Search results

  1. radicals

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mkuu hiyo si kimasihara, mademu wa lodge wapo easy sana, nashangaa ulitumia zaidi ya wiki kuzoeana nae
  2. radicals

    Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

    Kwani walichukuana juu kwa juu, si kila mmoja alijua changamoto za kazi ya mwenzie? Kwa nini wadaiane TALAKA ndani ya miez mitano Tu huku mwanzo walijuana?
  3. radicals

    Nimepungua kilo kutoka 98 mpaka 75. Namshukuru Mungu

    Hapo hujawasaidia watu ili uwasaidie watu waambie 1. Umetumia mbinu gani Hadi umepunguza hizo kilo 23? 2. Muda gani umetumia? 3. Ushauri wako kwa wenye UZITO mkubwa na wanataka kupunguza
  4. radicals

    Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    MH, hapa kuna chembechembe za jealous dhidi ya huyo dada
  5. radicals

    Maisha ni fumbo kubwa, unawezaje kuishi mitihani?

    Itakuwa huyo mama ni msagaji alitaka kummiliki shemeji yako
  6. radicals

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Vipi washaanza pre match shows
  7. radicals

    Biashara ya kujiuza, Dada poa, Kaka poa na Ma-sugar Mamy: Nini kifanyike kupambana nayo?

    Hii biashara haiji kufa abadani, hata YESU MNAZARETH aliikuta
  8. radicals

    Fainali ya CAF Champions League inaboa

    Kwelii, Ila pia red card imewaathiri sana
  9. radicals

    Fainali ya CAF Champions League inaboa

    Fainal mbovu kuliko zote, mtu anakula chuma nyingi hv
  10. radicals

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Vp uliliwa mwenyewe nn?
  11. radicals

    Unahitaji utajiri wa fasta? Pitia hapa

    Kianzio ni sh ngapi?
  12. radicals

    Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Hata mimi naona kama ni unyanyasaji , maana unaweza kuta wanakataa, ila wanakuwa waoga
Back
Top Bottom