Search results

  1. leonidace kamgisha

    Kisayansi kifo ni nini? Kidini kifo nini?

    Kujua kifo ni swala dogo mno lakini litakuwa gumu muno kama hujajijua wewe ni nani ? Na ukitaka ujue we ni nani lazima ufute yote unayohisi unayajua na uanze upya kutafuta hasa hicho kitu wewe naa kwa ninavyo kuona unaogopa kifo kwasababu unahofu na kifo kama hofu hauna uwezi ogopa kifo je...
  2. leonidace kamgisha

    Naomba Msaada kwa wanaojua taratibu za operesheni

    Mm nakueleza nione tumtibu mzee wako bila kufanyiwa upasuaji gharama tutarindana mzee cha msingi mlete uku tumnusuru na kisu no:0673303304
  3. leonidace kamgisha

    Mungu yupo, Ukoloni siyo chanzo cha Dini Afrika, Ukristo haukuanzia Ulaya.

    Huyu mleta mada hajui chochote watu tunasema hakuna mungu kwa sababu tumeweza kufanya vyoote ulivyokaririshwa kuwa ni miujiza pia tunajijua ss ni kinani tumetoka wapi na tutaenda wapi wala hatuna waswas kama unavyodai kila kitu kwetuu mnyooko tu hakuna hofu hata tukimaliza maisha haya...
  4. leonidace kamgisha

    Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

    Umekalili kwelikweli
  5. leonidace kamgisha

    Kabla sijazaliwa Tanzania nilikuwa mzungu niliyeishi Marekani

    Sishangai kabisa hata mm najua nilipo kuwa kabla ya kuzaliwa tz Hiyo reincanation ila bahati yako umekumbuka wengi wetu hawakumbuki ndo maana unaona wana comment kwa kukebei
  6. leonidace kamgisha

    Maongezi vijana wa Tanzania; 96% ni pumba

    Mleta uzi kama nmekusoma yaani wewe unavyochukulia vitu na wenzako wafanane na wewe ilo haliwezekani kwa asilimia 96 Kusema hiki kitu ni cha 'maana' una maana gani ? Kwani vitu vyoote vina maana kama unavyovipaa maana au ulivyo lelewa na mazingira. Naona wengi wanasema kuhusu elimu kwani...
  7. leonidace kamgisha

    Wewe ni nani?

    Hofuu na wogaa wa kupokea mawazo mapya elimu mpya kuhusu wewe vikikuutoka haki utajiona kiumbe kipya chenye furaha ha mweli uhuru na amani ya kweli zaman nilikuwa mbishi sana kuhusu haya mambo lakin uelewa wangu ulivyotanuka nkaelewa vzuri wala si kwa. Kukaliri before sjaruhu akili yangu...
  8. leonidace kamgisha

    CHAPTER ONE: Ewe Mwanadamu amka.! Acha Kushupaza Shingo,Mungu yupo,na Siku ya hukumu ipo.!

    Mleta uzi ukiweza kujibu hoja zako zote nje ya biblia ndo utajua mambo mengi kuhusu mungu na usipojizuia sikio lako kupokea idea mpya utajua wanaokataa mungu wa kutoka asia wana nia gani U cant answer what happen out of box while your still in box itakua crayzest
  9. leonidace kamgisha

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Leo ushindi unatuhusu wa goli kama sita
  10. leonidace kamgisha

    Roma bado inatawala dunia

    Hapa alieandika biblia alikuwa na IQ kubwa mpaka watu mnabishana kwa stor za kusadikika kutojielewa sisi ni kitu gani ndo kunasababisha kuwepo kwa sintofahamu kama hizi za mleta uzi Kuna hasara kubwa walioturetea hawa watu hadi hatuwezi kujadili kujihusu sisi badala tunapigania assumption zao...
  11. leonidace kamgisha

    Polisi kuwaua WASHUKIWA wa mauaji ya askari, ni sahihi?

    Jambazi yuko sensetive kuliko hao askar wenyewe sina uhakika kama jambazi anaweza fanya tukio kama hilo alafu akabaki mahala pale angoje polisi laah Nachokiona hapa kama askari wamefanya maauwaji kwa washukiwa inawezakana wame kosea inawezekana kati ya wale mmoja wao au wawili wao inawezekana...
  12. leonidace kamgisha

    The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

    Men are polygermas in nature stay awere
  13. leonidace kamgisha

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Yaaa group lipo na ukitaka piga no hii 0653937348
  14. leonidace kamgisha

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Darasa lipo sehemu inaitwa tabata kimanga jihandae kila jumapili karibu utajua hayo yote hakuna kiingilio wala ada
  15. leonidace kamgisha

    Kipimo sahihi cha akili ya binadamu ni nini?

    KUmbuka kuwa ulizaliwa ikiwa ni empty hiyo kichwa lkn kutokana na malezi shule dini unavyoona kwa jamii matukio unavyitafisiriwa ndo baada ukaita akili kwa ukiwa na uwezo wa kutunza kumbukumbu vzur na ukakumbuka kwa wkt utaitwa una akili sana lkn sio ivyo wewe it like empty cd there u start to...
Back
Top Bottom