Search results

  1. K

    Kilwa: Ajali yaua saba na kujeruhu 22

    Kwanini inatokea hivyo mkuu
  2. K

    Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

    Tatizo lenu mnachagua ofisi, kama upo tayari njoo ujitolee kusikiliza kero za wanakijiji ofisi ya mtendaji kijiji hapa Buiko
  3. K

    FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

    Kwa haya mashuti ya Onana, Diarra ana kazi nyingine
  4. K

    Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Mkuu huku niliko hiyo 500k(mkaja wa mama) pekee unapata mke tena ndoa kabisa na chenji inabaki ya nauli na kuanzia maisha
  5. K

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kwamba Arsenal imenogesha simulizi [emoji28][emoji28][emoji28]
  6. K

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kaka porini ulitaka nivae majani?
  7. K

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Safari Moja Kimasikhara Mbili Jambo jf! Ilikuwa siku ya tarehe 15/05/2023 nilipata taarifa ya uadimu wa bidhaa fulani ya chakula katika hicho Kijiji, hivyo nilienda kuangalia fursa ili kamtaji kangu nikazungushie huko. Nikaandaa kipando changu(pikipiki) nikaanza Safari ya kuelekea huko...
  8. K

    Tuikaitembelee sodoma na gomora

    Acha kuwaza kilevi, soma maandiko ubadilishe fikra zako za hovyo
  9. K

    Serikali Kufufua Kiwanda cha Nguo cha MUTEX Musoma

    Watatumia teknolojia ya kisasa ambayo inapunguza gharama ya uzalishaji au ni mwendo wa ukarabati wa mitambo awamu ya kwanza ambayo ilifaa tu kushona kaniki!?
  10. K

    Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima amezuru kaburi la hayati Mkapa kijijini Lupaso, Masasi Mtwara

    Jana alikuwa anatoa misukule jimboni kwa Nape, kata ya Mihogoni
  11. K

    Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Nilichojifunza, 1. Kuna mifumo ndani ya mifumo ya serikali 2. Mjini lazima ungangamae na usimwamini yeyote,watu hawana huruma
  12. K

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Fala ulikula mlevi
  13. K

    Nimezisoma sheria za urithi katika Uislam, nikiri kwamba zipo kwa haki

    Busara imeangaliwa katika mioyo yao dhaifu hali ambayo imgesababisha kuwaua waume zao ili warithi Mali, na ndio maana kesi nyingi ni za wanawake kuua waume zao kwa kutaka Mali, na ukisia mwanaume kaua mkewe ujue ni kwa sababu ya wivu wa kimapenzi na sio mali. Mfano hapo juu Kwa Wamachame, hope...
  14. K

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Acha Niongeze Kisa Kingine cha Mwanajf Kimasihara na mdada ambaye tulifahamiana jf, Mwaka 2016 nilikuwa mdau sana wa jf, pamoja na mambo mengine hii ilichangiwa sana na hali ya kukosa mishe ya kufanya baada ya kumaliza chuo na pia kuachana na manzi ambaye nilimpenda na tayari nilizaa naye ila...
  15. K

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nilivyomla shemeji yangu(Demu wa Rafiki Yangu) Acha nami leo nitoe kisa hiki kwa maana wahusika sio wadau wa jf, hivyo nitaweka codes nyepesi tu. Ilikuwa mwaka 2013/2014 wakati tupo chuo tunaingia mwaka wa tatu(mihula ilianza mwezi October), Jamaa na huyu manzi walizinguana wakati wakiwa...
Back
Top Bottom