Search results

  1. mtafuta-maisha

    Tunaomkubali DJ AFRO tukutane hapa.

    Yani mimi movie ikishatafsiriwa inanikata stim siwezi itazama tena
  2. mtafuta-maisha

    Nimetesti zari: Nimepeleka barua ya Posa kwa binti wa Kihindi

    Sitaki kujua kama ni kamba au lah but umenichekesha
  3. mtafuta-maisha

    WAPI NITAPATA KIOO CHA EVVOLI INCH 32 FLAT?

    Bei ya kioo almost sawa na bei ya TV 300000
  4. mtafuta-maisha

    Naombeni msaada

    Crack dll file kwenye location yake kule local disk c programs
  5. mtafuta-maisha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo wenzangu wa basket kuanzia saa saba kuna maporomoka ya pesa msikose
  6. mtafuta-maisha

    Mungu aiondoe adhabu ya jehanamu ya moto wa milele

    Biblia ni kitabu ambacho kimetumia lugha ngumu kueleweka lakini kikuzungumzia wewe tu zile story zote zinakuhusu wewe unaweza kuwa david unaweza kuwa solomon
  7. mtafuta-maisha

    Msaada wa Ku unlock iphone 6s plus

    Ka unafaham icloud yake iunge kwenye comp yenge prog ya ituned download ipsw file lake iresotore
  8. mtafuta-maisha

    Clouds wanavyosota kumwangusha Hanstone

    Dah wabongo bwana lazima watafute wakumtwisha zigo. Aliyebeba zigo la lawama muda wote RIP Ruge toka atangulie mbele ya haki naona bado masuala ya lawama yapo. Nilitegemea sasa wasanii waache kulalamika wapige ela maana waliyedai anawanyonya keshafariki
  9. mtafuta-maisha

    Ni simu ipi kali kati ya hizi tatu na kwa sababu zipi?

    Kama data ikiwa on na muda wote simu iko mkonon masaa 9 kama matumiz kawaida aisee utaenda nayo lazini une uchaj usku ukirud
  10. mtafuta-maisha

    Kutoa hazina ya mjerumani

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]mkuu utapoteza muda wako
  11. mtafuta-maisha

    Usinipe lawama chidbenz ft matonya

    Huu wimbo uwa hauchuji masikion mwangu kwangu ni kati ya nyimbo nzuri zenye ujumbe wenye hisia ukiachilia mbali hayakuwa mapenzi wa sugu. Kipindi unatoka chid alikuwa chini ya jagged records iliyokuwa studio ya jay d na gardner. Ila ningependa kujua ni nani alikuwa mtayarishaji wa wimbo huu
  12. mtafuta-maisha

    Imevuja sauti inayodaiwa ni Maongezi ya Simu ya Nape Nnauye na Abdulrahman Kinana kuhusu njama za kuichafua CCM

    Mimi nadhani viongozi wa serikali hasa ambao wanahisi hawamsupport namba moja simu zao zinafuatiliwa maramla,
  13. mtafuta-maisha

    Imevuja sauti inayodaiwa ni Maongezi ya Simu ya Nape Nnauye na Abdulrahman Kinana kuhusu njama za kuichafua CCM

    Mimi nadhani viongozi wa serikali hasa ambao wanahisi hawamsupport namba moja simu zao zinafuatiliwa maramla,
  14. mtafuta-maisha

    Mungu aiondoe adhabu ya jehanamu ya moto wa milele

    Hakuna jehanamu yani hell and heaven are within you jehanamu haiko sehemu nyingine imo ndani mwako.
  15. mtafuta-maisha

    Msaada wa ku trade iphone x

    Hakuna simu rahisi kujua kama ni fake kama iphone wataiga shape na vitu vingine lakini ios itawaumbua na huduma zake mama icloud. Mtu ambaye anaweza pigwa iphone fake ni yule ambaye hajawahi tumia iphone kabisa.
  16. mtafuta-maisha

    Kila akili salama inaamini ulimwengu umeumbwa na Mungu sio buree

    God is within you, binadamu anaweza kuwa Mungu na anaweza kuwa shetani. Heaven and hell are within you
  17. mtafuta-maisha

    Nahitaji fundi wa milango ya Alminium

    0657942817 atakupigia kazi
  18. mtafuta-maisha

    Ubora wa simu za Tecno dhidi ya Infinix....

    Point hapa kununua hiyo simu kwa laki 3 ni umepigwa na ching lu
  19. mtafuta-maisha

    Ubora wa simu za Tecno dhidi ya Infinix....

    Utakuja kuyajua siku ukikutana na kirusi ambacho kita take control ya simu yako hata ukirestore hakitoki kinakuwa part ya system files mpaka u flash simu. Hii ni weaknes ya chip za mtk Utakuja kuyajua siku ukirestore sim ikapoteza imei nayo ni weakness nyingine Hata simu za kichina zenye bei...
Back
Top Bottom