Search results

  1. Chakochangu

    Vyakula kwa Afya.

    Nimeziokota barabarani nikiwa katika matembezi. Ukiona zinakufaa/zitakufaa baadaye zihifadhi au la hazitakufaa zipotezee.
  2. Chakochangu

    Afya na Kinga

    Angalia kitakachokufaa chukua kisichokufaa kiache.
  3. Chakochangu

    Vitabu kwa ajili ya afya zetu.

    Wakuu , Katika kupekua pekua kwangu nimekikuta kitabu hiki mahali fulani. Nikaona nijaribu kuwaletea wanajamii forums , huenda kitakusaidia kwa namna fulani . Na kwa yeyote mwenye kitabu chochote kihusuyo afya anaweza kutuwekea pia. nitajaribu kuki upload hapa, kitabu...
  4. Chakochangu

    Jinsi ya kuondoa matangazo kwenye website

    Waungwana naombeni msaada wa namna ya kuondoa matangazo kwenye Website, maana nikifungua tu Internet Explorer au Fire Fox, yanajaa matangazo ya games tofauti nyingi, na PC Cleaner mpaka inakera. Ninaomba kama kuna njia ya kuyatoa, na jinsi ya kuepukana nayo.
  5. Chakochangu

    MSAADA. Usafiri wa Mabasi wa uhakika DAR ES SALAAM to NAIROBI

    Wana jamii , naomba kufahamu ni mabasi gani ya Uhakika yanayofanya safari kati ya DAR na NAIROBI. Maana ninatarajia kusafiri hivi karibuni.
Back
Top Bottom