Search results

  1. mediaman

    Iringa: Mwanafunzi wa Mwaka wa pili amnyonga mpenziwe wa mwaka wa pili na kutuma ujumbe kwa Wazazi wa Marehemu

    1 Kor 6:9 Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti
  2. mediaman

    Vitu vya kuzingatia ili kuwa na afya na kuishi miaka mingi

    Miaka tunayopaswa kuishi duniani ni 120. Kama Wajapan wanaishi wastani wa miaka 85 basi ni kweli uvutaji sigara unawapunguzia miaka ya kuishi
  3. mediaman

    Vitu vya kuzingatia ili kuwa na afya na kuishi miaka mingi

    Hazipingani, mkuu. Muda wa kazi, fanya kazi, usikae bure. Na muda wa kulala, lala masaa yanayotakiwa kulingana na umri wako
  4. mediaman

    Vitu vya kuzingatia ili kuwa na afya na kuishi miaka mingi

    Mkuu, umewahi kusoma habari za Hezekia? Kama maisha yako programmed huyo Hezekia angekufa kwa ugonjwa kabla ya wakati wake. Lakini alijua siri ya kurefusha maisha yake. Alimuomba Mungu kwa bidii na Mungu akamponya na kumuongezea miaka 15 zaidi ya kuishi. Ina maana angeacha kuomba angekufa...
  5. mediaman

    Vitu vya kuzingatia ili kuwa na afya na kuishi miaka mingi

    Je, unapenda kuishi maisha marefu? Kwa ujumla, hakuna mtu asiyetaka kuishi miaka mingi na kuwa na afya njema. Wanasayansi na wataalamu mbalimbali wamethibitisha kuwa ukizingatia mambo yafuatayo unaweza kujiongezea miaka au umri wa kuishi duniani: 1. Hakikisha unakula vyakula vyenye virutubisho...
  6. mediaman

    Ukienda kwa Nabii T.B. Joshua, jihadhari sana

    Usanii au ukweli mtupu?
  7. mediaman

    Ukienda kwa Nabii T.B. Joshua, jihadhari sana

    Usisahau mkuu, huu uzi sio wa kumjadili T.B. Joshua. Main point ya hii thread ni kwamba ukiombewa na mtu yeyote ukapona, usitende dhambi tena ili lisikupate jambo lililo baya zaidi. As for T.B. Joshua, kama una ushahidi kuwa ni nabii feki, au unamhesabu kuwa adui wa imani yako, bado hupaswi...
  8. mediaman

    Ukienda kwa Nabii T.B. Joshua, jihadhari sana

    Vikinge? Sishangai kwakuwa shetani naye hufanya miujiza. Si unakumbuka wachawi/waganga wa Farao walivyoigiza miujiza aliyofanya Mungu kupitia kwa Musa?
  9. mediaman

    Ukienda kwa Nabii T.B. Joshua, jihadhari sana

    Thibitisha hoja yako kwa Maandiko
  10. mediaman

    Ukienda kwa Nabii T.B. Joshua, jihadhari sana

    Kazi ya kuhukumu mwachie Mungu. Yeye ndiye aichunguzaye mioyo ya watu.
  11. mediaman

    Ukienda kwa Nabii T.B. Joshua, jihadhari sana

    Ndio sababu nimekuja na uzi huu
  12. mediaman

    Ukienda kwa Nabii T.B. Joshua, jihadhari sana

    Unaenda nje ya mada: ukiombewa(na mhubiri au mtu yeyote yule), ukapona, usitende dhambi tena.
  13. mediaman

    Ukienda kwa Nabii T.B. Joshua, jihadhari sana

    If you just read the title, you will surely be misled. Nmesema, Uki-enda(if you [decide to] go). Najua wapo wanaofikiria kwenda huko....Sijasema lazima uende. Na ndani nimefafanua zaidi: "ukienda kwa...au mhubiri yeyote maarufu..." Usinilishe maneno, ndugu. By the way, to read a title is not...
  14. mediaman

    Ukienda kwa Nabii T.B. Joshua, jihadhari sana

    Hahaa. Sina ushirika na mwovu shetani. Nampinga kwa Jina la Yesu kila anaponijia. Hivi wewe ndugu, tangu uzaliwe hujawahi sikia au kuona kiwete akipona kwa kuombewa? Hata yule kiwete aliyeambiwa na Petro simama uende, hujasoma habari zake? Mdo 3:6 Lakini Petro akasema, Mimi sina fedha, wala...
  15. mediaman

    Ukienda kwa Nabii T.B. Joshua, jihadhari sana

    Sio kila ukiumwa. Ni hivi: kama umekuwa ukitenda dhambi, ukaugua, baadaye ukapona kwa muujiza(baada ya kuombewa), ili usipatwe tena na ugonjwa huo kwa viwango vya juu au kupatwa na jambo baya zaidi, zingatia vigezo/masharti aliyotoa Yesu: USITENDE DHAMBI TENA
Back
Top Bottom