Search results

  1. K

    Kupaa Kwa Bei Za Unga Na Mahindi, Je Serikali Imeshindwa Kudhibiti?

    Bei ya unga uzito wa kg 25 ni Kati ya tsh 34000/- hadi tsh36000/- kwa uliokobolewa, na tsh 25000 hadi 27000 kwa usiokobolewa kwa mikoa ya Shangazi zake Majaliwa. Je, serikali hailioni hili? Bei zpo hvo na serikali imekausha tu as if hawalioni, inamana intelijensia ipo katika kuwamulika...
  2. K

    Lisaa La Pili Tumezuiliwa Hapa Chalinze, Kisa Misafara Ya Viongozi. Je, Hii Ni Sawa?

    Kwanini kusiwe na barabara za Dharura ili katika hali kama hii zitumike ili kila mmoja awahi ratiba zake?
  3. K

    Mvua iliyoanza kunyesha leo baadhi ya maeneo hapa nchini baada ya maombi ya watu wa dini fulani siku ya Ijumaa ni coincidence au Mungu kajibu maombi?

    Wajuvi wa mambo karibuni mtufumbue mambo katika hili, maana ni juzi(ijumaa) tu hapa waumini wa hiyo dini katika maeneo mbalimbali walifanya maombi maalumu ya kuomba mvua, na hii leo katika maeneo ambayo naishi imenyesha muda wa masaa mawili tena ni mvua heavy, je inamana Mungu kajibu maombi ya...
  4. K

    Wakuu Naomba Kufahamishwa Machimbo Ya Bei Nafuu Ya Bidhaa Hizi Na Bei Zake

    Kama kichwa cha kinavyojieleza, Kwa anayejua machimbo ya uhakika na ya bei nafuu kwa hapa Daressalaam ya bidhaa hizi nahitaji kwa jumla; 1. Adaptor original za laptop pamoja na power cable zake original 2. Hard Disk Drive na External Hard Drive 3. Flash disk na Memory cards original 4. Cheni...
  5. K

    How True is this?

    True or false?
  6. K

    Ushauri: Nimuoe Yupi Kati Ya Hawa; Msambaa, Myao, Mluguru Au Mchagga?

    Nawasalimu wote jf, Kwa sasa nimeamua nimpate mwenzangu wa kumaliza naye Sehemu ilobaki ya kula na kuvuta hewa(maisha), lakini katika pilika pilika zangu nimebahatika kukutana na wadada kutoka hayo makabila na kwa upande wangu kila mmoja naona anakidhi vigezo vya kuwa mke, ndo sababu kubwa...
  7. K

    Tetesi: Mradi wa "WAMA" una ufisadi mkubwa

    Amani ya bwana iwe pamoja nanyi, Mwaka 2014 kuna huu mradi ulianzishwa wenye thamani zaidi ya Tsh Bilioni mbili (2 bil. Tsh), ambao ulilenga kumuwezesha mwanamke wa kitanzania katika elimu, afya. Ila cha ajabu kumekuwa na upigaji wa kutisha kwani katika hiyo bilioni 2+ , kiasi cha milioni 800...
  8. K

    Ufisadi wa kutisha WAMA, TAKUKURU mko wapi?

    Amani ya bwana iwe nanyi wanaJF, Tangu kuanzishwa kwake 2006, hii taasisi imekuwa na miradi mbalimbali ya Shule, afya na kusaidia akina mama (mradi wa mwanamke mwezeshe),cha ajabu pesa iliyotumika kwenye huu mradi (mwanamke mwezeshe) ni kidogo sana ukilinganisha na zilizotolewa na wafadhili na...
  9. K

    Msaada wa kisheria: Nilimpa mimba mke wa mtu, mtoto amefanana sana na mimi, nitampataje?

    Nawasalimu wanajf, Naandika nikiwa na majonzi, huzuni na masikitiko moyoni na usoni. Katika harakati za hapa na pale, nilikutana na mdada ambaye baadae katika kufunguka aliniambia kuwa ni mke wa jamaa mmoja ambaye katika kunielekeza vizuri nikagundua niliwahi fanya naye kazi ya muda miaka...
  10. K

    UPDATES ZA MATOKEO YA UCHAGUZI WA WENYEVITI WA MITAA 12/03/2017

    Wakuu naomba tupeane updates za uchaguzi uliofanyika leo kuwachagua wenyeviti wa mitaa. Katika sehemu niliyopo kulikuwa na nafasi sita, mpaka sasa matokeo ya sehemu nne tayari na zote zimechukuliwa na upinzani, hizi mbili bado tunasubiri matokeo. Je, wewe hapo ulipo matokeo yapo vipi?
  11. K

    Naianza Safari Ya Kuonana Na Binti Wa Kimakonde Mtwara, WanaJF wa Mtwara Mnipokee!!

    Habari za usiku JF; Baada ya chats za muda mrefu, hatimaye naenda kuonana na huyu binti ambaye kwa kweli kwa namna ninavyochati naye naanza kuamini YALIYOMO YAMO. Nitawaletea updates za safari nzima kutoka Mwanza Mpaka Mtwara. Kesho Naanza safari. Wakongwe wa kusafiria papuchi nipeni uzoefu...
Back
Top Bottom