye JF tunashukuru sana.
  15. S

    Wenyeviti wa Kamati za Bunge: Kilango, Sendeka, Wassira washinda

    watanzania ni kichwa cha mwendawazimu kwenye soka mpaka siasa, ole sendeka hafai kabisa kuwa kiongozi ana jaziba sana na anapenda sana ubabe.
  16. S

    Mgombea huyu wa Ubunge jimbo la Kalenga mtupuuu! No substance at all

    hivi pamoja na madudu haya ya viongozi wa ccm bado mtu mwenye akili timamu anataka wapate mbunge mwingine, kweli hii ndiyo afrika.
  17. S

    'World-class' Yaya Toure isn't appreciated because he's from Africa, says Nasri

    sikuamini kwenye game ya capital one niliposikia man of the match ni samir nasri, kiukweli nasri yupo vizuri lakini ile game yaya , viziri zaidi.
  18. S

    We jamaa, nakupenda ujue

    Hapo ndipo nakuwa na wakati mgumu kutambua kweli wanawake wanapenda au wanatamani unaweza penda mtu kwa coments zake.
  19. S

    JK aonewe huruma!

    Hata yeye mwenyewe Jk nahisi anajuta kwa Kuwait kwenye chama chenye watendaji wabovu, mikutano yore ya nje na mikubwa ya ndani lazima ashiriki yeye akiteua mawaziri kumwakilisha hata hutuba tu walizoandaliwa hawawezi kuzisoma vilevile hata hao wanaobaki akiwa nje ni madudu Mara tutatoa taraka.
  20. S

    Mwawaziri Magufuli,Muhongo na Mwakyembe waitwa "big three" waliobaki ni mizigo

    Du pamoja na majanga ya foleni zisizo na majibu dar,umeme usio wa uhakika bado unasema hawa ni bora kweli ccm watatawala milelele kama wenye uwezo wa kuingia jamii forums wanawapongeza hawa jamaa.
Back
Top Bottom