Search results

  1. Adolph Jr

    Iran yaishambulia Israel, sarafu yake yaporomoka kwa kiwango cha ajabu

    Who want the beer πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
  2. Adolph Jr

    Iran yaishambulia Israel, sarafu yake yaporomoka kwa kiwango cha ajabu

    Who want the beer πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
  3. Adolph Jr

    Umejifunza au ulijifunza jambo gani kipindi unapopitia au ulipopitia nyakati ngumu maishani mwako?

    Hakika nimepata faraja, ila wanawake sijui ni viumbe wa aina gani?. Nimeamka sina kitu zaidi ya 5000 mfukoni nikamwambia mwanamke kuwa sina kitu ila 5000 kaniomba hiyo 5000 akanunue mboga ya siku nyingine (siku hiyo ilikuwepo), kwa madai kuwa yeye ana hela atanipatia. Imefika muda wa kuondoa...
  4. Adolph Jr

    Kipi kinasababisha barabara za New York kuwa na hali mbaya?

    Aliiiba mchumba wa yule rasi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.. sijui rasi alizubaa wapi angewahi yule mdogo wake ...πŸ€”πŸ€”
  5. Adolph Jr

    Kisa cha mwili usojulikana ni wa nani. Hauna jino moja wala kovu lolote

    Nimetia timu hapa hapa hadi kukuche...
  6. Adolph Jr

    Nawezaje kwenda Marekani?

    😳😳😳😳
  7. Adolph Jr

    CAG: Askari Magereza Walipwe Posho ya Mazingira Magumu

    Mmmmh, kwahiyo hawaifahamu kada yenye njaa?....
  8. Adolph Jr

    Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

    Kazi yangu ni kukaa nyuma ya keyboard na kuhesabu Israel katoa roho za wairan wangapi na Iran karusha makombora hewa mangapi kwenda Israel. πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
  9. Adolph Jr

    Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

    Vita haipo kama mipasho kwamba ukibishiwa na wewe unabisha.....ila uzuri ata wewe unafahamu wakina nani wanalia kunaposikika puuuuh..... Kama vipi Iran nao waue jeneral wa kiisrael la sivyo hadi sasa ni (Tatu bila).
  10. Adolph Jr

    Ni nini hasa kazi na umuhimu wa kuvaa nguo za ndani?

    Kwa wasichana kulinda kitumbua kwa mvulana kulinda heshima maana ni aibu mwanaume kuinama wakati unafanya kazi, tako likabaki wazi.
  11. Adolph Jr

    Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

    Wameondoka kwenda wapi? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.. Wewe hujui Palestine ni Israel na Israel ni Palestine.? Kifupi Palestine ni mchungwa wa uani wake Israel, muda wowote chungwa linapodondoka anaokota au anaacha.πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
  12. Adolph Jr

    Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

    Yetu macho na bundle maana yajayo ni lawama kwa u.s.a na IDF dhidi ya waarabu
  13. Adolph Jr

    Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

    What?!....Haya bana sisi yetu macho na bando la smart phone pembeni kuna popcorn 🍿.....tukiona machozi ya ndugu wa hamas huko Iran.
  14. Adolph Jr

    Iran yafanya kosa kubwa kuishambulia Israel. Israel hawanaga shoo ndogo

    mbona hamas walivyovamia walisema na kutoa idadi na vipi askari wao walioko gaza wanauwawa karibia kila siku napo pia wanatoa takwimu.
  15. Adolph Jr

    Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

    Umewaza mbali mno, yaani huu ndiyo ulikuwa muda wa kuipoteza Palestine kwenye uso wa dunia...
  16. Adolph Jr

    Iran yafanya kosa kubwa kuishambulia Israel. Israel hawanaga shoo ndogo

    Eti wanajisifu kurusha makombora yasiyoua ata nzi wakiisrael. Sasa ngoja mtoa roho ajibu usikie vilio vya wanaonewa.
  17. Adolph Jr

    Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

    Yaani kashindwa ata kuua panya wa Israel πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Back
Top Bottom