Search results

  1. homo sapiens

    Mo endelea kuiga iga bidhaa za watu

    Bakhresa Muungwana yule, analea undergrounds Sent using Jamii Forums mobile app
  2. homo sapiens

    Papa aliweza kuwapatanisha Salva Kill na Riek Machar. Je, ana nguvu kuliko Jumuiya za Kimataifa?

    Hana nguvu bali ana ushawishi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. homo sapiens

    Unazuia vipi hasira ili usiathiri wale wasio husika?

    Hicho ndo kipimo cha hekima ya mtu. Kudhibiti hasira yake Sent using Jamii Forums mobile app
  4. homo sapiens

    Kwanini Mwl Nyerere alipigwa mtama Kanisa la St. Peters

    Mwenye heri huyo, hasemwàgi vibaya.
  5. homo sapiens

    MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

    Unatafuta kujua privacy ya mwenzio, wewe Mungu? Acheni utoto! uyajuayo kiasi kumhusu yanatosha.
  6. homo sapiens

    Amekuoa lakini lazima asote kupata tendo la ndoa

    Mila potofu ni zipi? Kubakwa ni kupi? Mama mtu mzima unabakwaje na mumeo? Tunakoelekea ndoa zitapoteza maana.
  7. homo sapiens

    Amekuoa lakini lazima asote kupata tendo la ndoa

    Hajarogwa, anaiga wazungu, wazungu ndivo walivo, hata ukimuoa mbunye hupati mpaka apende yeye. Ni utumwa kuoa mwanamke wa sampuli hii. Msingi wa ndoa ni ngono. Ngono ikiwa adimu hakuna haja ya kuendelea kuiita ndoa, bora ivunjike. Ugumu ni kwa wenzangu wanaooa kwa mahari kubwa mpaka unafilisi...
  8. homo sapiens

    DAR: Polisi wadaiwa kumuua Mwanafunzi kwa kumpiga risasi tumboni wakimtuhumu kuwa ni jambazi

    Haya ndo madhara ya kuwapongezà polisi wanapoua hovyo. Polisi mweledi ni yule anayefanikiwa kumkamata mtuhumiwa akiwa hai. Kwa staili hii ya kuua raia na kumpachika ujambazi, usalama wa RAIA umo shakani.
  9. homo sapiens

    Hii ndiyo sababu ya kutumbuliwa IGP Mangu?

    I wish I curdu be igp
  10. homo sapiens

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Umeandika utaanza na watu mia tatu, jiandae kutupata laki tatu mkuu
  11. homo sapiens

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Una moyo wa malaika wewe, endelea kubarikiwa sana . naomba niwemo
  12. homo sapiens

    Mheshimiwa rais, umechuma janga. Gwajima sio DUDE ila George H.W. Bush ni DUDE

    Hakuna Mtanzania mzalendo anayeunga mkono huu wizi bali tunashauri umakini wa hali ya juu kwenye kushughulika na hawa watu. Tukibugi step madhara yake ni makubwa kiasi cha kugharimu vizazi na vizazi. Mungu ibariki Tanzania.
  13. homo sapiens

    Hivi wanaokuwa na mke zaidi mmoja wanawezaje kuishi nao.

    Dah, wazungu wabaya sana. Kutuletea 50 kwa 50 ili kutunyima sisi Wanaume uwezo wa kuoa wanawake zaidi ya mmoja.
  14. homo sapiens

    Hivi wanaokuwa na mke zaidi mmoja wanawezaje kuishi nao.

    Mwanamume mwenye Wake zaidi ya watatu ni Kiongozi bora wa jamii. Kitendo cha yeye kuishi nao kwa amani na utulivu kinatafsiri uwezo wa hali ya juu alo nao wa ulezi, ualimu, uongozi na usimamizi wa jamii. Hongereni Wanaume wenye Wake wengi.
Back
Top Bottom