Search results

  1. hamjunior

    Simu yangu haisomi baadhi ya line

    Nina samsung galax A13 haisomi lain ya TTCL na airtel msaada kwa mwenye ujuzi na hili
  2. hamjunior

    Wapi naweza download series na movie kwa ubora wa kawaida na zenye MB chache?

    Msaada jaman wapi naweza download series na movie kwa ubora wa kawaida na zenye mb chache ukiachana na netnaija na teregram
  3. hamjunior

    Kwa wale wataalamu wa Game za simu janja naomba kujuzwa hili...

    Naomba kujuzwa kuhusu game za mission kama gtv 4 na gtv 5 huwa naona video za wale jamaa wa youtube wanaelekeza jinsi ya kupakua zile game mimi huwa na jaribu lakin sifanikiwi. Vipi kwa humu ndani kuna mwenye ujuzi na zile game anisaidie.
  4. hamjunior

    Kwa wale wataalam wa simu za Samsung

    Habari zenu humu ndani nina bajeti ya shilingi laki 3 naweza pata simu gani nzuri na mpya ya kampuni ya Samsung isikose fingerplint
  5. hamjunior

    Msaada kwa wale wataalamu wa iphone, napakuaje mp3

    naombeni msaada wa jinsi ya kupakuwa nyimbo yani mp3 na video nina kaiphone 6 kangu hapa nataka kufahamu juu ya hilo asanteni......
  6. hamjunior

    wataalam wa Magemu ya PC naombeni ufafanuzi katika hili

    Ndugu naomba kujuzwa ni Magame yapi yanacheza au yanakubali kuplay kwenye desktop ya core 2 na ram 2gb hdd 320 na window ipi ni nzuri kwa magame kutokana na uwezo wa mashine yangu.
  7. hamjunior

    Natafuta Mashine ya Computer

    Nina bajet ya Tsh. 100,000 wapi naweza pata mashine yenye uwezo wa ram kuanzia 2GB disk kuanzia 160 niko dar
  8. hamjunior

    Naomba kujuzwa games za simu za android

    Habar za humu natumaini mu wazima kiasi japo tupo kwenye kipindi kigumu naomba kufahamu au kujulishwa game nzuri za kucheza kwenye simu ambazo ziko offline natumain nimeeleweka waajuzi mtanijuza. Asantee. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. hamjunior

    Msaada: Anayefahamu ubora wa Soyi Tv

    Habar zenu humu ndani naomba kujua ubora wa hiz tv za soyi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. hamjunior

    Msaada jinsi ya kudownload season kwenye simu

    Niaje wanajamii naombe msaada wa kudownload season kwenye simu msaada plz
  11. hamjunior

    Naweza kupata movie ya jumanji ya therock iliyotoka mwaka 2017

    Jaman vp nawez pata au kudownload movie ya jumanji ya therock iliyotoka mwaka 2017
  12. hamjunior

    Kama wewe boy au girl aliyetofauti na age 20-21 usisome hii

    Naishi Dar ni kijana/boy mwenye umri wa miaka 22 natafuta/nahitaji girlfriend mwenye age kati ya 20-21 awe musilum pia awe ni mkazi wa Dar karibu PM kama utakuwa uko tayari mengine yatafuata.
  13. hamjunior

    Msaada: Jinsi ya kudownload movies mpya kwenye simu

    Habari zenu wapendwa humu ndani, Mwenye ujuzi au utaalamu wa kushusha new movie kwenye simu za android anisaidie maana kuna movie naitafuta sana. Plesae naombeni msaada wenu.
  14. hamjunior

    MSAADA WA KUROOT SIMU

    hellow gays naombeni msaada wa kuroot simu ya ya huawei y3ii
  15. hamjunior

    MSAADA WA SIMU GUYS

    jaamn humu ndani.simu yangu ina ram ndogo pamoja na inteno yake ni ndogo naweza ungeza kimoja wapo ni HUAWEI YII
  16. hamjunior

    Tafadhali naombe msaada kuhusu FB

    nawezaje jua friends au kuapata marafika ndani ya fb walio karibu na eneo ninalo ishi
Back
Top Bottom